Wananchi bado tunaomba uchunguzi mkali mradi wa stiglers/SGR, huko ndiko kuna vikampuni vya mzee na vifaranga wake waliopeana tenda

Wananchi bado tunaomba uchunguzi mkali mradi wa stiglers/SGR, huko ndiko kuna vikampuni vya mzee na vifaranga wake waliopeana tenda

Hii miradi ndio kichaka ambacho mzee alikitumia kupiga mamilioni ya mabilioni, bado tunaomba uchunguzi ufanyike!

Kimkakati, katika hizi wizara aliweka watu wa "nyumbani" watunze siri japo na wao wana vikampuni vyao ndani ya miradi

Waliacha bomba la gesi wakaanzisha miradi ya dili

Mh. Samia, endelea kuchimba, umewakata vichwa waliokuwa wanalinda maslahi ya mzee

Tunajua Songoro Marine alikufa, pengine mshituko, hii kampuni pia mzee alikuwa na hisa, kucha kutwa ilipewa tenda za kujenga vivuko, Nyanza road mjipange, ile barabara ya kigoma mlilipwa pesa zote na hamjajenga, mzee, mwanahisa wenu hayupo tena, tunataka barabara yetu au mteme mpunga!
Rais hatofukua makaburi mkuu ila tuu hata kama wamepeana Kazi taratibu za malipo na Kazi zifuatwe
 
Back
Top Bottom