Mkongwe Mzoefu
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 861
- 2,515
Hii yote imeletwa na JPM, ameharibu sana nchi kimaadili. Hili watu hawawezi kuliona hadi pale atakapo ondoka madarakani.siasa imezidi utu siku hizi kila Sehem politics hata katika mambo senstive kama uhai
Yupo kama ebitokeHivi Magu alifikiria nin kumchagua Doroth naona ni mapepe ,kichwan zeroo kabisa
Na pia ana vinasaba na GwajiBoy aka GwajifiksiYule mama ni ndgu wa damu wa kangi lugola ila hawajuani kama ndgu
Hujuma hiyo itakua, vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama vinatakiwa kua makini sana! Maana inaonekana tuna maadui wengi sana ndani ya Nchi kwa sasa!!Hii ni posssibly food poison, au maji yaliyo chafuliwa (contaminated).
kwanini kila kitu mnakimbilia kujitetea kwa kauli ya hujuma badala ya kutafuta source ya tatizo?Hujuma hiyo itakua, vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama vinatakiwa kua makini sana! Maana inaonekana tuna maadui wengi sana ndani ya Nchi kwa sasa!!
Yule mama ni mpuuzi sanaSasa ule waraka unakuwaje? Kiukweli yule mama ni mkurupukaji mno na alimuoteshea kibarua majani daktari wa watu...kazi kujali kumfurahisha mwamfulani wkt watu wanateketea.... ITV sa itakuwaje..wataombwa radhi?
Hawezi kumtoa ndiyo ana taka watu wa aina yakeHuyu mama Jiwe anamtoa muda si mrefu
Hawezi kutimuliwa angalia watu kama akina Mwigulu, Jafo n.k ni wachache sn wenye busara na hekima kama mzee MkuchikaYule mganga mkuu wa halmashauri aliyesimamishwa arejeshwe mara moja na Dr Gwajima atimuliwe .
Yule mganga mkuu wa halmashauri aliyesimamishwa arejeshwe mara moja na Dr Gwajima atimuliwe .
Nilisema KWA vyovyote Kulikua ni kumtoa kafara DMO, wenda tahalifa zilikuepo but walikua wanaficha,
Hii awamu ina mambo ya vichekesho kwakweliSasa itukuwaje kuhusu maagizo ya comedian gwajima?
Wanansiasa wakati mwingine wana overplay their luck. Gonjwa limeinuka huko kijiji cha Ifumbo.
Badala ya kushughulika na suala la ugonjwa, Dkt. Gwajima akaanza kujimwambafy kuwa yeye ndio mwenye dhamana ya kutangaza ugonjwa.
Mbaya zaidi Dkt. Dorothy Gwajima kwa mmlaka aliyo nayo akamtimua Daktari wa Wilaya!
Wizara imesema wamekufa watu watatu.
Dkt. Dorothy Gwajima ameumbuliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, wananchi wamemuambia waliokufa wanafika 34.
Wizara ya Afya isijigeuze kuwa mdibiti wa habari za afya na kuzuia kuhabarisha wananchi, ati mpaka wao Makao Makuu waarifiwe.
Huo ni umangi meza.
Watu zaidi ya 15 wafariki kwa ugonjwa usiofahamika, Chunya
Wananchi wa kata ya Ifumbo wilayani Chunya wameripotiwa kuugua ugonjwa usiofamika ambao mtu akiugua anatapika damu mpaka anapoteza maisha, na mpaka sasa tayari watu zaidi ya 15 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 50 wanaendelea kuugua, hali ambayo imesababisha halmashauri hiyo kuomba msaada wa...www.jamiiforums.com
Vioja kweli kweliYule mganga mkuu wa halmashauri aliyesimamishwa arejeshwe mara moja na Dr Gwajima atimuliwe .