Wananchi Mitandaoni wameanza kuzungumza kulipa visasi-Hivi Samia anatupeka wapi?

Nikisikiliza maongezi ya watu clubhouse, watu wameanza kuzungumza kudeal na Polisi wanaopanga mitaani. Hii ni hatari sana, mimi nahofia wananchi watakapogeuka mobs na kuanza kufanya hayo mambo itakuwa disaster, Inabidi serikali ijitathmini na kuzuia haya mambo yasitokee. Yatavuruga nchi yetu.
Tukifika hapa kwa hakika ndio ukombozi wa nchi utakuwa umefikiwa.
 
Wacha Bhwanah!
Unasema" hapo Kenya"?
Jambazi Ruto kama si kufungwa pingu na hali ngumu unadhani nchi hiyo ingekuwa vipi wakati huu? Ruto amefungwa pingu mara ngapi kila alipojaribu kufanya uhayawani, hujui? Anzia kwenye maswala ya ADANI hadi GenZ; bado huoni ilivyokuwa tofauti na hapa?
Hii chai sasa.
Lini Ruto alifungwa pingu? Mapolisi wenyewe walikuwa mitaani wanakimbizana na raia. Weka huo ushahidi wa Ruto kufungwa pingu.
 
Nimekuwa nikisoma mitandao ya kijamii, maneno ya wananchi yameanza kuniogopesha na kwa kweli kama hili jambo halitafanyiwa kazi hii nchi inaenda kubaya, tena inaenda kubaya kwelikweli.

Nchi hii matendo ya mauaji ya watu kama (Mzee Kibao), Kutekwa kwa watu kama vijana (Deusdedith Soka), kufunguliwa kesi kubwakubwa za ugaidi na uhaini vimekuwa vikiongezeka na inavyoonekana serikali ya nchi hii imeshindwa kuthibiti mambo hayo.

Watu wanapiga kelele, Viongozi wa dini wanapiga kelele, lakini kwa bahati mbaya haya mambo yanakomaa na kukita mizizi. Serikali ya Samia inaonekana ni kama imeweka pamba masikioni, haiko interested!

Kwa miaka mingi nilikuwa nafuatilia hisia za wananchi katika masuala ya violence yanayohusisha Jeshi la Polisi na Raia, Wananchi wengi walikuwa wakijifanyia ile kitu inayoitwa SELF SENSORSHIP, yaani mtu mmoja alikuwa kwa mfano akisema kuwa wafanye vitendo vya kulipa kisasi, wenzao walikuwa wakiwajibu kwa msisitizo kuwa TUNATAKA KUPATA SULUHU KWA NJIA ZA AMANI.

Lakini siku hizi tone imebadilika, katika mijadala hii inayoinvolve wananchi, Mtu akileta hoja za kulipa visasi, tena wengine wakisuggest njia ngumungumu za kulipa visasi, cha ajabu kuna CONCENSUS miongoni mwa Wanamjadala kukubaliana na Suggestion hizo.

Hii inamaana kuwa Kama Serikali isipothibiti chuki na hasira za watu itegemee huko mbeleni kupata LONE ACTORS watakaokuja kufanya maafa makubwa sana mpaka mfumo ukachanganyikiwa.

Serikali ifahamu tu kuwa Intelijensia ina mipaka. Ni kweli Usalama wa Taifa unaweza kudeal na watu ambao wako organised, lakini pindi mtu mmojammoja bila kuhusisha wengine akaamua kufanya jambo ni vigumu kudhibiti. Wakumbuke tu historia ya Mkulima Mwamindi huko Iringa vs Mkuu wa mkoa Dr Kleruu enzi hizo za utawala wa Mwalimu.

Nikisikiliza maongezi ya watu clubhouse, watu wameanza kuzungumza kudeal na Polisi wanaopanga mitaani. Hii ni hatari sana, mimi nahofia wananchi watakapogeuka mobs na kuanza kufanya hayo mambo itakuwa disaster, Inabidi serikali ijitathmini na kuzuia haya mambo yasitokee. Yatavuruga nchi yetu.

Kilichonitisha na kuniogopesha zaidi ni kuwa watu wanazungumza habari ya kuwadhuru wapendwa wa viongozi. Wanasema kuwa ili wenye dhamana wakomeshe haya mambo ya utekaji na mauji basi eti na wao waumie. Hii ni hatari sana, tukianza tit-for-tat ,

RAI YANGU
Mwanzo wa ngoma ni lele. Zimeanza kuibuka hisia ktk jamii za visasi. Ile self censorship ya watu kukataa vitendo vya uvunjifu wa amani imeanza kuondoka, watu wameanza kuafikiana kufanya vitendo vya kulipa visasi gizani.

Ni muhimu sasa, serikali ione kuwa tunapokwenda huko ni kugumu, ni kubaya sana. Hii kitu ikiendelea, sote tutaumia, wenye mamlaka na wasio na mamlaka.

BUSARA ITAMALAKI ILI KULINDA AMANI , na BUSARA KUU NI KULINDA HAKI YA KILA MTU
Mama analiangusha taifa kwa kweli, yeye anafikri machangudoa wa bongo movie ndiyo watakaompigia kura tu mara awapeleke sijuwi Korea na kuwapandisha treni bure wakati hawana issue yeyote hapa nchini zaidi ya kudanga tu kila kukicha.
 
Huyu Mama alifaa kuwa Mkuu wa Mkoa sio nafasi ya Uraisi.

