Wanamuziki wa Kimarekani walioweka mistari ya Kiswahili ndani ya nyimbo zao

rick ross nyimbo siijui
mother f....ck am stuck in swahil
 
halafu hawa makaburu maranyingi wakitengeneza filamu kenya lazima wachomekee swahili..fatilia utagundua movie nying za hawa wazungu wakiigiza kenya.
 
Aliegiza Titanic yupi Kate Winslet,Billy Zane au Leonardo tafafhali nijulishe coz nimekuwa interested!

Ni leornado caprio walikua mombasa nadhanii ,alikua anakimbiaa akaingia kwenye hotel baba mmoja akamwambia Leo (unatafuta nini huku Mutu mubaya)
 
Hii naikumbuka ya akina Angelina Jolie ila nilisahau jina

Walitaja neno serengetii na wanyama wakaonyeshwaa,na kuna sehemu walikua wanauliziaa wakauliza kwa kiswahili na kujibiwa kwa kiswahilo alijibu Angelina jolie
 
aisee kuna movie nyingi za kihindi nimeona wanaongea kiswahil, kiswahili kipo juu

Na ujio wa hawa wadau wakubwa wa muziki hope wataendeleza kiswahili wakirudi marekani

Kutoka kshoto:Chaka zulu(Manager wa ludacris),Terrence J(Mtangazaji wa E! Entertainment mwanzo alikua BET) na David Burner mkali wa hit single kama I got 9mm ft Lil wayne na snoop,producer wa hits single kama Rubber Band Man wa TI,They like me wa Shop Boyz.
 
Hata TI alipohojiwa juu ya ugomvi wake na May money jr aliongea Kiswahili mwishoni HAKUNA MATATA
 
Hivi kwenye "American pie" si kuna sehemu dogo yule alikuwa anaongea na jamaa mweusi anasema ni mwalimu wake wa kiswahili halafu hapo hapo akasema "mambo jambo"
 

Heee tuhabarishe Amar Shakur alikuwa mchaga?
 

Geronimo Plat?
 
Walitaja neno serengetii na wanyama wakaonyeshwaa,na kuna sehemu walikua wanauliziaa wakauliza kwa kiswahili na kujibiwa kwa kiswahilo alijibu Angelina jolie

hii ni lara croft tomb raider;the cradle of life. nafikiri walikuwa wanatafuta chanzo cha uhai hivyo lile eneo wamecheza kama olduvai.
 
Wale wa Indian movie mtakuwa mnaikumbuka movie ya Vishwatma, kuna sehemu Amrish Poor anaimba" ...ohoo ohoo mimi ni mkubwa sana"
 
Nyimbo inaitwa 'U.N.I.T.Y"
 
Wale wa Indian movie mtakuwa mnaikumbuka movie ya Vishwatma, kuna sehemu Amrish Poor anaimba" ...ohoo ohoo mimi ni mkubwa sana"

Ipo pia alicheza sandeo alikua amelala demu wake akamuasha huku anaimbaa( eeee amka twende tukaogee amka twende tukaogee..... duuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…