Hivi Nchimbi angekubali kweli hii lawlessness rogue police kufanya mambo bila kufuata sheria?
View attachment 3314195
Wewe ni 阴道 [yīn dào]Wewe umeenda wapi ukazuiliwa na Police ?
Last kicks of a dying Horse hizi ni harakati za mauti ya CCM kiko katika zama za mwisho mwisho.Ikiwa yeye mwenyewe aliifanya kule Songea kwa kuleta jeshi na wakachapana na Polisi atashindwa kufanya hayo ?? Yule ndiyo hafai kabisa hata balozi wa nyumba 10
Kikwete aliwahi kugusia wakati wa lile bunge lake la katiba kuhusu jeshi kuchukuwa nchi, mimi nina wasiwasi naye na hizi safari zake za Burkina fasoLast kicks of a dying Horse hizi ni harakati za mauti ya CCM kiko katika zama za mwisho mwisho.
Jeshi ndio itakuwa balaa kabisa maiti za wanasiasa zitakuwa zinaokotwa Kariakoo.Kikwete aliwahi kugusia wakati wa lile bunge lake la katiba kuhusu jeshi kuchukuwa nchi, mimi nina wasiwasi naye na hizi safari zake za Burkina faso
Last kicks of a dying Horse hizi ni harakati za mauti ya CCM kiko katika zama za mwisho mwisho.
Hii mbinu itagonga mwamba huku Bara wataimba poo wenyewe.Mwaka 2018 kulikuwa na uchaguzi mdogo wa Ubunge au uwakilishi , sikumbuki vizuri , hapa Zanzibar . Nilimsikia mmoja wa watu wa vyombo vya dola akisema wameshaamua kuwa watatumia virungu na kuwapiga wapinzani mpaka waone shida kushughulika na uchaguzi wa hilo jimbo , na walifanya kweli.
nadhani mbinu hizo ndizo wanazitumia kwa Chadema huko Tanganyika hivi sasa
Ndivyo tunavyoombaHii mbinu itagonga mwamba huku Bara wataimba poo wenyewe.
Kwenda mahakamani ni kuleta fujo? Bila wapinzani kushika silaha na kuanza kufanya mauaji kwa familia za polisi, watakaoendelea kuumia ni wapinzani tena bila yoyote kujali. Ni lazima wote tuwe hatarini ili tuheshimiane. Kama wengine waliweza, sisi kwanini tushindwe?Yani mleta fujo halafu mkenuliwe meno? Tutakua na nchi kweli hapo?
Unafikiri huo mkoa ungekuwaje na upi!Huyu Mama alifaa kuwa Mkuu wa Mkoa sio nafasi ya Uraisi.
Bora hata Nchimbi isingekuwa hivi.
Hapo anajiona yeye ndio mwamba kabisa! Hawa kweli watapelekea kuwindana!Sasa kama askari wenyewe ndiyo hawa pichani, yaani anachambana na mwenyekiti wa chama cha siasa kwa kunyoosha vidole kama anaimba taarabu unategemea nini?.
View attachment 3314169
Mahakamani.Wewe umeenda wapi ukazuiliwa na Police ?
Huko kwa Wagogo Dodoma.Unafikiri huo mkoa ungekuwaje na upi!
Ma keyboard warriors ,,,,povu kama lote na mnasema mmejipanga,,,,,mmebinywa kidogo tu michozi hiooo.....bado mpaka October gangamala keyboard warriorWajinga wanadhani Jeshi, Usalama wa Taifa, Polisi wanaweza kuguarantee ulinzi wa kila mwenye kuamuru matendo haya ya kuteka, kuonea na kuua watu.
Wajinga hawa wasichokijua ni kuwa watu wakianza kufanya mob justice ya kudeal na mtu mmoja mmoja na wapendwa wao, Hiki kikombe cha maumivu kitanywewa na wote!
Ni heri wenye akili wakaliona hili na kulidhibiti!.
Kuna roho hazikubali kuonewa, ni roho bishi na jasiri, unaua mwanae naye anawinda wa kwako, unaua baba yake, naye anamuwinda wa kwako.
Unampiga virungu mtaani anakutrack unapoishi anadeal na wewe hata kama ni baada ya miaka.
Wenye busara.walione hili na walizuie kabla mauaji ya visasi hayajaanza kuibuka nchini!
Ma keyboard warriors ,,,,povu kama lote na mnasema mmejipanga,,,,,mmebinywa kidogo tu michozi hiooo.....bado mpaka October gangamala keyboard warrior
Mimi huyu tangu lil tukio la mama mwanamke mwenzie analiwa kudhurumiwa haki halafu yeye kqma rais anasema mtoeni huyo anatuvuruga toka hapo sijawahi kuamini huyu mama ana roho ya hurumaHuyu Mama alifaa kuwa Mkuu wa Mkoa sio nafasi ya Uraisi.
Bora hata Nchimbi isingekuwa hivi.