Wananchi Mitandaoni wameanza kuzungumza kulipa visasi-Hivi Samia anatupeka wapi?

Wananchi Mitandaoni wameanza kuzungumza kulipa visasi-Hivi Samia anatupeka wapi?

Ikiwa yeye mwenyewe aliifanya kule Songea kwa kuleta jeshi na wakachapana na Polisi atashindwa kufanya hayo ?? Yule ndiyo hafai kabisa hata balozi wa nyumba 10
Last kicks of a dying Horse hizi ni harakati za mauti ya CCM kiko katika zama za mwisho mwisho.
 
Last kicks of a dying Horse hizi ni harakati za mauti ya CCM kiko katika zama za mwisho mwisho.
Kikwete aliwahi kugusia wakati wa lile bunge lake la katiba kuhusu jeshi kuchukuwa nchi, mimi nina wasiwasi naye na hizi safari zake za Burkina faso
 
Kikwete aliwahi kugusia wakati wa lile bunge lake la katiba kuhusu jeshi kuchukuwa nchi, mimi nina wasiwasi naye na hizi safari zake za Burkina faso
Jeshi ndio itakuwa balaa kabisa maiti za wanasiasa zitakuwa zinaokotwa Kariakoo.
 
Last kicks of a dying Horse hizi ni harakati za mauti ya CCM kiko katika zama za mwisho mwisho.

Mwaka 2018 kulikuwa na uchaguzi mdogo wa Ubunge au uwakilishi , sikumbuki vizuri , hapa Zanzibar . Nilimsikia mmoja wa watu wa vyombo vya dola akisema wameshaamua kuwa watatumia virungu na kuwapiga wapinzani mpaka waone shida kushughulika na uchaguzi wa hilo jimbo , na walifanya kweli.

nadhani mbinu hizo ndizo wanazitumia kwa Chadema huko Tanganyika hivi sasa
 
Hii mbinu itagonga mwamba huku Bara wataimba poo wenyewe.
 
Hawa wenye mamlaka wana ulinzi, lakini je vipi kuhusu watoto wao, shangazi zao, wajomba zao, binamu zao, wanaweza kuwapa ulinzi siku zote na hata watakapotoka madarakani?. Mambo ya visasi yakianza je hawa watakuwa salama?

Hofu yangu ni kuwa watu wakianza kulipa visasi, wasipowaweza wao wanaweza kuruka na wapendwa wao!

Ni upumbavu kutumia mamlaka kudhuru watu maana Kuna watu wanaweza kulipa visasi wakaumia wasiohusika!
 
Yani mleta fujo halafu mkenuliwe meno? Tutakua na nchi kweli hapo?
Kwenda mahakamani ni kuleta fujo? Bila wapinzani kushika silaha na kuanza kufanya mauaji kwa familia za polisi, watakaoendelea kuumia ni wapinzani tena bila yoyote kujali. Ni lazima wote tuwe hatarini ili tuheshimiane. Kama wengine waliweza, sisi kwanini tushindwe?
 
Wajinga wanadhani Jeshi, Usalama wa Taifa, Polisi wanaweza kuguarantee ulinzi wa kila mwenye kuamuru matendo haya ya kuteka, kuonea na kuua watu.

Wajinga hawa wasichokijua ni kuwa watu wakianza kufanya mob justice ya kudeal na mtu mmoja mmoja na wapendwa wao, Hiki kikombe cha maumivu kitanywewa na wote!

Ni heri wenye akili wakaliona hili na kulidhibiti!.

Kuna roho hazikubali kuonewa, ni roho bishi na jasiri, unaua mwanae naye anawinda wa kwako, unaua baba yake, naye anamuwinda wa kwako.
Unampiga virungu mtaani anakutrack unapoishi anadeal na wewe hata kama ni baada ya miaka.

Wenye busara.walione hili na walizuie kabla mauaji ya visasi hayajaanza kuibuka nchini!
Ma keyboard warriors ,,,,povu kama lote na mnasema mmejipanga,,,,,mmebinywa kidogo tu michozi hiooo.....bado mpaka October gangamala keyboard warrior
 
Ma keyboard warriors ,,,,povu kama lote na mnasema mmejipanga,,,,,mmebinywa kidogo tu michozi hiooo.....bado mpaka October gangamala keyboard warrior

Kuna watu wana roho za Hamza, ukideal naye, na yeye anatafuta namna ya kudeal na wewe!

Hawa wanaofanya uonevu kwa watu wakadhani bunduki zitawalinda wanahatarisha familia zao wenyewe zikianza kuwindwa. Kuna watu hawakubali kuonewa ujue!
 
Huyu Mama alifaa kuwa Mkuu wa Mkoa sio nafasi ya Uraisi.

Bora hata Nchimbi isingekuwa hivi.
Mimi huyu tangu lil tukio la mama mwanamke mwenzie analiwa kudhurumiwa haki halafu yeye kqma rais anasema mtoeni huyo anatuvuruga toka hapo sijawahi kuamini huyu mama ana roho ya huruma
 
Back
Top Bottom