Wananchi mkoani Arusha waandamana kupinga Ushoga

Wananchi mkoani Arusha waandamana kupinga Ushoga

Hii vita haipiganwi hivyo hapa ni kuzidi kujikubalisha nao. Inabidi tufahamu tunaupinga ushoga wapi, dhidi ya nani na kwa maslahi ya nani?

Inabidi kwanza tujifunze njia zinazotumika kuurasimisha hapa nchini then tuanze na hizo njia.

Kwakuwa hakuna wapenzi wa jinsia moja walioandamana Tanzania basi na sisi tusingeandamana maana ni tunapigana na adui asiyepo uwanja wa vita.

Viongozi wa dini walitakiwa kuhubiri makanisani na misikitini zaidi, kwa wao kuingia bara barani ni jibu kuwa kanisani na misikitini wameshindwa kukemea.

Wazazi nao hivyo hivyo walitakiwa kupinga kwenye familia zao na sio kukimbilia bara barani.

Maandamano ni njia ya mnyonge kutaka jambo lake lisikike sasa kama viongozi wa dini na watu waliohudhuria wamekuwa wanyonge kwenye hili, basi huyu adui ana nguvu sana na ameshatupiga pakubwa.
Ukweli mchunguu huu.
 
Kesi za ushoga na ulawiti zmejaa sana huko Zanzibar na hawajaandama huu uchafu unaanzia ngazi ya familia ,wakaandame zenji wapuuzi
 
[emoji817] hakuna beberu,fahari shoga tafuta ulimwengu mzima kama utakuta dume la mnyama linajishongondoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km chiziii khaaaah
 
Kwa hiyo wewe mtoto wako wa kiume akigeuzwa mwanamke na kuanza kuliwa utafurahia na kukenua tu eti kwa vile kuna makahaba na wazinzi si ndio?
Km yeye ameamua kuwa hvyo, mie nani nipingeee??

Uhuru na maamuzi ni yakeee.
 
Back
Top Bottom