Wananchi Mwanza wazuia Jaribio la Jeshi la Polisi kutaka kumkamata John Heche

Polisiccm hawafanyi kazi kwa mjibu wa sheria bali hufanya kazi kwa mjibu wa fikra haramu za kishetani toka ccm
Kaulize wakenya kilichowakuta Kenya polisi wajitia kufanya kazi kwa mujibu wa sheria wakati wa siasa za gen z ilibidi jeshi la ulinzi la Kenya iliingie mtaani baada ya kuona polisi wa kenya wako hopeless nchi inaangamia kwa wao kukomalia visheria uchwara vya PGO ohh PGO inasema

Jeshi likaingia kati kupiga mateke PGO zao Kenya sasa imetulia
 
Dawa yao ni kuwasomea Albadiri wale Polisiccm wote wanaoshiriki vitendo haramu vya kishetani
 
Bado raia wengi ni waoga hata ukiangalia hapo wengi ni watazamaji tu yaani kama misukule flani hivi,hapo palikuwa na nafasi ya kutuma ujumbe zaidi ya huo Kwa watawala na vyombo vya dola
 
Kilaza mkuu ni mama yao anayewatuma kufanya ujinga huu.
Polisiccm kwa sasa hawafanyi kazi kwa mjibu wa katiba na sheria bali wanafanya kazi kwa mjibu wa Amri haramu za kishetani toka ccm na chawa wake
 
Mwanza Kuna wanaume ww
Sio km wa dar ,pumbavu zenu
Ht lisu mlifanya songea ila mikoa km hii msingethibutu
 
Bdo raia

Bado raia wengi ni waoga hata ukiangalia hapo wengi ni watazamaji tu yaani kama misukule flani hivi,hapo palikuwa na nafasi ya kutuma ujumbe zaidi ya huo Kwa watawala na vyombo vya dola
Tiba sahihi kwa watesi waonevu watekaji wanyanyasaji ni kumlilia mungu na pia kuwasomea visomo vikali kulujuani nyingi Alibadiri za kutosha kwa wale wote mnaoshiriki vitendo haramu vya kishetani na Polisiccm
 
Bdo raia

Bado raia wengi ni waoga hata ukiangalia hapo wengi ni watazamaji tu yaani kama misukule flani hivi,hapo palikuwa na nafasi ya kutuma ujumbe zaidi ya huo Kwa watawala na vyombo vya dola
Kwa Tanzania hii wamejitahidi bwana huwezi fananisha na wanaume wa dar
 
Tiba sahihi kwa watesi waonevu watekaji wanyanyasaji ni kumlilia mungu na pia kuwasomea visomo vikali kulujuani nyingi Alibadiri za kutosha kwa wale wote mnaoshiriki vitendo haramu vya kishetani na Polisiccm
Anayeua Kwa upanga naye auawe Kwa upanga mpaka aache hiyo tabia ya kuuza Kwa upanga
 
Keyboard motherfucker warrior.
 
Akifanya Makala ni sawa... Ni nani Aliyewaroga nyie watu . Yaani CCM kwao kila kitu ni sawa akifanya mwengine shida ...
 
Kwa Akili za Polisiccm wataanza kuwabambikia kesi mmoja mmoja kimya kimya ni bora wananchi waishi kwa tahadhari kwa ushetani kwa sasa ni mkubwa haijapata kutokea
 
Akifanya Makala ni sawa... Ni nani Aliyewaroga nyie watu . Yaani CCM kwao kila kitu ni sawa akifanya mwengine shida ...
Makala hajui kujenga hoja ni mbumbumbu wa siasa anachojua ni kuwatuma Polisiccm wakawatese kuwanyanyasa chadema tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…