macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Aisee anza kuomba radhi kwa watu wa huo mkoa unaotaka kumpeleka. Huyu anafaa kuimba taarabu na siyo uongozi....Huyu Mama alifaa kuwa Mkuu wa Mkoa sio nafasi ya Uraisi.
Bora hata Nchimbi isingekuwa hivi.
kuanzia sasa tunaanzia pale hadi kieleweke hakuna kupoaNimekuwa nikisoma mitandao ya kijamii, maneno ya wananchi yameanza kuniogopesha na kwa kweli kama hili jambo halitafanyiwa kazi hii nchi inaenda kubaya, tena inaenda kubaya kwelikweli.
Nchi hii matendo ya mauaji ya watu kama (Mzee Kibao), Kutekwa kwa watu kama vijana (Deusdedith Soka), kufunguliwa kesi kubwakubwa za ugaidi na uhaini vimekuwa vikiongezeka na inavyoonekana serikali ya nchi hii imeshindwa kuthibiti mambo hayo.
Watu wanapiga kelele, Viongozi wa dini wanapiga kelele, lakini kwa bahati mbaya haya mambo yanakomaa na kukita mizizi. Serikali ya Samia inaonekana ni kama imeweka pamba masikioni, haiko interested!
Kwa miaka mingi nilikuwa nafuatilia hisia za wananchi katika masuala ya violence yanayohusisha Jeshi la Polisi na Raia, Wananchi wengi walikuwa wakijifanyia ile kitu inayoitwa SELF SENSORSHIP, yaani mtu mmoja alikuwa kwa mfano akisema kuwa wafanye vitendo vya kulipa kisasi, wenzao walikuwa wakiwajibu kwa msisitizo kuwa TUNATAKA KUPATA SULUHU KWA NJIA ZA AMANI.
Lakini siku hizi tone imebadilika, katika mijadala hii inayoinvolve wananchi, Mtu akileta hoja za kulipa visasi, tena wengine wakisuggest njia ngumungumu za kulipa visasi, cha ajabu kuna CONCENSUS miongoni mwa Wanamjadala kukubaliana na Suggestion hizo.
Hii inamaana kuwa Kama Serikali isipothibiti chuki na hasira za watu itegemee huko mbeleni kupata LONE ACTORS watakaokuja kufanya maafa makubwa sana mpaka mfumo ukachanganyikiwa.
Serikali ifahamu tu kuwa Intelijensia ina mipaka. Ni kweli Usalama wa Taifa unaweza kudeal na watu ambao wako organised, lakini pindi mtu mmojammoja bila kuhusisha wengine akaamua kufanya jambo ni vigumu kudhibiti. Wakumbuke tu historia ya Mkulima Mwamindi huko Iringa vs Mkuu wa mkoa Dr Kleruu enzi hizo za utawala wa Mwalimu.
Nikisikiliza maongezi ya watu clubhouse, watu wameanza kuzungumza kudeal na Polisi wanaopanga mitaani. Hii ni hatari sana, mimi nahofia wananchi watakapogeuka mobs na kuanza kufanya hayo mambo itakuwa disaster, Inabidi serikali ijitathmini na kuzuia haya mambo yasitokee. Yatavuruga nchi yetu.
Kilichonitisha na kuniogopesha zaidi ni kuwa watu wanazungumza habari ya kuwadhuru wapendwa wa viongozi. Wanasema kuwa ili wenye dhamana wakomeshe haya mambo ya utekaji na mauji basi eti na wao waumie. Hii ni hatari sana, tukianza tit-for-tat ,
RAI YANGU
Mwanzo wa ngoma ni lele. Zimeanza kuibuka hisia ktk jamii za visasi. Ile self censorship ya watu kukataa vitendo vya uvunjifu wa amani imeanza kuondoka, watu wameanza kuafikiana kufanya vitendo vya kulipa visasi gizani.
Ni muhimu sasa, serikali ione kuwa tunapokwenda huko ni kugumu, ni kubaya sana. Hii kitu ikiendelea, sote tutaumia, wenye mamlaka na wasio na mamlaka.
