Wananchi mkoani Arusha waandamana kupinga Ushoga

Wananchi mkoani Arusha waandamana kupinga Ushoga

Maandamano hayo yaliongozwa na viongozi wa dini, na wananchi walijitokeza kwa wingi kupinga matendo ya mapenzi ya jinsia moja.

Hali hii imetokana na baada ya vikundi vya kutetea mapenzi ya jinsia moja duniani kuzidisha kasi na msukumo wa kuhalalisha matendo hayo.

Tuliona presha nchi ya Qatar iliyopigwa wakati wa kombe la dunia.

Tukashuhudia vitabu vinavyofundisha mambo hayo vikisambazwa ktk shule za watoto.

Tumeshihudia shule fulani ambayo watoto wanafundishwa kufanyana kinyume cha maumbile.

Huko Kenya mahakama ya juu ikaruhusu uanzishwaji wa NGOs za kutetea ushoga ktk nchi hiyo.

Na kuna baadhi ya madhehebu ya dini duniani yameanza kurasimisha ndoa za jinsia moja na kuna Mengine yamebaki na msimamo uleule wa toka zamani wa kukataa mambo hayo machafu.

Kwa mfano hapa Tanzania Kanisa la Anglican la Tanzania limekataa katakata kukubaliana na kanisa la Anglican la Uingereza kuruhusu ndoa za mashoga. Katika barua ambayo uongozi wa kanisa la Anglican la Tanzania limeliandikia kanisa mama la Anglican la uingereza, Limegoma kabisa kukubaliana na msimamo wa kanisa hilo la Uingereza kuhusu kuruhusu ubarikio wa ndoa hizo.

Kwa bahati mbaya pia, kanisa la Kikatoliki huko Ujerumani limepiga kura kuruhusu ubarikio wa ndoa za Jinsia moja kuanzia mwaka 2026. Hii inafuatia kauli ya Papa ya kuwatakia "Rehema( Grace)" watu wote hata wale wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

Hapa chini ni video ya wananchi huko Arusha kuandamana kupinga mambo ya ushoga.

View attachment 2547164

View attachment 2547165
Ni wananchi au ni viongozi wa dini?
 
Ni kweli Mkuu ila kwa masikitiko kabisa hakuwezi kukatungwa sheria ya kupinga ushoga nitakuambia kwanini haiwezekani na haitatungwa kabusa hiyo sheria.

Sababu ni moja rahisi kabisa, ushoga ni swala la kihisia haliwezi kutungiwa sheria sababu halithibitishiki.

Swala linaloweza kutungiwa sheria ni mapenzi ya jinsia moja, na inabidi ifahamike kuwa mapenzi ya jinsia moja ni ama mapenzi baina ya mashoga au wasagaji.

Sasa kama ushoga hauwezi kutungiwa sheria ni wazi kuwa mtu akijitangaza kuwa ni shoga hatakutwa na hatia, ila mtu huyo huyo akikutwa anafanya mapenzi na mtu wa jinsia yake awe ni shoga au msagaji ataweza kukutwa na hatia.

Sasa changamoto ni kuwa hayo matendo ya ngono hufanywa kwenye faragha, na hivi majuzi tu Tanzania imepitisga sheria ya faragha na watanzania wengi wakaifurahia bila kuipima vizuri.

Sasa umeipata picha vizuri?, hautawasikia viongozi wa kiserikali katika nafasi zao za kiuongozi wakiwa serious na hili swala kila atakayeongea ataongelea hili kulingana na hadhira atakayokuwa nayo na sio kama kauli ya kimamlaka, fuatilia.

Sasa Mkuu chakufanya ni nini?, chakufanya ni kurudi kwenye msingi wa jamii ambao ni familia na hizi taasisi za kiimani ziongelee haya mambo kwa watu wao na sio kuanza maandamani ambayo hayatakuwa na tija kama walichokifanya huko Arusha.

Lazima tufahamu tunapambana na kitu gani.