Bora hata Nchimbi isingekuwa hivi.
Huyu Bibi hafai kuwa hata mwenyekiti wa kijiji. Kweli Tanzania ilipata political accident.
 
Nimekuwa nikisoma mitandao ya kijamii, maneno ya wananchi yameanza kuniogopesha na kwa kweli kama hili jambo halitafanyiwa kazi hii nchi inaenda kubaya, tena inaenda kubaya kwelikweli.

Nchi hii matendo ya mauaji ya watu kama (Mzee Kibao), Kutekwa kwa watu kama vijana (Deusdedith Soka), kufunguliwa kesi kubwakubwa za ugaidi na uhaini vimekuwa vikiongezeka na inavyoonekana serikali ya nchi hii imeshindwa kuthibiti mambo hayo.

Watu wanapiga kelele, Viongozi wa dini wanapiga kelele, lakini kwa bahati mbaya haya mambo yanakomaa na kukita mizizi. Serikali ya Samia inaonekana ni kama imeweka pamba masikioni, haiko interested!

Kwa miaka mingi nilikuwa nafuatilia hisia za wananchi katika masuala ya violence yanayohusisha Jeshi la Polisi na Raia, Wananchi wengi walikuwa wakijifanyia ile kitu inayoitwa SELF SENSORSHIP, yaani mtu mmoja alikuwa kwa mfano akisema kuwa wafanye vitendo vya kulipa kisasi, wenzao walikuwa wakiwajibu kwa msisitizo kuwa TUNATAKA KUPATA SULUHU KWA NJIA ZA AMANI.

Lakini siku hizi tone imebadilika, katika mijadala hii inayoinvolve wananchi, Mtu akileta hoja za kulipa visasi, tena wengine wakisuggest njia ngumungumu za kulipa visasi, cha ajabu kuna CONCENSUS miongoni mwa Wanamjadala kukubaliana na Suggestion hizo.

Hii inamaana kuwa Kama Serikali isipothibiti chuki na hasira za watu itegemee huko mbeleni kupata LONE ACTORS watakaokuja kufanya maafa makubwa sana mpaka mfumo ukachanganyikiwa.

Serikali ifahamu tu kuwa Intelijensia ina mipaka. Ni kweli Usalama wa Taifa unaweza kudeal na watu ambao wako organised, lakini pindi mtu mmojammoja bila kuhusisha wengine akaamua kufanya jambo ni vigumu kudhibiti. Wakumbuke tu historia ya Mkulima Mwamindi huko Iringa vs Mkuu wa mkoa Dr Kleruu enzi hizo za utawala wa Mwalimu.

Nikisikiliza maongezi ya watu clubhouse, watu wameanza kuzungumza kudeal na Polisi wanaopanga mitaani. Hii ni hatari sana, mimi nahofia wananchi watakapogeuka mobs na kuanza kufanya hayo mambo itakuwa disaster, Inabidi serikali ijitathmini na kuzuia haya mambo yasitokee. Yatavuruga nchi yetu.

Kilichonitisha na kuniogopesha zaidi ni kuwa watu wanazungumza habari ya kuwadhuru wapendwa wa viongozi. Wanasema kuwa ili wenye dhamana wakomeshe haya mambo ya utekaji na mauji basi eti na wao waumie. Hii ni hatari sana, tukianza tit-for-tat ,

RAI YANGU
Mwanzo wa ngoma ni lele. Zimeanza kuibuka hisia ktk jamii za visasi. Ile self censorship ya watu kukataa vitendo vya uvunjifu wa amani imeanza kuondoka, watu wameanza kuafikiana kufanya vitendo vya kulipa visasi gizani.

Ni muhimu sasa, serikali ione kuwa tunapokwenda huko ni kugumu, ni kubaya sana. Hii kitu ikiendelea, sote tutaumia, wenye mamlaka na wasio na mamlaka.

BUSARA ITAMALAKI ILI KULINDA AMANI , na BUSARA KUU NI KULINDA HAKI YA KILA MTU
Mzanzibari
 
Hii chai sasa.
Lini Ruto alifungwa pingu? Mapolisi wenyewe walikuwa mitaani wanakimbizana na raia. Weka huo ushahidi wa Ruto kufungwa pingu.
Hukuelewa maana ya "kufungwa pingu" nilikolenga mimi.
Ruto pasingekuwepo na vikwazo vilivyowekwa na wananchi, nchi hiyo sasa hivi ingekuwa na majonzi makubwa sana chini ya rais katili kama yeye.
Nchi hiyo ingekuwa imeshuhudia mauaji ya kutisha sana, hata zaidi ya yale ya wakati wa Moi na Knyatta senior.
Rais huyo imemlazimu kujirekebisha kadri awezavyo ili utawala wake usalimike.
 
Uzuri polisi tunaishi nao, na ni majirani zetu, ni wanafikika,hawaishi kwa makundi kama wanavyokuwa kwenye operation zao, wana watoto na ndugu.
Hali ikizidi hivi tutaanza kuwatumia salamu za upendo&faraja.
Mtaamsha zaidi ya ile operesheni ya kibiti
 
Yaani kama red brigade wangekuwa serious na huu uonevu wangeanza na huyu umbwa!
Nyie mmetoka kuwa chama cha siasa hadi kikundi cha mungiki. Tunataka familia za matepeli zilizopo ubelgiji na Canada zirudi ziongoze maandamano.
 
Back
Top Bottom