Wanajeshi wa Israel wapo Gaza mjini kati sasa

Ni kweli maana tunapata misaada kutoka kwa mashekh na tunaishi misikitini ili tusijeshitakiwa.
Kuna ubaya kuwepo kwa kundi la kigaidi la kiislamu kueneza utawala wa sharia?
Takbir
Sheikh ni cheo gani katika uislamu? Umekitoa wewe ?
 
Mbumbumbu pekee ndio anashabikia uvamizi wa Israel na kuaminishwa kwamba Hamas walivamia ukuta na kuingia Israel...pia kuaminishwa neno gaidi.
 

Uliangalia FBI files wakati gani ? Ukaona Wale watu weusi na dini yao ya Kikristo ya Jehovah kule Florida walivyokuwa walikuwa watu ?
Wacha ushabiki wa kitoto
 
Yaani Hamas wakirusha hata jiwe uelekeo wa IDF habari itakuzwa kama vile jeshi lote limeangamizwa...
Huyu dada yetu FaizaFoxy hawapendi Wayahudi kwa moyo wake wote
 
Uliangalia FBI files wakati gani ? Ukaona Wale watu weusi na dini yao ya Kikristo ya Jehovah kule Florida walivyokuwa walikuwa watu ?
Wacha ushabiki wa kitoto
Ushabiki wa kitoto zaidi ya hii?
 

Usidanganyike ingia japo Google uulize makundi ya dini huko Marekani ya Kikristo yanayotumia silaha
Kumbuka yule David Koresh , au wewe ni mtoto
 
Unaokota watu wameandika Kama wewe humu JF , Kweli vijana hamna kitu TZ , CCM wameuwa elimu TZ
 
Usidanganyike ingia japo Google uulize makundi ya dini huko Marekani ya Kikristo yanayotumia silaha
Kumbuka yule David Koresh , au wewe ni mtoto
Umesikia mtu anaitwa David Koresh aliyeanzisha kundi la uharifu wa uuzwaji wa madawa ya kulevya basi unafikiri kwasababu anatangaza dini.
Kwenye ukristo haipo kitu km hicho, haulazimishwi wala huwezi kushikiwa bunduki kwasabb umekataa kuwa mkristo au kuuwawa kwasbb umekataa ukristo.
Duniani tunaishi kwa amani kwa hisani ukristo
Mwaarabu ukiwa siyo muislamu kwake yeye ni kifo maana nchi za waislamu wengi kuna makundi ya kigaidi
 
K
Kumbe unaleta vitu hata huelewi , kijana kacheze mdako
Sawa
 

Kweli wewe mtoto , kacheze mdako
 
Unaokota watu wameandika Kama wewe humu JF , Kweli vijana hamna kitu TZ , CCM wameuwa elimu TZ
Nataka nikusafirishe mpk Sudan ukakutane na ndugu zako Janjaweed.
Somalia utaishi vizuri ila Sudan hutoboi
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Mpaka wasemeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 

Ni kweli nchi Za kiislamu kuna ugaidi lakini nchi Za Kikristo kuna upendo , labda umeshaolewa

Kaungame madhambi yako kwa padre shoga huyu


View: https://youtu.be/bVFq_9Z0BZU?si=fAcvVdlJA5qyvtb3
 
Mimi pia nitamchangia nauli ya kwenda kwao sudan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…