BUSARA ITAMALAKI ILI KULINDA AMANI , na BUSARA KUU NI KULINDA HAKI YA KILA MTU
Kwahio ndo mna mpango huo sioKuna watu wana roho za Hamza, ukideal naye, na yeye anatafuta namna ya kudeal na wewe!
Hawa wanaofanya uonevu kwa watu wakadhani bunduki zitawalinda wanahatarisha familia zao wenyewe zikianza kuwindwa. Kuna watu hawakubali kuonewa ujue!
hakika amenena
Hivi polisi wote wanaishi kambini? wazazi wao wanaishi wapi? watoto wao wanasoma wapi? Nimesoma mahali kwamba Mambosasa ni msemaji wa kanisa katolki parokia Fulani Dar Es Salaam.Wajinga wanadhani Jeshi, Usalama wa Taifa, Polisi wanaweza kuguarantee ulinzi wa kila mwenye kuamuru matendo haya ya kuteka, kuonea na kuua watu.
Wajinga hawa wasichokijua ni kuwa watu wakianza kufanya mob justice ya kudeal na mtu mmoja mmoja na wapendwa wao, Hiki kikombe cha maumivu kitanywewa na wote!
Ni heri wenye akili wakaliona hili na kulidhibiti!.
Kuna roho hazikubali kuonewa, ni roho bishi na jasiri, unaua mwanae naye anawinda wa kwako, unaua baba yake, naye anamuwinda wa kwako.
Unampiga virungu mtaani anakutrack unapoishi anadeal na wewe hata kama ni baada ya miaka.
Wenye busara.walione hili na walizuie kabla mauaji ya visasi hayajaanza kuibuka nchini!
Heard one fella saying " kama nkipata bunduki and he was extremely angry" i real feared ....Nimekuwa nikisoma mitandao ya kijamii, maneno ya wananchi yameanza kuniogopesha na kwa kweli kama hili jambo halitafanyiwa kazi hii nchi inaenda kubaya, tena inaenda kubaya kwelikweli.
Nchi hii matendo ya mauaji ya watu kama (Mzee Kibao), Kutekwa kwa watu kama vijana (Deusdedith Soka), kufunguliwa kesi kubwakubwa za ugaidi na uhaini vimekuwa vikiongezeka na inavyoonekana serikali ya nchi hii imeshindwa kuthibiti mambo hayo.
Watu wanapiga kelele, Viongozi wa dini wanapiga kelele, lakini kwa bahati mbaya haya mambo yanakomaa na kukita mizizi. Serikali ya Samia inaonekana ni kama imeweka pamba masikioni, haiko interested!
Kwa miaka mingi nilikuwa nafuatilia hisia za wananchi katika masuala ya violence yanayohusisha Jeshi la Polisi na Raia, Wananchi wengi walikuwa wakijifanyia ile kitu inayoitwa SELF SENSORSHIP, yaani mtu mmoja alikuwa kwa mfano akisema kuwa wafanye vitendo vya kulipa kisasi, wenzao walikuwa wakiwajibu kwa msisitizo kuwa TUNATAKA KUPATA SULUHU KWA NJIA ZA AMANI.
Lakini siku hizi tone imebadilika, katika mijadala hii inayoinvolve wananchi, Mtu akileta hoja za kulipa visasi, tena wengine wakisuggest njia ngumungumu za kulipa visasi, cha ajabu kuna CONCENSUS miongoni mwa Wanamjadala kukubaliana na Suggestion hizo.
Hii inamaana kuwa Kama Serikali isipothibiti chuki na hasira za watu itegemee huko mbeleni kupata LONE ACTORS watakaokuja kufanya maafa makubwa sana mpaka mfumo ukachanganyikiwa.
Serikali ifahamu tu kuwa Intelijensia ina mipaka. Ni kweli Usalama wa Taifa unaweza kudeal na watu ambao wako organised, lakini pindi mtu mmojammoja bila kuhusisha wengine akaamua kufanya jambo ni vigumu kudhibiti. Wakumbuke tu historia ya Mkulima Mwamindi huko Iringa vs Mkuu wa mkoa Dr Kleruu enzi hizo za utawala wa Mwalimu.
