Wananchi Chunya wamwambia RC Chalamila wagonjwa wanaotapika damu wako 22, RC aagiza wapelekwe hospitali ya Rufaa

Wananchi Chunya wamwambia RC Chalamila wagonjwa wanaotapika damu wako 22, RC aagiza wapelekwe hospitali ya Rufaa

'
JamiiForums329407765.jpg
 
DMO kasimamishwa, kisa anatangaza ugonjwa usiojulikana unajua makumi ya watu. RC kaenda akiagiza wagonjwa wapelekwe mbeya for referral. Wazir kakkataa kukir uwepo wa ugonjwa.
Umeua watu tangu 1996.
Najiuliza tumwamini nani?
DMO aliyepo field, Rc au wazir gwajima aliyepo Dodoma alifanya maigizo kumshuru mumewe?
Mnatuchanga sisi waja wa mungu
Cc .mzee mwanakijiji.
 
DMO kasimamishwa, kisa anatangaza ugonjwa usiojulikana unajua makumi ya watu. RC kaenda akiagiza wagonjwa wapelekwe mbeya for referral. Wazir kakkataa kukir uwepo wa ugonjwa.
Umeua watu tangu 1996.
Najiuliza tumwamini nani?
DMO aliyepo field, Rc au wazir gwajima aliyepo Dodoma alifanya maigizo kumshuru mumewe?
Mnatuchanga sisi waja wa mungu
Cc .mzee mwanakijiji.
Usimwamini yeyote ila peke yako
 
Mganga mkuu ndio kaambiwa awapeleke wagonjwa Rufaa Mbeya.

RC Chalamila ndio mwakilishi wa Rais mkoani Mbeya, huyo Gwajima ni mpita njia tu!
Aliyeambiwa ni Mganga Mkuu wa mkoa na siyo wa Wilaya ambaye amefukuzwa na Nyongo Mkalia Ini.
 
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Chalamila na mbunge wa Chunya wamezuru kijiji cha Ifumba wilayani Chunya kupata taarifa za ugonjwa usiojulikana.

Wananchi wamesema ugonjwa huo ni kweli upo na umeshaua watu zaidi ya 30 na kwa sasa kuna wagonjwa 22 ambao wamelazwa na wengine wanaugulia majumbani.
Ndipo mbunge wa Chunya akamuomba RC Chalamila aingilie kati swala hilo kwani wapiga kura wake wanateketea.

RC Chalamila akatoa agizo kwa mganga wa wilaya kuhakikisha wagonjwa wote 22 wanapelekwa hospitali ya Rufaa Mbeya kwa uchunguzi zaidi na matibabu.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Hivi hilo dracula la chato linatisha sana eti eh!
 
Mabibi na mabwana kuna habari kuwa kwa habari hii serikali imekwazika:

View attachment 1697768

Nini makosa ya broadcaster kwenye hili?

Nini makosa ya watu kwenye sehemu ya tukio kuthibitisha mambo kama wanavyoyaona kama ilivyokuwa kwenye hili?

Ninawasilisha.
Hii Serikali inaendesha mambo yake yote kwa njia ya udanganyifu. Siku zote ukitawala watu ambao hawana taarifa utawafanya unachotaka.

Mwaka 2016 Serikali ilijitoa kwenye mkataba wa uendeshaji kwa uwazi (Open Government Partnership- OGP). Huu mkataba unataka shughuli zote za Serikali zifahamike na wananchi na wananchi wahoji.

Mwaka 2016 tena kuna ugonjwa wa ZIKA ulitokea na Mkurugenzi wa NIMR ambaye ndiye ana utaalamu wa utafiti wa magonjwa akafukuzwa kazi na Rais eti analeta taharuki.

TRA inajinasibu kukusanya hadi Tsh 2.0 Trilioni kwa mwezi, lakini jiulize Kama hizo fedha zinakusanywa kweli, kwa nini Rais anashindwa kupandisha mishahara ya wafanyakazi wa Serikali. Au kama anakusanya kiasi hicho kwa nini deni la Taifa limepanda kutoka Ttsh 28 Trilioni mwaka 2016 hadi Tsh 52 Trilioni mwaka 2020. Ina maana Serikali inakopa sana.

Mwaka 2019 Serikali ilipitisha Sheria ya Takwimu na Sheria ya Huduma za habari. Sheria hizi zina jenga ukiritimba wa habari na zina mpa mamlaka makubwa Waziri wa Habari kufungia chombo cha habari bila kuulizwa.

Mwaka 2020 ugonjwa wa COVID 19 usababishwao na virusi vya Corona uliingia duniani na unaendelea hadi leo. Watu wengi sana wanakufa lakini MAGUFULI hataki dunia ijuwe.
Hiyo ndiyo TANZANIA yya AWAMU ya 5 ambayo imeamua kuishi kwa UWONGO. Wanadanganya kila kitu
 
Sasa ule waraka unakuwaje? Kiukweli yule mama ni mkurupukaji mno na alimuoteshea kibarua majani daktari wa watu...kazi kujali kumfurahisha mwamfulani wkt watu wanateketea.... ITV sa itakuwaje..wataombwa radhi?

Ndio maana tunasema serikali hii ni ya maendeleo ya vitu na sio watu. Watu wazima wanasema kuwa kuna vifo visivyo vya kawaida, serikali inayojali vitu inawatishia ili wasiweke ukweli wazi, eti kisa kuna kiongozi atachukia?
Cc: yehodaya
 
Back
Top Bottom