Wananchi tuna haki kufahamu alipo Makamu wa Rais Philip Mpango

Wanaoficha wamewafanya wananchi ni mbumbumbu wakisahau kuwa habari zinavuja toka ndani kuja nje
 
Na huu ndio ukweli, watu wanamjia juu waziri mkuu utadhani yeye anaongea tuu bila kupewa kauli, ni mara ngapi rais hata awamu zilizopita anamuapisha mtu ambaye sio sahihi, lawama zinaenda kwa rais wakati sio kila mtu anapitishwa na rais
Utakuwa kiongozi tahira Kama utaandaliwa hotuba hata usipitie ulichoandikiwa. Anachokifanya huyo Diblo Dibalaa ni makusudi kwasababu anajua hakuna chakumfamya.

Kama mpango hatakuwepo Kama tetesi zinavyosema .... Nitaingia barabara kuwaomba Wtz tumuombe Mungu awachukue Samia na Majaliwa watakuwa ni mashetani.
 
Serikali ina utaratibu wake wa kufanya mambo yake, nadhani hata ukienda ikulu uatajibiwa hivyo.
Hii tabia ya serekali kusema uongo ilianza kidogo kidogo wakati wa JK baada ya ccm kuanza kupoteza ushawishi kwenye jamii. Alipokuja Magufuli akaja kuhalilisha serekali kusema uongo.

Tabia ya kusema uongo na kuficha ukweli bila sababu za msingi kwenye utawala wa Magufuli ulibackfire kwenye kifo chake. Kwa bahati mbaya mbegu ile ya kufichwa ukweli umerithiwa pia na serekali hii, ndio sasa tunaona hakuna kitu serekali inasema iaminike.

Sababu ya kuficha ukweli hasa wa madhila kwa viongozi, ni kwa sababu ya kuingia madarakani kwa njia za kihayawani, matokeo yake wanaohisi kuporwa haki Yao wanafurahia madhila wanayokutana nao hao viongozi. Hivyo serekali inaficha Ili muhanga na familia yake wasikutane na kejeli ya jamii Hadi kuwapatia msongo wa mawazo.
 

Waziri Kairuki aelezea sababu ya mgeni rasmi kushindwa kufika


View: https://m.youtube.com/watch?v=DqFGi0aBDrQ
 
Hujui kitu ww, kaa hapo utulie
 
SAWA...ILA SIO KWA SERIKALI HII YA KIZAZI CHA GIGI MONEY
 
Kuumwa pia kuna utaratibu wake wa kutangaza? Maajabu haya.
Kwamba mkitangaza kuwa fulani anaumwa chadema watachukua nchi?
Au mnaamini viongozi wenu ni malaika hawawezi kuumwa?na ikitokea wameumbwa basi ni AJABU
Hii kuficha Ficha taarifa za kuumwa kiongozi
inaonyesha hata magonjwa wanayopata viongozi huenda ni planned
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…