Wanamuziki wa Kimarekani walioweka mistari ya Kiswahili ndani ya nyimbo zao

Mwisho wa siku wanajua kiswahili ni cha wakenya tu,they dont know us(tz)
 
ata kuna nyimbo nilitoa 2007 nilichomeka mistari ya kiswahili kama nakupenda mtoto mzuri.etc .

kiswahili kinakua.
 

Kiswahili kinazudi kupendwa kila kukicha
 
ata kuna nyimbo nilitoa 2007 nilichomeka mistari ya kiswahili kama nakupenda mtoto mzuri.etc .

kiswahili kinakua.

kwani si unakielewa kiswahili au?

Wewe usanii wako unaufanyia wapi na wimbo wako maarufu upi
 
Hata yule mmarekani liyehamia congo miaka ya karibuni nadhani anajiita Jenerali Defao kama sikosei, ana kawimbo kake kanaitwa Koza, naona aliongeaongea kiswahili kidogo!! Japo lafudhi yake ya kimarekani inafanya baadhi ya maneno yasieleweke!!
 

mwaka 83 kaka yake Michael Jackson anaitwa jermine Jackson alipiga funk COME TO ME na akaingiza neno la Kiswahili NJOO KWANGU
 
American Pie!

Kuna sehem stiphler alikuwa anazungumza kiswahili, tena akiwa na mwalimu kabisa anamfundisha!
 

8.Nemesis Nebula
 
kwenye muvi ya james bond ile casino royale aliyoigiza david craig wanapiga kiswahili laivu kabisa tena mazungumzo marefu kidogo wale wanajesh wa msituni
 
Nimejaribu sana kufuatilia michango ya wengi humu nimegundua kuna tatizo la hii lugha yetu japokuwa tunaisifia.Utakuta hata hao wazungu wanaongea lugha fasaha kuliko sisi wenye lugha yetu.

Kuna hili tatizo limekuwa sugu sana sio humu Jf pekee,bali hata kwenye vyombo vya habari hasa redio.

Jamani hatutakiwi kusema "kuna nyimbo ameimba.....au kuna hii nyimbo ameimba.....

"Nyimbo ni wingi wa "wimbo".Unapotaka kuzungumzia wimbo mmoja,basi sema hivi "wimbo huu umeimbwa na......sio nyimbo hii imeimbwa na.......

Nyimbo inaendana na "hizi"
Wimbo unaendana na "huu".

Naomba kuwasilisha!
 
Kuna series inaitwa one tree hill kuna mtu alisema dada

payton..''P Sawyer''..Brooke,Nate,Mouth McFaden,Lucas..aisee niliipenda na nilijifunza vingi sana juu ya makuzi ya watoto na vijana kwa wenzetu huko.
 
payton..''P Sawyer''..Brooke,Nate,Mouth McFaden,Lucas..aisee niliipenda na nilijifunza vingi sana juu ya makuzi ya watoto na vijana kwa wenzetu huko.

Niliipenda ile series sana sana it was good,yule mtoto wa jake alikuwa anasema dada so jake akamuiliza payton what I dada payton akasema it is sister in swahili language
 

mie nilihudhuria maziko lol
 
1.Mc lyte::::1991
My mother put me in weusi shule which means black school in swahili mc lyte kwenye ngoma ya krs 1 heal yourself
Thx a lot... you know what, nakumbuka sana hii ngoma enzi hizo tuko, dah, hata kama hazijafutika sawa sawa... we acha tu!! Kama isingekuwa video ina sehemu kwenye ubao imeandikwa WEUSI SHULE, no one could believe it!! Long time sana, and since then nimekuwa nikihangaika kufahamu jina la hii ngoma na nani kapiga... kila unayemuuliza, anakuona mzushi... sema ndo hivyo tena, enzi hizo hata TV zenyewe bongo ilikuwa hamna... Let me try to search for it.
 
Hata kwenye skelewu ya davido ,pale mwanzo mwanzo wakati anatoka hospitali ... Kuna jamaa anasema 'blaza kimbiaaa'

Nimechekajeee sikuwahi isikiaa ila nimeisikiliza leo ndio nimesikiaa yule kaka anamuambia Davido " braza kimbiaa" sasa sijui ni hivyo au matamshi tu
 

hata jack buer kwenye 24 nimesahau ni season ya ngapi alikua ana mfukuzia habib marwan kuna sehemu jack alikua ana wasiliana na tcu akasema "hAbib marwa is more than a shetani,".
 
Yvonne chaka chaka kwenye wimbo wa mamaland ameweka maneno ya kiswahili..''iwe nakupenda iwe mamaland...''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…