Nikisikiliza maongezi ya watu clubhouse, watu wameanza kuzungumza kudeal na Polisi wanaopanga mitaani. Hii ni hatari sana, mimi nahofia wananchi watakapogeuka mobs na kuanza kufanya hayo mambo itakuwa disaster, Inabidi serikali ijitathmini na kuzuia haya mambo yasitokee. Yatavuruga nchi yetu.
Kilichonitisha na kuniogopesha zaidi ni kuwa watu wanazungumza habari ya kuwadhuru wapendwa wa viongozi. Wanasema kuwa ili wenye dhamana wakomeshe haya mambo ya utekaji na mauji basi eti na wao waumie. Hii ni hatari sana, tukianza tit-for-tat ,
RAI YANGU
Mwanzo wa ngoma ni lele. Zimeanza kuibuka hisia ktk jamii za visasi. Ile self censorship ya watu kukataa vitendo vya uvunjifu wa amani imeanza kuondoka, watu wameanza kuafikiana kufanya vitendo vya kulipa visasi gizani.
Ni muhimu sasa, serikali ione kuwa tunapokwenda huko ni kugumu, ni kubaya sana. Hii kitu ikiendelea, sote tutaumia, wenye mamlaka na wasio na mamlaka.
BUSARA ITAMALAKI ILI KULINDA AMANI , na BUSARA KUU NI KULINDA HAKI YA KILA MTU
Abed Aman Karume ni mfano haiWajinga wanadhani Jeshi, Usalama wa Taifa, Polisi wanaweza kuguarantee ulinzi wa kila mwenye kuamuru matendo haya ya kuteka, kuonea na kuua watu.
Wajinga hawa wasichokijua ni kuwa watu wakianza kufanya mob justice ya kudeal na mtu mmoja mmoja na wapendwa wao, Hiki kikombe cha maumivu kitanywewa na wote!
Ni heri wenye akili wakaliona hili na kulidhibiti!.
Kuna roho hazikubali kuonewa, ni roho bishi na jasiri, unaua mwanae naye anawinda wa kwako, unaua baba yake, naye anamuwinda wa kwako.
Unampiga virungu mtaani anakutrack unapoishi anadeal na wewe hata kama ni baada ya miaka.
Wenye busara.walione hili na walizuie kabla mauaji ya visasi hayajaanza kuibuka nchini!
Mambo ya Msomali Hamza yayatimiaHeard one fella saying " kama nkipata bunduki and he was extremely angry" i real feared ....
Hayo makelele ya mitandaoni hayajaanza leo wala jana tangu enzi za Magu zilikuwepo. Issue ni kwamba watz ni waoga wengi ni keyboard worriers.Nimekuwa nikisoma mitandao ya kijamii, maneno ya wananchi yameanza kuniogopesha na kwa kweli kama hili jambo halitafanyiwa kazi hii nchi inaenda kubaya, tena inaenda kubaya kwelikweli.
Nchi hii matendo ya mauaji ya watu kama (Mzee Kibao), Kutekwa kwa watu kama vijana (Deusdedith Soka), kufunguliwa kesi kubwakubwa za ugaidi na uhaini vimekuwa vikiongezeka na inavyoonekana serikali ya nchi hii imeshindwa kuthibiti mambo hayo.
Watu wanapiga kelele, Viongozi wa dini wanapiga kelele, lakini kwa bahati mbaya haya mambo yanakomaa na kukita mizizi. Serikali ya Samia inaonekana ni kama imeweka pamba masikioni, haiko interested!
Kwa miaka mingi nilikuwa nafuatilia hisia za wananchi katika masuala ya violence yanayohusisha Jeshi la Polisi na Raia, Wananchi wengi walikuwa wakijifanyia ile kitu inayoitwa SELF SENSORSHIP, yaani mtu mmoja alikuwa kwa mfano akisema kuwa wafanye vitendo vya kulipa kisasi, wenzao walikuwa wakiwajibu kwa msisitizo kuwa TUNATAKA KUPATA SULUHU KWA NJIA ZA AMANI.