Nikupe ufahamu wa muelekeo wa sheria yetu juu ya mambo ya mapenzi ya jinsia moja.

Hadi sasa ushoga na usagaji sio kosa Tanzania(inashangaza) na hili sio bahati mbaya ni kwa makusudi kabisa.

Kilicho kosa ni kufanya mapenzi kinyume na maumbile/tofauti na ilivyo asili. Tena ukiisoma kwa undani hii sheria utagundua usagaji kuna namna sio kosa.

Sasa tujiulize ngono ni nini?, je ngono ni kuingiliana kimwili kwa kutumia via vya uzazi pekee?, je kunyonyana sio ngono?, kutomasana hadi kufikia mshindo sio aina ya ngono?

Hyo yote hapo juu sio makosa kwa sheria yetu, ina maana kama watatoka wanaume wawili wakabusiana na kutomasana hadharani hawatakuwa wamefanya kosa la jinai katika misingi ya ushoga. Waendesha mashtaka wakijitahidi sana watawashitaki chini ya makosa ya kuharibu maadili na hapo bado watashinda kesi.

Kitu gani nataka kusema hapa, ni kuwa tunahitaji elimu kubwa sana juu ya haya mambo, tuyasome turudi kuiangalia jamii yetu, tuangalie muelekeo wa dunia juu ya masuala ya kingono kisha tujue sasa tunatakiwa kufanya nini.

Natumaini utakuwa umepata ABC zingine juu ya hii vita Mkuu.
Umemaliza kila kituuuuu. Wasipo elewa hapa bas.
 
Watanzania wameona heri wapinge ushoga kuliko kupinga ugumu wa maisha na kodi
Unafanya mchezo na GESHI RA PORISHII?? JESHI LA CCM ni MADHUBUTI, chezea vyote ila si DOLA.

Ati unaandamana kupinga bidhaa!! Utanyoroshwaa!!

Ndio maana hawa WAANDAMANAJI UCHWARA wameona bora wajikite kupambana na VINYESI lakini si ati swala la BEI.

GESHI RA PORISHI ni KONYOO
 
Zipo kwa PC anguu zimejaa kibao,

Siku nikipoteza PC au kuibiwa, cjui ntaweka wapi uso wangu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu km wewe ni wa kupiga ban maana nyie ndio mnaochangia ushoga kuonekana ni mambo ya kawaida kwenye jamii
 
Ukweli mchunguu huu.
Kitu nimejifunza watu wengi wanajitokeza kwa hasira wanakemea ushoga ili wasionekane wanakubali mashoga.

Kwa namna hiyo hatutafika popote sababu hatutakuwa na taarifa sahihi
 
Inasikitisha sana kuwa na watu wengi wajinga kiasi hichi.
KUNDI LA WAJINGA lina nguvu kuliko!!

Ni wapo gullible halafu huwaambii kitu.

Baba katoka nyumbani kaenda barabarani kupinga ushoga kaacha wanawe hawana chakula.
 
Maandamano hayo yaliongozwa na viongozi wa dini, na wananchi walijitokeza kwa wingi kupinga matendo ya mapenzi ya jinsia moja.

Hali hii imetokana na baada ya vikundi vya kutetea mapenzi ya jinsia moja duniani kuzidisha kasi na msukumo wa kuhalalisha matendo hayo.

Tuliona presha nchi ya Qatar iliyopigwa wakati wa kombe la dunia.

Tukashuhudia vitabu vinavyofundisha mambo hayo vikisambazwa ktk shule za watoto.

Tumeshihudia shule fulani ambayo watoto wanafundishwa kufanyana kinyume cha maumbile.

Huko Kenya mahakama ya juu ikaruhusu uanzishwaji wa NGOs za kutetea ushoga ktk nchi hiyo.

Na kuna baadhi ya madhehebu ya dini duniani yameanza kurasimisha ndoa za jinsia moja na kuna Mengine yamebaki na msimamo uleule wa toka zamani wa kukataa mambo hayo machafu.

