Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,398
- 2,619
Hii ndiyo faida ya nyumbu kushangilia kifo cha Magufuli
Mitandaoni ndiyo majumbani kwao mzee wanakula kwa like na retweet usitegemee hao robot kuleta mabadiliko..Nimekuwa nikisoma mitandao ya kijamii, maneno ya wananchi yameanza kuniogopesha na kwa kweli kama hili jambo halitafanyiwa kazi hii nchi inaenda kubaya, tena inaenda kubaya kwelikweli.
Nchi hii matendo ya mauaji ya watu kama (Mzee Kibao), Kutekwa kwa watu kama vijana (Deusdedith Soka), kufunguliwa kesi kubwakubwa za ugaidi na uhaini vimekuwa vikiongezeka na inavyoonekana serikali ya nchi hii imeshindwa kuthibiti mambo hayo.
Watu wanapiga kelele, Viongozi wa dini wanapiga kelele, lakini kwa bahati mbaya haya mambo yanakomaa na kukita mizizi. Serikali ya Samia inaonekana ni kama imeweka pamba masikioni, haiko interested!
Kwa miaka mingi nilikuwa nafuatilia hisia za wananchi katika masuala ya violence yanayohusisha Jeshi la Polisi na Raia, Wananchi wengi walikuwa wakijifanyia ile kitu inayoitwa SELF SENSORSHIP, yaani mtu mmoja alikuwa kwa mfano akisema kuwa wafanye vitendo vya kulipa kisasi, wenzao walikuwa wakiwajibu kwa msisitizo kuwa TUNATAKA KUPATA SULUHU KWA NJIA ZA AMANI.
Lakini siku hizi tone imebadilika, katika mijadala hii inayoinvolve wananchi, Mtu akileta hoja za kulipa visasi, tena wengine wakisuggest njia ngumungumu za kulipa visasi, cha ajabu kuna CONCENSUS miongoni mwa Wanamjadala kukubaliana na Suggestion hizo.
Hii inamaana kuwa Kama Serikali isipothibiti chuki na hasira za watu itegemee huko mbeleni kupata LONE ACTORS watakaokuja kufanya maafa makubwa sana mpaka mfumo ukachanganyikiwa.
Serikali ifahamu tu kuwa Intelijensia ina mipaka. Ni kweli Usalama wa Taifa unaweza kudeal na watu ambao wako organised, lakini pindi mtu mmojammoja bila kuhusisha wengine akaamua kufanya jambo ni vigumu kudhibiti. Wakumbuke tu historia ya Mkulima Mwamindi huko Iringa vs Mkuu wa mkoa Dr Kleruu enzi hizo za utawala wa Mwalimu.
Nikisikiliza maongezi ya watu clubhouse, watu wameanza kuzungumza kudeal na Polisi wanaopanga mitaani. Hii ni hatari sana, mimi nahofia wananchi watakapogeuka mobs na kuanza kufanya hayo mambo itakuwa disaster, Inabidi serikali ijitathmini na kuzuia haya mambo yasitokee. Yatavuruga nchi yetu.
Kilichonitisha na kuniogopesha zaidi ni kuwa watu wanazungumza habari ya kuwadhuru wapendwa wa viongozi. Wanasema kuwa ili wenye dhamana wakomeshe haya mambo ya utekaji na mauji basi eti na wao waumie. Hii ni hatari sana, tukianza tit-for-tat ,
RAI YANGU
Mwanzo wa ngoma ni lele. Zimeanza kuibuka hisia ktk jamii za visasi. Ile self censorship ya watu kukataa vitendo vya uvunjifu wa amani imeanza kuondoka, watu wameanza kuafikiana kufanya vitendo vya kulipa visasi gizani.
Ni muhimu sasa, serikali ione kuwa tunapokwenda huko ni kugumu, ni kubaya sana. Hii kitu ikiendelea, sote tutaumia, wenye mamlaka na wasio na mamlaka.
BUSARA ITAMALAKI ILI KULINDA AMANI , na BUSARA KUU NI KULINDA HAKI YA KILA MTU
Subiri awanyooshe, mlidhani mnashughulika na mama wa kizanzibari, kimsingi mnashughulika na DOLA kamili
Mitandaoni ndiyo majumbani kwao mzee wanakula kwa like na retweet usitegemee hao robot kuleta mabadiliko..
Angemalizia term yake ya five years halafu akamuachia hata Nchimbi lakini kwa sasa anaenda kuwa Smiling Dikteta.Uwezo wenyewe hana afu anang'ang'ania urahisi!
Angeishia ule urahisi wa kurithi tuu.
KizimkaziMkoa gani huo?
Alifaa kuwa jikoni siyo hata mkuu wa mkoaHuyu Mama alifaa kuwa Mkuu wa Mkoa sio nafasi ya Uraisi.
Bora hata Nchimbi isingekuwa hivi.
Wewe umeenda wapi ukazuiliwa na Police ?Wewe uelewa wako ni saizi ya STULI.. Kati ya POLICE na WAENDA MAHAKAMANI.