Lakini siku hizi tone imebadilika, katika mijadala hii inayoinvolve wananchi, Mtu akileta hoja za kulipa visasi, tena wengine wakisuggest njia ngumungumu za kulipa visasi, cha ajabu kuna CONCENSUS miongoni mwa Wanamjadala kukubaliana na Suggestion hizo.
Hii inamaana kuwa Kama Serikali isipothibiti chuki na hasira za watu itegemee huko mbeleni kupata LONE ACTORS watakaokuja kufanya maafa makubwa sana mpaka mfumo ukachanganyikiwa.
Serikali ifahamu tu kuwa Intelijensia ina mipaka. Ni kweli Usalama wa Taifa unaweza kudeal na watu ambao wako organised, lakini pindi mtu mmojammoja bila kuhusisha wengine akaamua kufanya jambo ni vigumu kudhibiti. Wakumbuke tu historia ya Mkulima Mwamindi huko Iringa vs Mkuu wa mkoa Dr Kleruu enzi hizo za utawala wa Mwalimu.
Nikisikiliza maongezi ya watu clubhouse, watu wameanza kuzungumza kudeal na Polisi wanaopanga mitaani. Hii ni hatari sana, mimi nahofia wananchi watakapogeuka mobs na kuanza kufanya hayo mambo itakuwa disaster, Inabidi serikali ijitathmini na kuzuia haya mambo yasitokee. Yatavuruga nchi yetu.
Kilichonitisha na kuniogopesha zaidi ni kuwa watu wanazungumza habari ya kuwadhuru wapendwa wa viongozi. Wanasema kuwa ili wenye dhamana wakomeshe haya mambo ya utekaji na mauji basi eti na wao waumie. Hii ni hatari sana, tukianza tit-for-tat ,
RAI YANGU
Mwanzo wa ngoma ni lele. Zimeanza kuibuka hisia ktk jamii za visasi. Ile self censorship ya watu kukataa vitendo vya uvunjifu wa amani imeanza kuondoka, watu wameanza kuafikiana kufanya vitendo vya kulipa visasi gizani.
Ni muhimu sasa, serikali ione kuwa tunapokwenda huko ni kugumu, ni kubaya sana. Hii kitu ikiendelea, sote tutaumia, wenye mamlaka na wasio na mamlaka.
BUSARA ITAMALAKI ILI KULINDA AMANI , na BUSARA KUU NI KULINDA HAKI YA KILA MTU
Soma habari za uchumi, entertainment n.k miaka hii Bado unatiahika na habari za MITANDAONI😆Nimekuwa nikisoma mitandao ya kijamii, maneno ya wananchi yameanza kuniogopesha na kwa kweli kama hili jambo halitafanyiwa kazi hii nchi inaenda kubaya, tena inaenda kubaya kwelikweli.
Nchi hii matendo ya mauaji ya watu kama (Mzee Kibao), Kutekwa kwa watu kama vijana (Deusdedith Soka), kufunguliwa kesi kubwakubwa za ugaidi na uhaini vimekuwa vikiongezeka na inavyoonekana serikali ya nchi hii imeshindwa kuthibiti mambo hayo.
Watu wanapiga kelele, Viongozi wa dini wanapiga kelele, lakini kwa bahati mbaya haya mambo yanakomaa na kukita mizizi. Serikali ya Samia inaonekana ni kama imeweka pamba masikioni, haiko interested!
Kwa miaka mingi nilikuwa nafuatilia hisia za wananchi katika masuala ya violence yanayohusisha Jeshi la Polisi na Raia, Wananchi wengi walikuwa wakijifanyia ile kitu inayoitwa SELF SENSORSHIP, yaani mtu mmoja alikuwa kwa mfano akisema kuwa wafanye vitendo vya kulipa kisasi, wenzao walikuwa wakiwajibu kwa msisitizo kuwa TUNATAKA KUPATA SULUHU KWA NJIA ZA AMANI.
