WanaJF wengi wanaandika maoni yao kwa kuangalia “reply” za mwanzoni ? No critical thinking

Hii aya ya mwisho mkuu mbona kama ni personal sana, wamekufanyaje?
 
ile ya muhimu zaidi mi naona ni kujadiliana na kukosoana kwa upendo na amani regardless mada ni gani 🐒
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] upo nje ya mada lakini
 
Jirani nasubiri unipange 🤣🤣🤣
Ww mkorofi ujue..!! Mwenye uzi kasema hataki soga kwenye uzi wake
Jirani tatizo kunawatu wanachukulia sana JF siriously, ndio hawa wanakuja na manung'uniko. Mimi JF huwa nashinda humu kupiga soga sana siku za weekend. Siku nyingine naingia mara Moja moja. Sasa ukigeuza humu ndio kijiwe chako lazima ukereke maana Kila mtu na alivyo. But Jiran Leo twende KUKU KUKU, pale jirani na SAMAKI SAMAKI MLIMAN CITY, tukale KUKU.
 
Jirani mi nalog in nikiwa bar mwenzio ndiomana natype ninachojisikia na sipo kumfanya mwingine ajisikie vile yy anataka kusikia 🤣🤣🤣🤣
Sema kwenye kuku umeua, ulijuaje km napenda kwiyoo 😋😋😋
 
Wengi hawapend kusimama wao wenyewe, so lazima atafute wa kuungana nae, anaogopa kuwa alone anaepingana na uzi 😂😂😂
 
Wakishaanza wale wapenzi wa JF unakuta mara shosti njoo, mara baby soma hapa. Alafu wakaanza reply zisizoisha na emoji hapo najua mada imeisha uchangiaji hamna tena. Ukute ni mada mtu anaumwa anauliza dawa, kenge zinakuja kutongozana humo
Nakwazika sana na izo kenge zinazotongozana ama kutaniana kwenye nyuzi za watu ambazo zinahitaji u serious.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…