tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Yule mama ni ndgu wa damu wa kangi lugola ila hawajuani kama ndguSasa ule waraka unakuwaje? Kiukweli yule mama ni mkurupukaji mno na alimuoteshea kibarua majani daktari wa watu...kazi kujali kumfurahisha mwamfulani wkt watu wanateketea.... ITV sa itakuwaje..wataombwa radhi?
Kutatua tatizo kunaanza na kuangalia possibilities.Tusiongelee possibilities kwenye uhai wa binadamu. Kama ni sumu au maji yaliyochaguliwa kuna maabara za kuchunguza hayo yote. Tusianze kupiga ramli kama wale wapiga manyanga.
Usimwamini yeyote ila peke yakoDMO kasimamishwa, kisa anatangaza ugonjwa usiojulikana unajua makumi ya watu. RC kaenda akiagiza wagonjwa wapelekwe mbeya for referral. Wazir kakkataa kukir uwepo wa ugonjwa.
Umeua watu tangu 1996.
Najiuliza tumwamini nani?
DMO aliyepo field, Rc au wazir gwajima aliyepo Dodoma alifanya maigizo kumshuru mumewe?
Mnatuchanga sisi waja wa mungu
Cc .mzee mwanakijiji.
Aliyeambiwa ni Mganga Mkuu wa mkoa na siyo wa Wilaya ambaye amefukuzwa na Nyongo Mkalia Ini.Mganga mkuu ndio kaambiwa awapeleke wagonjwa Rufaa Mbeya.
RC Chalamila ndio mwakilishi wa Rais mkoani Mbeya, huyo Gwajima ni mpita njia tu!
Na wameungwa mkono na Azam TvITV bado wanakomaa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka mpaka napaliwa.Yule mama ni ndgu wa damu wa kangi lugola ila hawajuani kama ndgu
Hivi hilo dracula la chato linatisha sana eti eh!Mkuu wa mkoa wa Mbeya Chalamila na mbunge wa Chunya wamezuru kijiji cha Ifumba wilayani Chunya kupata taarifa za ugonjwa usiojulikana.
Wananchi wamesema ugonjwa huo ni kweli upo na umeshaua watu zaidi ya 30 na kwa sasa kuna wagonjwa 22 ambao wamelazwa na wengine wanaugulia majumbani.
Ndipo mbunge wa Chunya akamuomba RC Chalamila aingilie kati swala hilo kwani wapiga kura wake wanateketea.
RC Chalamila akatoa agizo kwa mganga wa wilaya kuhakikisha wagonjwa wote 22 wanapelekwa hospitali ya Rufaa Mbeya kwa uchunguzi zaidi na matibabu.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Sijui JPM alimuokota wapiWizara ni kubwa kwake huyo maza wamtoe....!
hawezi kazi
Sasa wewe,na Itv,na nganga wako tunawaeka kwenye chungu kimoja,ole wenu!!Mganga mkuu ndio kaambiwa awapeleke wagonjwa Rufaa Mbeya.
RC Chalamila ndio mwakilishi wa Rais mkoani Mbeya, huyo Gwajima ni mpita njia tu!
Hii Serikali inaendesha mambo yake yote kwa njia ya udanganyifu. Siku zote ukitawala watu ambao hawana taarifa utawafanya unachotaka.Mabibi na mabwana kuna habari kuwa kwa habari hii serikali imekwazika:
View attachment 1697768
Nini makosa ya broadcaster kwenye hili?
Nini makosa ya watu kwenye sehemu ya tukio kuthibitisha mambo kama wanavyoyaona kama ilivyokuwa kwenye hili?
Ninawasilisha.
Sasa ule waraka unakuwaje? Kiukweli yule mama ni mkurupukaji mno na alimuoteshea kibarua majani daktari wa watu...kazi kujali kumfurahisha mwamfulani wkt watu wanateketea.... ITV sa itakuwaje..wataombwa radhi?
Yule ni kauzu fulani hivi!