Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Arusha maeneo ya makumira Kuna Hali mbaya pia tengeru kuna limoja nilisusi limeolewa kabisa,mjini nako vijana ni hovyo sana
Haya maandamano yafanyike nchi nzima kupinga ushoga mpaka mashoga wenyewe na wafadhili wao wakimbie nchi
Wameishiwa kazi za kufanya hao wafanya maandamano. Wanapoteza mda wao tyuuhTatizo hao mashoga ndio maboss zenu... Wanawapa pesa nyingi sana mnaita mikopo nafuu.... ' no free lunch'...kila mtu apambane na familia yake kukemea ushoga.. hapo road wanauza sura tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtaanza kukimbia nyie kwan lolHaya maandamano yafanyike nchi nzima kupinga ushoga mpaka mashoga wenyewe na wafadhili wao wakimbie nchi
Unacheka nini?,sioni Cha kufurahisha apo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si mnachekeshaa mnooo.Unacheka nini?
Kwa lipi? Jamii inapotoka we unakenuaSi mnachekeshaa mnooo.
Inauma sana😥Yaan Wanawake walivyojaa hivi ,Dar Kila sekunde anapita Mwanamke Mzurii ,Kila sekunde
Alafu anatokea kijana anajiita Shoga
Na Hata hao wanaowatumia, Kwa pamoja wapigwe vita !!.
Mngeanza na makahaba na wazinzi km mko serious na maadili.Kwa lipi?,jamii inapotoka we unakenua
Ushoga usifananishe na uzinzi,apo hata shetani mwenyewe anakushanga na kuichukua notesMngeanza na makahaba na wazinzi km mko serious na maadili.
Wanaandamana arusha huku watoto wao wapo zanzibar au dar wanabanjuliwaWameishiwa kazi za kufanya hao wafanya maandamano. Wanapoteza mda wao tyuuh
🤣🤣Maandamano hayo yaliongozwa na viongozi wa dini, na wananchi walijitokeza kwa wingi kupinga matendo ya mapenzi ya jinsia moja.
Hali hii imetokana na baada ya vikundi vya kutetea mapenzi ya jinsia moja duniani kuzidisha kasi na msukumo wa kuhalalisha matendo hayo.
Tuliona presha nchi ya Qatar iliyopigwa wakati wa kombe la dunia.
Tukashuhudia vitabu vinavyofundisha mambo hayo vikisambazwa ktk shule za watoto.
Tumeshihudia shule fulani ambayo watoto wanafundishwa kufanyana kinyume cha maumbile.
Huko Kenya mahakama ya juu ikaruhusu uanzishwaji wa NGOs za kutetea ushoga ktk nchi hiyo.
Na kuna baadhi ya madhehebu ya dini duniani yameanza kurasimisha ndoa za jinsia moja na kuna Mengine yamebaki na msimamo uleule wa toka zamani wa kukataa mambo hayo machafu.
Kwa mfano hapa Tanzania Kanisa la Anglican la Tanzania limekataa katakata kukubaliana na kanisa la Anglican la Uingereza kuruhusu ndoa za mashoga. Katika barua ambayo uongozi wa kanisa la Anglican la Tanzania limeliandikia kanisa mama la Anglican la uingereza, Limegoma kabisa kukubaliana na msimamo wa kanisa hilo la Uingereza kuhusu kuruhusu ubarikio wa ndoa hizo.
Kwa bahati mbaya pia, kanisa la Kikatoliki huko Ujerumani limepiga kura kuruhusu ubarikio wa ndoa za Jinsia moja kuanzia mwaka 2026. Hii inafuatia kauli ya Papa ya kuwatakia "Rehema( Grace)" watu wote hata wale wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja.
Hapa chini ni video ya wananchi huko Arusha kuandamana kupinga mambo ya ushoga.
View attachment 2547164
View attachment 2547165
Maandamano hayo yaliongozwa na viongozi wa dini, na wananchi walijitokeza kwa wingi kupinga matendo ya mapenzi ya jinsia moja.

Hapa maana yake watu wanataka itungwe SHERIA kalia kukomesha wanaume kufundishwa ushoga na ubasha.Hii vita haipiganwi hivyo hapa ni kuzidi kujikubalisha nao. Inabidi tufahamu tunaupinga ushoga wapi, dhidi ya nani na kwa maslahi ya nani?
Inabidi kwanza tujifunze njia zinazotumika kuurasimisha hapa nchini then tuanze na hizo njia.
Kwakuwa hakuna wapenzi wa jinsia moja walioandamana Tanzania basi na sisi tusingeandamana maana ni tunapigana na adui asiyepo uwanja wa vita.
Viongozi wa dini walitakiwa kuhubiri makanisani na misikitini zaidi, kwa wao kuingia bara barani ni jibu kuwa kanisani na misikitini wameshindwa kukemea.
Wazazi nao hivyo hivyo walitakiwa kupinga kwenye familia zao na sio kukimbilia bara barani.
Maandamano ni njia ya mnyonge kutaka jambo lake lisikike sasa kama viongozi wa dini na watu waliohudhuria wamekuwa wanyonge kwenye hili, basi huyu adui ana nguvu sana na ameshatupiga pakubwa.
Bora kufa na njaa kuliko kuwa shogaWatanzania wameona heri wapinge ushoga kuliko kupinga ugumu wa maisha na kodi