NANI MLETA FUJO??
MARA NGAPI WATU WANAKUSANYIKA NA TENA BILA FUJO IE. KWA MWAMPOSA
TANGU LINI WATANZANIA WAKAWA WAFANYA FUJO.
BINAFSI KWA JINSI NILIVYO CHAFUKWA HATA NIKIUA MTU KAMA WEWE ROHO HATA HAINISUTI.
# REVENGE IS INEVITABLE.
Nani ameleta fujo wewe swine?Yani mleta fujo halafu mkenuliwe meno? Tutakua na nchi kweli hapo?
Mimi sio mbaguzi wa Jinsia ila naona sasa tunaelekea kubaya kama Nchi.Alifaa kuwa jikoni siyo hata mkuu wa mkoa
Magharibi pemba huko kwaoMkoa gani huo?
Uanataka nini wakati tena kwake alishasema KIFO NI KIFO TU!Nimekuwa nikisoma mitandao ya kijamii, maneno ya wananchi yameanza kuniogopesha na kwa kweli kama hili jambo halitafanyiwa kazi hii nchi inaenda kubaya, tena inaenda kubaya kwelikweli.
Nchi hii matendo ya mauaji ya watu kama (Mzee Kibao), Kutekwa kwa watu kama vijana (Deusdedith Soka), kufunguliwa kesi kubwakubwa za ugaidi na uhaini vimekuwa vikiongezeka na inavyoonekana serikali ya nchi hii imeshindwa kuthibiti mambo hayo.
Watu wanapiga kelele, Viongozi wa dini wanapiga kelele, lakini kwa bahati mbaya haya mambo yanakomaa na kukita mizizi. Serikali ya Samia inaonekana ni kama imeweka pamba masikioni, haiko interested!
Kwa miaka mingi nilikuwa nafuatilia hisia za wananchi katika masuala ya violence yanayohusisha Jeshi la Polisi na Raia, Wananchi wengi walikuwa wakijifanyia ile kitu inayoitwa SELF SENSORSHIP, yaani mtu mmoja alikuwa kwa mfano akisema kuwa wafanye vitendo vya kulipa kisasi, wenzao walikuwa wakiwajibu kwa msisitizo kuwa TUNATAKA KUPATA SULUHU KWA NJIA ZA AMANI.
Lakini siku hizi tone imebadilika, katika mijadala hii inayoinvolve wananchi, Mtu akileta hoja za kulipa visasi, tena wengine wakisuggest njia ngumungumu za kulipa visasi, cha ajabu kuna CONCENSUS miongoni mwa Wanamjadala kukubaliana na Suggestion hizo.
Hii inamaana kuwa Kama Serikali isipothibiti chuki na hasira za watu itegemee huko mbeleni kupata LONE ACTORS watakaokuja kufanya maafa makubwa sana mpaka mfumo ukachanganyikiwa.
Serikali ifahamu tu kuwa Intelijensia ina mipaka. Ni kweli Usalama wa Taifa unaweza kudeal na watu ambao wako organised, lakini pindi mtu mmojammoja bila kuhusisha wengine akaamua kufanya jambo ni vigumu kudhibiti. Wakumbuke tu historia ya Mkulima Mwamindi huko Iringa vs Mkuu wa mkoa Dr Kleruu enzi hizo za utawala wa Mwalimu.
Nikisikiliza maongezi ya watu clubhouse, watu wameanza kuzungumza kudeal na Polisi wanaopanga mitaani. Hii ni hatari sana, mimi nahofia wananchi watakapogeuka mobs na kuanza kufanya hayo mambo itakuwa disaster, Inabidi serikali ijitathmini na kuzuia haya mambo yasitokee. Yatavuruga nchi yetu.
Kilichonitisha na kuniogopesha zaidi ni kuwa watu wanazungumza habari ya kuwadhuru wapendwa wa viongozi. Wanasema kuwa ili wenye dhamana wakomeshe haya mambo ya utekaji na mauji basi eti na wao waumie. Hii ni hatari sana, tukianza tit-for-tat ,
RAI YANGU
Mwanzo wa ngoma ni lele. Zimeanza kuibuka hisia ktk jamii za visasi. Ile self censorship ya watu kukataa vitendo vya uvunjifu wa amani imeanza kuondoka, watu wameanza kuafikiana kufanya vitendo vya kulipa visasi gizani.
Ni muhimu sasa, serikali ione kuwa tunapokwenda huko ni kugumu, ni kubaya sana. Hii kitu ikiendelea, sote tutaumia, wenye mamlaka na wasio na mamlaka.
BUSARA ITAMALAKI ILI KULINDA AMANI , na BUSARA KUU NI KULINDA HAKI YA KILA MTU
Huyu Mama alifaa kuwa Mkuu wa Mkoa sio nafasi ya Uraisi.
Bora hata Nchimbi isingekuwa hivi.
Hivi Nchimbi angekubali kweli hii lawlessness rogue police kufanya mambo bila kufuata sheria?Unamwelewa Nchimbi wewe , hata Kobra ana afadhali