Lakini siku hizi tone imebadilika, katika mijadala hii inayoinvolve wananchi, Mtu akileta hoja za kulipa visasi, tena wengine wakisuggest njia ngumungumu za kulipa visasi, cha ajabu kuna CONCENSUS miongoni mwa Wanamjadala kukubaliana na Suggestion hizo.
Hii inamaana kuwa Kama Serikali isipothibiti chuki na hasira za watu itegemee huko mbeleni kupata LONE ACTORS watakaokuja kufanya maafa makubwa sana mpaka mfumo ukachanganyikiwa.
Serikali ifahamu tu kuwa Intelijensia ina mipaka. Ni kweli Usalama wa Taifa unaweza kudeal na watu ambao wako organised, lakini pindi mtu mmojammoja bila kuhusisha wengine akaamua kufanya jambo ni vigumu kudhibiti. Wakumbuke tu historia ya Mkulima Mwamindi huko Iringa vs Mkuu wa mkoa Dr Kleruu enzi hizo za utawala wa Mwalimu.
Nikisikiliza maongezi ya watu clubhouse, watu wameanza kuzungumza kudeal na Polisi wanaopanga mitaani. Hii ni hatari sana, mimi nahofia wananchi watakapogeuka mobs na kuanza kufanya hayo mambo itakuwa disaster, Inabidi serikali ijitathmini na kuzuia haya mambo yasitokee. Yatavuruga nchi yetu.
Kilichonitisha na kuniogopesha zaidi ni kuwa watu wanazungumza habari ya kuwadhuru wapendwa wa viongozi. Wanasema kuwa ili wenye dhamana wakomeshe haya mambo ya utekaji na mauji basi eti na wao waumie. Hii ni hatari sana, tukianza tit-for-tat ,
RAI YANGU
Mwanzo wa ngoma ni lele. Zimeanza kuibuka hisia ktk jamii za visasi. Ile self censorship ya watu kukataa vitendo vya uvunjifu wa amani imeanza kuondoka, watu wameanza kuafikiana kufanya vitendo vya kulipa visasi gizani.
Ni muhimu sasa, serikali ione kuwa tunapokwenda huko ni kugumu, ni kubaya sana. Hii kitu ikiendelea, sote tutaumia, wenye mamlaka na wasio na mamlaka.
BUSARA ITAMALAKI ILI KULINDA AMANI , na BUSARA KUU NI KULINDA HAKI YA KILA MTU
Hayo makelele ya mitandaoni hayajaanza leo wala jana tangu enzi za Magu zilikuwepo. Issue ni kwamba watz ni waoga wengi ni keyboard worriers.
Pengine upo sahihi transformations zinaweza tokea. Ila hapo kenya tu watu waliandamana mwishowe wakachoka leo kila mtu anaendelea na mishe zake na serikali haijafanya transformations zozote zile sembuse sisi watz .Huwa kuna transformation kutoka ngazi moja kwenda nyingine
Kiluweluwe-lavae-mdudu
Huyu mtu ni useless, ubongoless yaani hakuna kitu hapoHuko kwa Wagogo Dodoma.
Na mbaya zaidi, kumeanza kuwepo na viashiria vya mfarakano katika jamii siyo vya kisiasa tu, bali hata vya kiimani. Wewe angalia tu hata humu JF; kumeanza kuwemo na ushabiki unaoonyesha kuwa Rais ni mtu wa kundi fulani na siyo kundi la waTanzania.Nimekuwa nikisoma mitandao ya kijamii, maneno ya wananchi yameanza kuniogopesha na kwa kweli kama hili jambo halitafanyiwa kazi hii nchi inaenda kubaya, tena inaenda kubaya kwelikweli.
