Wananchi mkoani Arusha waandamana kupinga Ushoga

Wananchi mkoani Arusha waandamana kupinga Ushoga

Arusha safi sana. Mfano wa kuigwa. Tuiombe serikali yetu tukufu na sikivu nayo itoe kauli thabiti kukataa ujinga huu wa magharibi!
 
Zipo kwa PC anguu zimejaa kibao,

Siku nikipoteza PC au kuibiwa, cjui ntaweka wapi uso wangu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe unafahamu unalofanya ni machukizo kwako na jamii pia
 
Wewe shoga unafikir kila mtu anayepinga ushoga ana njaa kisa umenunuliwa chips ukakalia mkuyenge! Km unaona ufahari kwa unachokifanya watangazie wazazi na ndg zako kuwa wew ni bwabwa uone reactions zao kwako! Mama yako atajuta kukuzaa na kutamani kufa
Wanajua km mie ni papai liliovaa, tena hadi mlaji wa papai hilo wanamfahamu vyedi. Na hakuna reaction yoyote walio ioneshaaa.
Poleeeeeeeeh.
 
Safi wakomae hivo hivo! Watu waliangamizwa kwa ajili ya ushoga hiyo Laana ni mbaya, Malika waliigeuza ardhi juu chini kisha ika yesha mvua ya moramu kutoka motoni emu fikiria hiyo kitu ikoje
 
Ukiwaambia waandamane kupinga ONGEZEKO LA BEI ZA BIDHAA huwezi kuwaona barabarani ABADANII. Kila mtu anajificha uvunguni.

FANYA MASIHARA NA VIRUNGU VYA POLISI!! Nani yuko tayari kupambana na DOLA LA CCM!!?? THUBUTU!!!

Hapa wanajibaraguza tu, na si ajabu miongoni mwa hao waandamanaji kuna wanaopakuliwa mavi na kupumuliwa visogoni.

Akitoka kuandamana anarudi nyumbani anamwinamia baasha akee apewe angalau unga wa jero apate chochote kitu.
Acha kulinganisha njaa au umasikini na Ushoga. Ni bora ufe masikini, au ufe na njaa kuliko kuwa shoga
 
Back
Top Bottom