Wanajeshi wa Israel wapo Gaza mjini kati sasa

Wanajeshi wa Israel wapo Gaza mjini kati sasa

Ni kweli maana tunapata misaada kutoka kwa mashekh na tunaishi misikitini ili tusijeshitakiwa.
Kuna ubaya kuwepo kwa kundi la kigaidi la kiislamu kueneza utawala wa sharia?
Takbir
Sheikh ni cheo gani katika uislamu? Umekitoa wewe ?
 
Mbumbumbu pekee ndio anashabikia uvamizi wa Israel na kuaminishwa kwamba Hamas walivamia ukuta na kuingia Israel...pia kuaminishwa neno gaidi.
 
Makundi yanayoanzishwa Marekani ni makundi ambayo hayana mlengo wa dini, wao kwa ajili ya kufanya biashara ya madawa ya kulevya na shughuli zingine za kiuhalifu kwa ajili ya kupata hela.
*Makundi yanayoundwa na waislamu ni kueneza dini ya uislamu, kueneza utawala wa sharia na kupinga elimu ya magharibi ndiyo maana kuna Islamic State (IS), Boko Haram, Al Qaeda, Hamas n.k

Uliangalia FBI files wakati gani ? Ukaona Wale watu weusi na dini yao ya Kikristo ya Jehovah kule Florida walivyokuwa walikuwa watu ?
Wacha ushabiki wa kitoto
 
Aoone, Faiza Fox, Alwaz, nk. Hawa Hamas wa Tanzania hivi walisemaje vile🤣🤣🤣🤣 lkn kwa taarifa zao za uongo duh, akikuletea taarifa hao Hamas wz bongo aise unahisi si hapa Hamas wameshinda asbh🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani Hamas wakirusha hata jiwe uelekeo wa IDF habari itakuzwa kama vile jeshi lote limeangamizwa...
Huyu dada yetu FaizaFoxy hawapendi Wayahudi kwa moyo wake wote
 
Uliangalia FBI files wakati gani ? Ukaona Wale watu weusi na dini yao ya Kikristo ya Jehovah kule Florida walivyokuwa walikuwa watu ?
Wacha ushabiki wa kitoto
Ushabiki wa kitoto zaidi ya hii?
 
Ni zaidi ya hawa?

Usidanganyike ingia japo Google uulize makundi ya dini huko Marekani ya Kikristo yanayotumia silaha
Kumbuka yule David Koresh , au wewe ni mtoto
 
Ushabiki wa kitoto zaidi ya hii?
Unaokota watu wameandika Kama wewe humu JF , Kweli vijana hamna kitu TZ , CCM wameuwa elimu TZ
 
Usidanganyike ingia japo Google uulize makundi ya dini huko Marekani ya Kikristo yanayotumia silaha
Kumbuka yule David Koresh , au wewe ni mtoto
Umesikia mtu anaitwa David Koresh aliyeanzisha kundi la uharifu wa uuzwaji wa madawa ya kulevya basi unafikiri kwasababu anatangaza dini.
Kwenye ukristo haipo kitu km hicho, haulazimishwi wala huwezi kushikiwa bunduki kwasabb umekataa kuwa mkristo au kuuwawa kwasbb umekataa ukristo.
Duniani tunaishi kwa amani kwa hisani ukristo
Mwaarabu ukiwa siyo muislamu kwake yeye ni kifo maana nchi za waislamu wengi kuna makundi ya kigaidi
 
K
Kumbe unaleta vitu hata huelewi , kijana kacheze mdako
Sawa
 
Umesikia mtu anaitwa David Koresh aliyeanzisha kundi la uharifu wa uuzwaji wa madawa ya kulevya basi unafikiri kwasababu anatangaza dini.
Kwenye ukristo haipo kitu km hicho, haulazimishwi wala huwezi kushikiwa bunduki kwasabb umekataa kuwa mkristo au kuuwawa kwasbb umekataa ukristo.
Duniani tunaishi kwa amani kwa hisani ukristo
Mwaarabu ukiwa siyo muislamu kwake yeye ni kifo maana nchi za waislamu wengi kuna makundi ya kigaidi

Kweli wewe mtoto , kacheze mdako
 
Unaokota watu wameandika Kama wewe humu JF , Kweli vijana hamna kitu TZ , CCM wameuwa elimu TZ
Nataka nikusafirishe mpk Sudan ukakutane na ndugu zako Janjaweed.
Somalia utaishi vizuri ila Sudan hutoboi
 
Baada ya kuizingira Gaza na kuhakikisha hakuna gaidi litakalotoroka, sasa wafaulu kuingia mjini kati.

=========

Defence Minister Yoav Gallant said on Tuesday, November 7, Israeli forces were operating "in the heart of Gaza City" one month after Hamas's bloody October 7 attacks, as the campaign to crush the Palestinian militants intensifies. "We are in the heart of Gaza City," Gallant told reporters. "Gaza is the largest terrorist base ever built."

He spoke as memorial ceremonies were held in Israel to mark the grim one-month milestone. Sobs pierced memorial ceremonies and crowds lit candles while mourning the 1,400 dead, including families slain in their homes and young people killed at a music festival, in Israel's worst attack since its 1948 founding.

Israel has vowed to destroy the Islamist militants over their shock attack, launching a campaign in the Gaza Strip that has killed more than 10,300 people, mostly civilians, said the Palestinian territory's Hamas-run health ministry.

Source: Lemonde
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Mpaka wasemeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Umesikia mtu anaitwa David Koresh aliyeanzisha kundi la uharifu wa uuzwaji wa madawa ya kulevya basi unafikiri kwasababu anatangaza dini.
Kwenye ukristo haipo kitu km hicho, haulazimishwi wala huwezi kushikiwa bunduki kwasabb umekataa kuwa mkristo au kuuwawa kwasbb umekataa ukristo.
Duniani tunaishi kwa amani kwa hisani ukristo
Mwaarabu ukiwa siyo muislamu kwake yeye ni kifo maana nchi za waislamu wengi kuna makundi ya kigaidi

Ni kweli nchi Za kiislamu kuna ugaidi lakini nchi Za Kikristo kuna upendo , labda umeshaolewa

Kaungame madhambi yako kwa padre shoga huyu

View: https://youtu.be/bVFq_9Z0BZU?si=fAcvVdlJA5qyvtb3
 
Nakulipia nauli ukaishi Sudan. Ukaishi na ndugu zako waarabu wa Janjaweed

Mimi pia nitamchangia nauli ya kwenda kwao sudan
 
Back
Top Bottom