Wananchi Mitandaoni wameanza kuzungumza kulipa visasi-Hivi Samia anatupeka wapi?

Subiri awanyooshe, mlidhani mnashughulika na mama wa kizanzibari, kimsingi mnashughulika na DOLA kamili
 
Tulia bwashee hakuna wa kufanya fujo wala revenge inchi hii

Tanzania ni inchi ya amani na amani imejaa mpaka inamwagika, hii migongano ya hapa na pale ni ya kawaida katika harakati za kusukuma gurudumu mbele

Sote sisi, viongozi, watawala, wapinzani, raia na yeyote yule tunatafuta maisha na hakuna asie njaa
 
Mitandaoni ndiyo majumbani kwao mzee wanakula kwa like na retweet usitegemee hao robot kuleta mabadiliko..
 
Uwezo wenyewe hana afu anang'ang'ania urahisi!
Angeishia ule urahisi wa kurithi tuu.
Angemalizia term yake ya five years halafu akamuachia hata Nchimbi lakini kwa sasa anaenda kuwa Smiling Dikteta.

Sio kwamba mimi ni mbaguzi wa jinsia bali nina imani Tanzania ina viongozi Wanawake wenye uwezo kuliko Samia,Mama kuonyesha udhaifu wa hali ya juu kabisa.
 
Wewe umeenda wapi ukazuiliwa na Police ?
 
Your browser is not able to display this video.
 
Uanataka nini wakati tena kwake alishasema KIFO NI KIFO TU!

Akili ya kuambiwa changanya na za kwako!
 
Unamwelewa Nchimbi wewe , hata Kobra ana afadhali
Hivi Nchimbi angekubali kweli hii lawlessness rogue police kufanya mambo bila kufuata sheria?
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…