unaweka habari za janjaweed za zaidi ya miaka 20 nyumaNakulipia nauli ukaishi Sudan ukakutane na ndugu zako waarabu (Janjaweed)
Janjaweed wameua watu takribani 700 Sudan, mbona mko kimya?
Wala sio Mbali Wala sio zamani, ni Jana! Janjaweed wameua wanawake, wazee na Watoto zaidi ya 700. Sijasikia mtanzania Mwenye kuwashwawashwa na mauwaji haya as if nothing happened! Nadhani hawa hawana damu, sio Ndugu zetu, sio wenzetu hawa ndio maana! Ila Sasa ingekua Ukraine au...www.jamiiforums.com
Haiwahusu hiyo wao wanapigania usalama wa nchi yao.Wakimalizana na Hamas inabidi waende Sudan wakapambane na kundi la kigaidi la kiislamu la Janjaweed
Hilo kundi liende kulipua au kuteka waisraeli,litapatiwa haki yake piaWakimalizana na Hamas inabidi waende Sudan wakapambane na kundi la kigaidi la kiislamu la Janjaweed
Siyo miaka 20 nyuma. Hii ni sasa hivi yaani muda huu unaposoma Comment hii. Kuna vita Sudanunaweka habari za janjaweed za zaidi ya miaka 20 nyuma
au janjaweed hao ni hawa wa CCM zanzibar??
Hilo kundi liende kulipua au kuteka waisraeli,litapatiwa haki yake pia
Usalama wa nchi kuua raia wasiokuwa na hatia?Haiwahusu hiyo wao wanapigania usalama wa nchi yao.
Nataka nikulipie nauli muda huu uende Sudan ndiyo utajua hii ni habari ya miaka 20 au ya hivi karibuni.unaweka habari za janjaweed za zaidi ya miaka 20 nyuma
au janjaweed hao ni hawa wa CCM zanzibar??
Acha washushiwe tu mwana hamna namnaKuna msafara wa humanitarian aid kutoka red cross umeshushiwa kombora na israel huko Gaza, hatari tupu.
Dhu, ndiyo Gaza ilivyobaki hivyo aisee kweli mwana kulitafuta mwana kulipata...#kazi inaendeleaa
View attachment 2807530
Mbona janjaweed ni hadithi Za tokea miaka ya Omar BashirNataka nikulipie nauli muda huu uende Sudan ndiyo utajua hii ni habari ya miaka 20 au ya hivi karibuni.
Usiwe na wasiwasi Janjaweed (RSF) ni waarabu wenzako yaani ndugu zako.
Nataka nikulipie nauli ukaone kama ni hadithi au la.Mbona janjaweed ni hadithi Za tokea miaka ya Omar Bashir
Unawaita wewe labda wewe ni mmoja wao unatafuta watu humu JF wakajiunge nao au wamekulipa ?πππNataka nikulipie nauli ukaone kama ni hadithi au la.
Unafikiri Janjaweed hawapo? Sasa hivi wanaitwa RSF na shughuli zake zipo pale pale.
Ni sawa na Zain kuitwa Airtel
Waarabu huwa wana mtindio wa ubongo.Dhu, ndiyo Gaza ilivyobaki hivyo aisee kweli mwana kulitafuta mwana kulipata
Dhu, ndiyo Gaza ilivyobaki hivyo aisee kweli mwana kulitafuta mwana kulipata
Nani alikdanganya ? Hakuna hivyo vikundi Marekani?Waarabu huwa wana mtindio wa ubongo.
Marekani ukifikisha miaka 18 unaenda kununua bunduki tena bunduki zinauzwa kama pipi dukani lkn hautasikia wameunda kikundi cha kigaidi kupigana na serikali.
Mwaarabu huwa hajali maendeleo, Libya imekuwa magofu sasa.
Ni kweli maana tunapata misaada kutoka kwa mashekh na tunaishi misikitini ili tusijeshitakiwa.Unawaita wewe labda wewe ni mmoja wao unatafuta watu humu JF wakajiunge nao au wamekulipa ?πππ
Nani alikdanganya ? Hakuna hivyo vikundi Marekani?
Tafuta video Za FBI files utawatakuta humo
Daah hii formation sijui tuiteje? Ila wanaingia kimkakati sana sio kama wale wanajeshi wa Putin walivyokuwa wanaingia Kiev kama unaenda kwa hawara....#kazi inaendeleaa
View attachment 2807530
Makundi yanayoanzishwa Marekani ni makundi ambayo hayana mlengo wa dini, wao kwa ajili ya kufanya biashara ya madawa ya kulevya na shughuli zingine za kiuhalifu kwa ajili ya kupata hela.Nani alikdanganya ? Hakuna hivyo vikundi Marekani?
Tafuta video Za FBI files watakuta humo