USA wala Britain hazikutangaziwa vita na Nazi Germany. Elewa mambo kijana.
Nazi Germany ilitangaza vita dhidi ya Poland na Ufaransa, zikafuata nyingine baadae kina Holland na Sweden na Urusi uko. Uingereza ndio ilitangaza vita dhidi ya Ujerumani. Pia baadae miaka kama mitatu US ikatangaza vita dhidi ya Marekani.
UK na US zilipigana na Ujerumani
kwa msaada, kuwasaidia wanyonge wasizidiwe. Hakukuwa na sababu ya msingi ya US kuingia vitani, hakukuwa na sababu ya msingi ya Britain kuingia vitani ila tu kupinga Fascism.
Urusi ilistahili ipigane na Ujerumani sababu ilivamiwa, sasa ulitaka isipigane ipiganiwe na nani baba yake au? Soviets walikuwa vibonde waliteswa na kanchi kamoja ka Finland, Ujerumani ikawaona hamna kitu.
Hakuna cha kushukuru Mungu, Mungu hakuwa vitani. Ujerumani ilipigwa na Uingereza. Get your facts right.
Ujerumani ilienda na ndege zaidi ya 2,500 wakati Uingereza merely ilikuwa na ndege 700 ila matumizi ya akili, mipango, training na valor ya Waingereza (ambavyo nyinyi Warusi huwa hamtaki bali kutumia nguvu nyingi na akili kidogo) ndio uliwafanya ku-inflict casualties nyingi kwa Germany Airforce.
Bombers na fighters zilikuwa zinatoka Ujerumani direct hadi Uingereza kwa miezi kadhaa mfurulizo ila zilipigwa. Warusi wana linchi likubwa ndege za Ujerumani zinakuja zinatua njiani kwanza mara Poland mara nchi gani. Na bado Warusi wakapigwa wakachaa hadi wakafa milioni 20.
Ulitaka nani ashirikiane na Soviet Union kule Eastern Front?
Wasovieti walikuwa washamba tu. Wakati Ujerumani inavamiwa Poland mwaka 1939, wao wakaisadia kuvamia Finland kwenye Winter war mwaka huohuo na wakaonekana maboya wamepata casualties nyingi dhidi ya kanchi kadogo.
Mwaka huohuo 1939 Soviets waliivamia Poland wakishirikiana na Ujerumani, wakaigawana nusu. Wakafanya na Katyn massacre kwa kuuwa wafungwa wa kivita 22,000 wa Poland (ni kawaida ya Soviets, they were human scums).
Mwaka huohuo 1939 Soviets na Nazi Germany waliandika mkataba wa kusaidiana kijeshi na kivita. Ulisainiwa na mawaziri wao wa mambo ya nje
Molotov-Ribbentrop PactView attachment 3183574
Hawa hapa majangiri Viacheslav Molotov (kushoto) na Joachim von Ribbentrop (kulia) siku wamesaini mkataba wasaidiane kijeshi.
Baadae kutokana na kwamba wachawi hawaaminiani, Ujerumani kwa sababu zilezile ilizoona wengine ni mafala ikagundua Warusi ni mabwege zaidi. Miaka mitatu baadae ikaamua ivamie mabwege.
Sasa unamlaumu nani ambaye angeshirikiana na USSR kule Eastern front. Unashirikiana vipi na fedhuri na mwehu?
USSR walisaidiwa kupunguziwa mzigo wa kupigana Western front ili Ujerumani igawane war resources pande mbili izidiwe. UK na US zingeweza kuwaacha Wajerumani wawapige Wasovieti na nchi yao igeuzwe mashamba ya ngano (ndicho Hitler alitaka baada ya kuona UK ni wagumu alafu kilimo chao hata Morogoro ikiamua kulima inawazidi, alafu USSR washamba tu na linchi lina kila kitu).
Marekani ilitoa msaada huu hapa kwa Urusi, sababu kama Urusi ingetekwa basi Marekani ingewajibika kuikomboa. Warusi kwa training za hovyo na kutojali uhai wakawa wanakufakufa tu vitani
View attachment 3183587