Kwa mfano hapa Tanzania Kanisa la Anglican la Tanzania limekataa katakata kukubaliana na kanisa la Anglican la Uingereza kuruhusu ndoa za mashoga. Katika barua ambayo uongozi wa kanisa la Anglican la Tanzania limeliandikia kanisa mama la Anglican la uingereza, Limegoma kabisa kukubaliana na msimamo wa kanisa hilo la Uingereza kuhusu kuruhusu ubarikio wa ndoa hizo.

Kwa bahati mbaya pia, kanisa la Kikatoliki huko Ujerumani limepiga kura kuruhusu ubarikio wa ndoa za Jinsia moja kuanzia mwaka 2026. Hii inafuatia kauli ya Papa ya kuwatakia "Rehema( Grace)" watu wote hata wale wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

Hapa chini ni video ya wananchi huko Arusha kuandamana kupinga mambo ya ushoga.

View attachment 2547164

View attachment 2547165
Japo kuandamana ni jambo zuri lakini linawapa pia publicity hao mashoga bila sisi kujua kwa sababu hakuna negative publicity.

Tunatakiwa tuende mbali sana kuimarisha mifumo ya malezi kwa watoto yatakayo embrace positive masculinity.

Tuanze kufikiria upya kuwa na sera ya familia ambayo italenga kujenga malezi na kesho ya kizazi kijacho.

Harakati za ushoga na feminism zinalenga kuvunja taasisi inayoitwa familia.
 
Unasemaje vile? Aise! Mi niko tofauti na baadhi ya sera za uongozi wa ccm lakini linapokuja suala la ushoga niko tayari kuanza na kukaripia kwa nguvu zote ushoga ndipo mengine yaendelee.

Hapa usiendelee kabisa vinginevyo utakuwa upande huo.
Distracting statement kama hiyo uliyoijibu ni za mashoga.
 
KUNDI LA WAJINGA lina nguvu kuliko!!

Ni wapo gullible halafu huwaambii kitu.

Baba katoka nyumbani kaenda barabarani kupinga ushoga kaacha wanawe hawana chakula.
Wanaondama kuhus ushoga ni Nyumbu ,watoto wanakosa Ada ,chakula
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vipi umekula lunch??

Mbna hasira inayotokana na njaaa, kwemaaa???
Wewe shoga unafikir kila mtu anayepinga ushoga ana njaa kisa umenunuliwa chips ukakalia mkuyenge! Km unaona ufahari kwa unachokifanya watangazie wazazi na ndg zako kuwa wew ni bwabwa uone reactions zao kwako! Mama yako atajuta kukuzaa na kutamani kufa
 
Huu ni ujinga wa kiwango cha lami.
Hili taifa lina watu wengi sana wajinga.
Ushoga ndio limekuwa jambo la kuwafanya watu waandamane na kuwaweka busy??!
Unataka waandame kwaajili ya nini unaoa huo uchoko wenu mnaoufanya ni jambo zuri nyie mashoga mnatakiwa kuuwawa wote
 
Watanzania wameona heri wapinge ushoga kuliko kupinga ugumu wa maisha na kodi
Ushoga ni ushetani ebu fikiria wewe unashikishwa ukuta na manywele yako hayo mkunduni[emoji1787][emoji1787] we unaona sawa huo ugum wa maisha vita vyake sio vigumu kama vya ushoga
 
Hapo Arusha si wengi tu kupata hata milo miwili ya sembe na mchicha kwa siku ni tabu kubwa kwao, wengine si hawana maji au umeme, kwa nini wasiandamane kuhusu hayo badala yake waandamania jinsi watu wazima walivyamua kwa hiyari yao binafsi walivyoamua namna yao ya kufanya ngono??
Unataka waandame kwaajili ya nini unaoa huo uchoko wenu mnaoufanya ni jambo zuri nyie mashoga mnatakiwa kuuwawa wote
 
Back
Top Bottom