Uongo ni utamaduni wenu, mmeshindwa sera mmehamia kwenye makampuni ya simu
Wajue mabingwa wa uongo Tanzania ๐๐๐๐๐๐๐
CCM - Lowasa huwezi gombea urais, mwache Jakaya apeperushe bendera ya chama chetu. Lowasa atakua waziri mkuu๐
CHADEMA - Jakaya dhaifu, tunataka rais mwenye maamuzi magumu๐
- Lowasa fisadi tena fisadi papa. Ajiuzuluuuuu aondokeeee hatufaiiiii anauza nchiiii๐๐
CCM - Jakaya anamaliza muda wake, Lowasa anataka kupeperusha bendera lakini hatufai... hata kama wajumbe wamempitisha kwa maslahi mapana ya taifa na kwa vizazi vijavyo tumkate Lowasa tumpe John Pombe Magufuli๐๐
CHADEMA - Lowasa ni kiongozi shupavu sana. Inabidi tumwombe ahamie kwetu, tumpe nafasi agombee urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania. Tena atakuja na mtaji wa watu na pesa. Tutashinda๐ค๐
CCM - John Pombe Magufuli ameshinda na ndie rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania๐๐น๐ธ๐๐
CHADEMA - John Pombe Magufuli hafai, hashauriki, ana maamuzi magumu sanaaaa๐๐
CCM - Tanzania ni tajiri sana,wananchi tuchape kazi.Tujenge mashule, mahospitali, barabara,viwanda๐
CHADEMA - Serikali haijali wananchi. Serikali inajali maendeleo ya vitu na sio watu๐
CCM - Bila kuijenga madarasa watoto wetu watasoma wapi, bila hospitali mtatibiwa na bila bararabara mtapita wapi. Hakuna maendeleo ya vitu bila watu๐
CHADEMA - Tutawasemea kwa Amstadam mnatuonea, tutamwambia hatutaki barabara, wala mahospitali, wala mashule wala viwanda. Sisi tunataka maendeleo ya watu๐คฃ๐๐
WATANZANIA - Nyie CHADEMA msituchezee, mmetuona watoto wadogoooo. Tunasema 5tena kwa John Pombe Magufuli tarehe 28.10.2020. Hakuna wa kumshinda Magufuli๐๐น๐ฟ๐๐๐๐๐
Heri kujiunga DECI kuliko kujiunga chadema