Wananchi mkoani Arusha waandamana kupinga Ushoga

Wananchi mkoani Arusha waandamana kupinga Ushoga

Haya maandamano yafanyike nchi nzima kupinga ushoga mpaka mashoga wenyewe na wafadhili wao wakimbie nchi
Yalitakiwe yaanzie Zanzibar ambako serikali imekiri kluwa ndiko kuna tatizo kubwa la ushoga
 
Hapa maana yake watu wanataka itungwe SHERIA kalia kukomesha wanaume kufundishwa ushoga na ubasha.

Hakuna mtu anayezaliwa akiwa shoga au basha. Ni matendo machafu ya kuiga au kufanyiwa Kwa kudanganywa au ni mambo ya mila za hovyo za Wazungu kama zilivyo Mila za kukeketa Wanawake. Ni vitendo vinavyoweza kukomeshwa au kupunguzwa . .Hivyo ni lazima itungwe SHERIA Kali ya kuzuia vittendo hivyo vichafu wasifundishwe watoto Kwa kurubuniwa.

Serikali haiwezi kuwaachia viongozi wa dini kazi ya kupambana na vitendo vya ushoga au usagaji mana Kwa Mujibu wa dini zote hayo ni matendo ambaya adhabu yake ni kuuawa.

Kwa Hali ya kidini mashoga wakikutwa wanafanya vitendo hivyo wanapaswa kuuawa bila huruma.

Afrika inapaswa kukataa hizi Mila potofu za Kizungu kwani ni Mila zinazoharibu kusudi la Mungu kuwaumba wanadamu ili wazaane.

Mtu akifuga majogoo tupu au mitetea tupu hawezi kamwe kuwa na ongezeko la kuku au hata kupata mayai
Ni kweli Mkuu ila kwa masikitiko kabisa hakuwezi kukatungwa sheria ya kupinga ushoga nitakuambia kwanini haiwezekani na haitatungwa kabusa hiyo sheria.

Sababu ni moja rahisi kabisa, ushoga ni swala la kihisia haliwezi kutungiwa sheria sababu halithibitishiki.

Swala linaloweza kutungiwa sheria ni mapenzi ya jinsia moja, na inabidi ifahamike kuwa mapenzi ya jinsia moja ni ama mapenzi baina ya mashoga au wasagaji.

Sasa kama ushoga hauwezi kutungiwa sheria ni wazi kuwa mtu akijitangaza kuwa ni shoga hatakutwa na hatia, ila mtu huyo huyo akikutwa anafanya mapenzi na mtu wa jinsia yake awe ni shoga au msagaji ataweza kukutwa na hatia.

Sasa changamoto ni kuwa hayo matendo ya ngono hufanywa kwenye faragha, na hivi majuzi tu Tanzania imepitisga sheria ya faragha na watanzania wengi wakaifurahia bila kuipima vizuri.

Sasa umeipata picha vizuri?, hautawasikia viongozi wa kiserikali katika nafasi zao za kiuongozi wakiwa serious na hili swala kila atakayeongea ataongelea hili kulingana na hadhira atakayokuwa nayo na sio kama kauli ya kimamlaka, fuatilia.

Sasa Mkuu chakufanya ni nini?, chakufanya ni kurudi kwenye msingi wa jamii ambao ni familia na hizi taasisi za kiimani ziongelee haya mambo kwa watu wao na sio kuanza maandamani ambayo hayatakuwa na tija kama walichokifanya huko Arusha.

Lazima tufahamu tunapambana na kitu gani.

Nikupe ufahamu wa muelekeo wa sheria yetu juu ya mambo ya mapenzi ya jinsia moja.

Hadi sasa ushoga na usagaji sio kosa Tanzania(inashangaza) na hili sio bahati mbaya ni kwa makusudi kabisa.

Kilicho kosa ni kufanya mapenzi kinyume na maumbile/tofauti na ilivyo asili. Tena ukiisoma kwa undani hii sheria utagundua usagaji kuna namna sio kosa.

Sasa tujiulize ngono ni nini?, je ngono ni kuingiliana kimwili kwa kutumia via vya uzazi pekee?, je kunyonyana sio ngono?, kutomasana hadi kufikia mshindo sio aina ya ngono?

Hyo yote hapo juu sio makosa kwa sheria yetu, ina maana kama watatoka wanaume wawili wakabusiana na kutomasana hadharani hawatakuwa wamefanya kosa la jinai katika misingi ya ushoga. Waendesha mashtaka wakijitahidi sana watawashitaki chini ya makosa ya kuharibu maadili na hapo bado watashinda kesi.

Kitu gani nataka kusema hapa, ni kuwa tunahitaji elimu kubwa sana juu ya haya mambo, tuyasome turudi kuiangalia jamii yetu, tuangalie muelekeo wa dunia juu ya masuala ya kingono kisha tujue sasa tunatakiwa kufanya nini.

Natumaini utakuwa umepata ABC zingine juu ya hii vita Mkuu.
 
Wakishamaliza kupinga ushoga wanarudi majumbani wamejichokea kwa njaa huku ushoga unaendelea KAMA KAWIZOO.

Na bei ya unga ilivyo juu, hizo nguvu za kupinga VINYESI ni bora wazielekeze kwenye kulima mtama na mchicha pori.
 
Huu ni ujinga wa kiwango cha lami.
Hili taifa lina watu wengi sana wajinga.
Ushoga ndio limekuwa jambo la kuwafanya watu waandamane na kuwaweka busy??!
Ukiwaambia waandamane kupinga ONGEZEKO LA BEI ZA BIDHAA huwezi kuwaona barabarani ABADANII. Kila mtu anajificha uvunguni.

FANYA MASIHARA NA VIRUNGU VYA POLISI!! Nani yuko tayari kupambana na DOLA LA CCM!!?? THUBUTU!!!

Hapa wanajibaraguza tu, na si ajabu miongoni mwa hao waandamanaji kuna wanaopakuliwa mavi na kupumuliwa visogoni.

Akitoka kuandamana anarudi nyumbani anamwinamia baasha akee apewe angalau unga wa jero apate chochote kitu.
 
Back
Top Bottom