Wananchi Chunya wamwambia RC Chalamila wagonjwa wanaotapika damu wako 22, RC aagiza wapelekwe hospitali ya Rufaa

Wananchi Chunya wamwambia RC Chalamila wagonjwa wanaotapika damu wako 22, RC aagiza wapelekwe hospitali ya Rufaa

Hivi Magu alifikiria nini kumchagua Doroth naona ni mapepe, kichwani zero kabisa
 
Hii ni posssibly food poison, au maji yaliyo chafuliwa (contaminated).
Hujuma hiyo itakua, vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama vinatakiwa kua makini sana! Maana inaonekana tuna maadui wengi sana ndani ya Nchi kwa sasa!!
 
Hongera wananchi wa Chunya kwa kusimama kwenye ukweli. msipokuwa makini hawa wanasiasa watawamaliza kwa tamaa zao za madaraka
 
Hujuma hiyo itakua, vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama vinatakiwa kua makini sana! Maana inaonekana tuna maadui wengi sana ndani ya Nchi kwa sasa!!
kwanini kila kitu mnakimbilia kujitetea kwa kauli ya hujuma badala ya kutafuta source ya tatizo?
 
Sasa ule waraka unakuwaje? Kiukweli yule mama ni mkurupukaji mno na alimuoteshea kibarua majani daktari wa watu...kazi kujali kumfurahisha mwamfulani wkt watu wanateketea.... ITV sa itakuwaje..wataombwa radhi?
Yule mama ni mpuuzi sana
 
Nilisema KWA vyovyote Kulikua ni kumtoa kafara DMO, wenda tahalifa zilikuepo but walikua wanaficha,

Kitendo Cha kuficha ugonjwa na wizara kutoa taarifa za uongo kwa kukanusha huo ugonjwa haupo...

Ni sababu tosha kwa waziri kuwajibika Au kujiuzuru...

Huku Ni kuhatarisha afya, usalama wa raia na kuhujumu taratibu za kitabibu kwa kuongea uongo...
 
Wanansiasa wakati mwingine wana overplay their luck. Gonjwa limeinuka huko kijiji cha Ifumbo.

Badala ya kushughulika na suala la ugonjwa, Dkt. Gwajima akaanza kujimwambafy kuwa yeye ndio mwenye dhamana ya kutangaza ugonjwa.

Mbaya zaidi Dkt. Dorothy Gwajima kwa mmlaka aliyo nayo akamtimua Daktari wa Wilaya!

Wizara imesema wamekufa watu watatu.

Dkt. Dorothy Gwajima ameumbuliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, wananchi wamemuambia waliokufa wanafika 34.

Wizara ya Afya isijigeuze kuwa mdibiti wa habari za afya na kuzuia kuhabarisha wananchi, ati mpaka wao Makao Makuu waarifiwe.
Huo ni umangi meza.

Wataalamu wa afya wafike hapo haraka sana ili kuchukuwa sampuli mbali mbali za eneo husika hasa sampuli za maji za maeneo yote husika wapeleke lab ikiwa ni pamoja na sampuli za matapishi choo mpaka kufikia watu 15 wanafariki baadhi watu hapa wanatakiwa kufukuzwa kazi
 
Aibu sana Field Marshal gani mkurupukaji asiye na mipango!Nkt
 
Wanansiasa wakati mwingine wana overplay their luck. Gonjwa limeinuka huko kijiji cha Ifumbo.

Badala ya kushughulika na suala la ugonjwa, Dkt. Gwajima akaanza kujimwambafy kuwa yeye ndio mwenye dhamana ya kutangaza ugonjwa.

Mbaya zaidi Dkt. Dorothy Gwajima kwa mmlaka aliyo nayo akamtimua Daktari wa Wilaya!

Wizara imesema wamekufa watu watatu.

Dkt. Dorothy Gwajima ameumbuliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, wananchi wamemuambia waliokufa wanafika 34.

Wizara ya Afya isijigeuze kuwa mdibiti wa habari za afya na kuzuia kuhabarisha wananchi, ati mpaka wao Makao Makuu waarifiwe.
Huo ni umangi meza.

Kutokana na hii habari...

SITOSIKILIZA AU KUAMIN TAARIFA ZA HUYO WAZIRI WA AFYA NA WIZARA YAKE

SIWEZI KUSIKILIZA UONGO NA MAHABA YA KISIASA
 
Huyu mama Gwajima ana gubu na ni mropokaji mkubwa..anafanya maamuzi ya kijinga kama hayo
 
Back
Top Bottom