ccm magu hawamtaki mama walichokifanya ni kumchuuza afanye mambo ya hovyo wapate kisingizio cha kumwengua nafasi kugombea UraisKwa video hii, ifikie mahali viongozi wakuu wa vyombo vya dola; IGP, DGIS,na CDF wamshauri rais Samia kufanya mchakato wa katiba mpya.
Maana tunakoelekea watalazimika kufanya mabadiliko, hali ambayo inaweza kuwa imetutia hasara kama Taifa.
Mungu Ibariki Tanzania yetu.
Amina.
Ndoto za mchana hizo unaotaccm magu hawamtaki mama walichokifanya ni kumchuuza afanye mambo ya hovyo wapate kisingizio cha kumwengua nafasi kugombea Urais
Kisheria huwa hakuna kuomba kibali polisi kinachotakiwa ni kuwapa taarifa polisi tu, lakini siku hizi Polisiccm wamejipa mamlaka kienyeji kimyume cha katiba kuwa wao ndiyo watoa vibali vya mikutano, Polisiccm wanafanya mambo ya hovyo sanaWao waliomba kibali cha maandamano au mkutano wa hadhara?
Usochanganye mambo .Wao ulikuwa mkutano wa hadhara sio maandamano
Na wewe kichwani hazimo mwana CCM koko wewe
Ondoka CCM nenda CHADEMA
ccm bila Polisiccm ni weupe sanaNdoto za mchana hizo unaota
CCM ilishamaliza kazi
Kama unaandamana porini kusiko na watu huhitaji kibaliKisheria huwa hakuna kuomba kibali polisi kinachotakiwa ni kuwapa taarifa polisi tu, lakini siku hizi Polisiccm wamejipa mamlaka kienyeji kimyume cha katiba kuwa wao ndiyo watoa vibali vya mikutano, Polisiccm wanafanya mambo ya hovyo sana
Tii sheria bila shuruti uone kama vyeo hawawezi kupanda.Polisi wameanza kupanda vyeo hata kabla ya CHADEMA kuwepo mjinga wewe.Polisiccm kwa sasa chadema ndiyo daraja lao la kupatia vyeo , wanajua kadri wanavyowanyanyasa chadema ndivyo huongezwa vyeo na posho
🚮🚮🚮🚮Nawapongeza polisi kama wameshindwa kumchukua wakambebe usiku akiwa amelala
🚮🚮🚮💩💩💩Tii sheria bila shuruti uone kama vyeo hawawezi kupanda.Polisi wameanza kupanda vyeo hata kabla ya CHADEMA kuwepo mjinga wewe.
Kukiwa na amani na utulivu bila kuweko hata mhalifu mmoja .Vyeo vyao hupanda
Wewe ndiyo mjinga kilaza mkubwa sheria zipi za kutii wakati chadema hawajavunja sheria zozote wanafanya mikutano kwa Amani nyie wavuta Bangi na Polisiccm ndiyo mnaenda kuwafanyia fujo ili mpate kisingizio cha kuwabambikia kesi haramu za kishetaniTii sheria bila shuruti uone kama vyeo hawawezi kupanda.Polisi wameanza kupanda vyeo hata kabla ya CHADEMA kuwepo mjinga wewe
Mkutano wa amani ni pamoja na hotuba.za amani sio uchocheziWewe ndiyo mjinga kilaza mkubwa sheria zipi za kutii wakati chadema hawajavunja sheria zozote wanafanya mikutano kwa Amani nyie wavuta Bangi na Polisiccm ndiyo mnaenda kuwafanyia fujo ili mpate kisingizio cha kuwabambikia kesi haramu za kishetani
Hakuna mabaya yasiyo na mwisho, walikuwepo madikiteta wabaya hatari akina Bokasa, mabutu, iddy Amin Dada, Elibashiri makaburu wa Africa kusini leo wapo wapi?Tii sheria bila shuruti uone kama vyeo hawawezi kupanda.Polisi wameanza kupanda vyeo hata kabla ya CHADEMA kuwepo mjinga wewe.
Kukiwa na amani na utulivu bila kuweko hata mhalifu mmoja .Vyeo vyao hupanda
Tafuta hela badala ya kushinda 8nawaza upumbavu wa CHADEMA .Utaehuka weweHakuna mabaya yasiyo na mwisho, walikuwepo madikiteta wabaya hatari akina Bokasa, mabutu, iddy Amin Dada, Elibashiri makaburu wa Africa kusini leo wapo wapi?
Usiwapangie chadema cha kuongea kwani lazima wahubiri mabaya yenu ushetani wenu wote ingawa kwa Akili zenu za hovyo mnauita eti ni uchochezi , kuongelea uonevu manyanyaso utekaji wa Polisiccm ni uchochezi? Kama mnataka maneno mazuri acheni Udikiteta acheni kuwatesa kuwaonea kuwanyanyasa chademaMkutano wa amani ni pamoja na hotuba.za amani sio uchochezi
Vinginevyo unashushwa kwenye jukwaa na kuonyeshwa cha mtema kuni
Amani ni hadi jukwaani kwa wahutubiaji.Sio kwa wasikilizaji waliotulia tuli tu
Hapa igoma?Hawa watu vipi Hawa ? Mbona kama vichwan mwao wamejaza matope ? Hiki kizazi kilichopo Ndani ya Jeshi la Polisi mbona wanaujinga mwingi ?
Eehhh Wakuuu, hivi kabisa Hawa watu wako sawa vichwani ?
YAAN WAO WANAAMINI KUMKAMATA HECHE MBELE YA WATU NI KUWAOGOPESHA HAO WATU?.
inamaana hata Mikutano ya CHADEMA, haiwapi picha ya kua WANANCHI WANAHITAJI MABADILIKO??.
Yan kama walivyomkamata LISSU, mbinu ileile ndio walitaka kumkamata Heche ??.
Baada ya chadema kushika nchi hii, ni lazima jeshi la polisi lifumuliwe , lina vilaza wengi sana, hawa watu vyuoni wanafundishwa matumizi ya nguvu sana kuliko akili
Marekani na uingereza wanaansmana barabarani mbona? We una matope kichwaniKama unaandamana porini kusiko na watu huhitaji kibali
Lakini kama unaandamana barabarani .Kuna sheria ya usalama barabarani
Barabara zetu hazikujengwa kwa ajili.ya maandamano .Hivyo utajitaji kibali kuzitumia.Huwezi ingia tu kama mwehu na kuanza kuandamana kwenye Barabara ya magari
Usisome kisheria kimoja tu na kuivalia njuga soma pamoja na zingine
Pesa haitafutwi kwenye mazingira ya uonevu manyanyaso na mateso ya Polisiccm na wewe kichaa mvuta bangi, pesa inatafutwa pasipo na vitendo haramu vya kishetani kama vya PolisiccmTafuta hela badala ya kushinda 8nawaza upumbavu wa CHADEMA .Utaehuka wewe
Kichaa kinakunyemelea
Tanzania ni tofauti na kote huko ulikotaja
Marekani na Uingereza sio TanzaniaMarekani na uingereza wanaansmana barabarani mbona? We una matope kichwani