Kama nani huyo? Chadema mnatakiwa mpewe discipline mnajikutaga mna Haki sanaNimekuwa nikisoma mitandao ya kijamii, maneno ya wananchi yameanza kuniogopesha na kwa kweli kama hili jambo halitafanyiwa kazi hii nchi inaenda kubaya, tena inaenda kubaya kwelikweli.
Nchi hii matendo ya mauaji ya watu kama (Mzee Kibao), Kutekwa kwa watu kama vijana (Deusdedith Soka), kufunguliwa kesi kubwakubwa za ugaidi na uhaini vimekuwa vikiongezeka na inavyoonekana serikali ya nchi hii imeshindwa kuthibiti mambo hayo.
Watu wanapiga kelele, Viongozi wa dini wanapiga kelele, lakini kwa bahati mbaya haya mambo yanakomaa na kukita mizizi. Serikali ya Samia inaonekana ni kama imeweka pamba masikioni, haiko interested!
Kwa miaka mingi nilikuwa nafuatilia hisia za wananchi katika masuala ya violence yanayohusisha Jeshi la Polisi na Raia, Wananchi wengi walikuwa wakijifanyia ile kitu inayoitwa SELF SENSORSHIP, yaani mtu mmoja alikuwa kwa mfano akisema kuwa wafanye vitendo vya kulipa kisasi, wenzao walikuwa wakiwajibu kwa msisitizo kuwa TUNATAKA KUPATA SULUHU KWA NJIA ZA AMANI.
Lakini siku hizi tone imebadilika, katika mijadala hii inayoinvolve wananchi, Mtu akileta hoja za kulipa visasi, tena wengine wakisuggest njia ngumungumu za kulipa visasi, cha ajabu kuna CONCENSUS miongoni mwa Wanamjadala kukubaliana na Suggestion hizo.
Hii inamaana kuwa Kama Serikali isipothibiti chuki na hasira za watu itegemee huko mbeleni kupata LONE ACTORS watakaokuja kufanya maafa makubwa sana mpaka mfumo ukachanganyikiwa.
Serikali ifahamu tu kuwa Intelijensia ina mipaka. Ni kweli Usalama wa Taifa unaweza kudeal na watu ambao wako organised, lakini pindi mtu mmojammoja bila kuhusisha wengine akaamua kufanya jambo ni vigumu kudhibiti. Wakumbuke tu historia ya Mkulima Mwamindi huko Iringa vs Mkuu wa mkoa Dr Kleruu enzi hizo za utawala wa Mwalimu.
Nikisikiliza maongezi ya watu clubhouse, watu wameanza kuzungumza kudeal na Polisi wanaopanga mitaani. Hii ni hatari sana, mimi nahofia wananchi watakapogeuka mobs na kuanza kufanya hayo mambo itakuwa disaster, Inabidi serikali ijitathmini na kuzuia haya mambo yasitokee. Yatavuruga nchi yetu.
Kilichonitisha na kuniogopesha zaidi ni kuwa watu wanazungumza habari ya kuwadhuru wapendwa wa viongozi. Wanasema kuwa ili wenye dhamana wakomeshe haya mambo ya utekaji na mauji basi eti na wao waumie. Hii ni hatari sana, tukianza tit-for-tat ,
RAI YANGU
Mwanzo wa ngoma ni lele. Zimeanza kuibuka hisia ktk jamii za visasi. Ile self censorship ya watu kukataa vitendo vya uvunjifu wa amani imeanza kuondoka, watu wameanza kuafikiana kufanya vitendo vya kulipa visasi gizani.
Ni muhimu sasa, serikali ione kuwa tunapokwenda huko ni kugumu, ni kubaya sana. Hii kitu ikiendelea, sote tutaumia, wenye mamlaka na wasio na mamlaka.
BUSARA ITAMALAKI ILI KULINDA AMANI , na BUSARA KUU NI KULINDA HAKI YA KILA MTU
Wacha Bhwanah!Pengine upo sahihi transformations zinaweza tokea. Ila hapo kenya tu watu waliandamana mwishowe wakachoka leo kila mtu anaendelea na mishe zake na serikali haijafanya transformations zozote zile sembuse sisi watz .