Wanamuziki wa Kimarekani walioweka mistari ya Kiswahili ndani ya nyimbo zao

hata cookie alisema anaitwa Taraj P Henson
maana ya P ni kiswahili pendo, alipewa hilo jina na rafiki take mswahili
 
movie ya Plan B pia wameongea kiswahili kwa takribani sekunde 20
katika hiyo movei yupo David Beckham alitumia jina la Face
 
Mwenyewe moja ya movies za American Pie kuna kipande wanaongea kiswahili full conversation.
 
Quantico (tv show) inayorushwa na ABC season 2 wamehesabu kiswahili moja mpka 10
 
A Team kuna sehemu wanaongea kiswahili, sehemu wanakagulia passport, nimesahau maneno exactly ila walitaja somesort of Zanzibar

Nikita kuna sehemu percy aliongea kiswahili, sikumbuki episode ya ngapi exactly
Yah, kwenye A Team pale walipokuwa wanakaguliwa passport yule mkaguzi black alipoicheki akamuuliza kwa kiswahili tena fasaha na Jamaa akajibu " Natokea Zanzibar baba yangu ilikuwa anafundisha kule" tena bila hesitation na lafudhi iliyonyooka.

Zipo movies nyingi tu.

American pie 5 ni mojawapo
 
kuna movie inaitwa The Human Antipede, ni horror.....kuna mahala yule binti Sarah alitamka "sura yako chachu kama embe za Kibada"
Nilirudisha mara mbili mbili ili kuhakiki.....kwelk kiswahili kimetanuka....tanuuuu.
Mkuu hii movie lazima niitafute
 
Hata kwenye move ipo sana tu, nakumbuka move moja ya van damme na ---- young. Damme alimwambia ---- ntakutwanga wewe lakin kutokana na lafudhi wengi hawa kuelewa ila kwenye script iko wazi na wameainisha
Movie kama sio ya Van Damme au Anold kuna yule dogo alisema nimepanda gari leooo
 
[emoji13] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Picha la Loah Mzee Ashanti aliimba "Mimi ni Mkubwa sana" naskia kipande kile walichezea Kenya
Hata leo nmeicheck kwenye sony hiyo movie huwa wanadai vipande vingine walicheza Kenya
 
Kuna movie jambazi ni jack bauer inaitwa phone booth.. Kuna jamaa anasema, 'huyu ni mjeshi wangu, huyu ni askari wangu'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…