Wananchi tupatiwe majibu shule inayoezuliwa Kwa ajili ya mwekezaji mmoja.

Escrowseal1

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2014
Posts
4,800
Reaction score
4,859
Sasa tupo mahala si salama kama shule inaweza kufutwa kwa ajili ya mwekezaji.

Inaanza kuwa new normal . Years back mwekezaji binafsi alijipa jukumu la kufanya tathmini ya nyumba za watu binafsi vingunguti jijini ,Lukuvi akiwa ardhi chini ya magufuli zoezi lilifutwa na baada ya awamu hiyo zoezi lilirudi kwa kasi na tathmini ya kuondoa watu kwa ajili ya mwekezaji mmoja ikaendelea . Sijawahi kujua serikali inaondoaje watu kwa matumizi yasiyo na manufaa ya umma .

Sasa leo nimekutana na habari kuwa shule ya public inaweza kuezuliwa ili mwekezaji mmoja aweze kunufaika na eneo kwa maumivu ya public . Video inaonyeasha wananchi wakilalamika kuhusu watoto wao wadogo waliositishwa masomo hasa residents wa eneo husika.

Watanzania kama kuna asset tuliyokuwa nayo ya kujivunia ni ardhi. Kila mmoja alikuwa na uwezo wa kumiliki ardhi in one way or the other . Ni dhahri kwa kipindi hiki tunatawaliwa na watu wabinafsi wasiojali public interests . Ardhi imeanza kuingia sokoni kama bidhaa nyingine zozote ndo maana unaona inaanza kuuzwa kwa billions kwa watu wachache. Nyerere alituheshimisha kwa hilo no wonder ungeweza kumkuta mtu ana kibanda cha nyasi kariakoo . Hii ilikuwa na maana sana kwenye land ownership . Watawala wenye mlengo wa ubepari ukichanganywa na ubinafsi ni hatari sana na tutashuhudia mengi .

kwa hili la kuuza public property kwa individual watanzania tuamke kwanza tupewe majibu na ila pia beneficially ni nani , ni kwa manufaa ya nani na nani yuko nyuma yake ila pia ardhi kama asset pekee iliyobaki baada ya kila tulichokuwabnacho kugawiwa tuipiganie kwa hali na mali kabla hatujawa kama wakenya.

Ruksa kutoa povu.
 
Katiba inasema ardhi ni mali ya Watanzania chini ya usimamizi wa Rais. Msimamizi huwekwa kama wenye mali wana matatizo ya afya ya akili au hawajafikia umri wa miaka 18. Hizi ni sheria za kikoloni ambazo mkoloni mweusi CCM hataki kuzibadilisha.

Mpaka tutakapo pata Reforms ikiwemo katiba mpya, vilio vya ardhi vitakuwepo kama kule Ngorongoro na Loliondo.
 
SHULE YA KURASINI ILIUZWA KWA BEPARI MMOJA HIVI MWENYE KIBRI NA MAJIVUNO,ANAMILIKI TIMU

KWA SASA NASIKIA KAKODI PIA ENEO LA JESHI PALE MBAGALA ZAKHEM
Wananchi wanasemaje aisee . Hii serikali inaumiza kichwa aisee
 
Sasa tupo mahala si salama kama shule inaweza kufutwa kwa ajili ya mwekezaji.

Inaanza kuwa new normal . Years back mwekezaji binafsi alijipa jukumu la kufanya tathmini ya nyumba za watu binafsi vingunguti jijini ,Lukuvi akiwa ardhi chini ya magufuli zoezi lilifutwa na baada ya awamu hiyo zoezi lilirudi kwa kasi na tathmini ya kuondoa watu kwa ajili ya mwekezaji mmoja ikaendelea . Sijawahi kujua serikali inaondoaje watu kwa matumizi yasiyo na manufaa ya umma .

Sasa leo nimekutana na habari kuwa shule ya public inaweza kuezuliwa ili mwekezaji mmoja aweze kunufaika na eneo kwa maumivu ya public . Video inaonyeasha wananchi wakilalamika kuhusu watoto wao wadogo waliositishwa masomo hasa residents wa eneo husika.

Watanzania kama kuna asset tuliyokuwa nayo ya kujivunia ni ardhi. Kila mmoja alikuwa na uwezo wa kumiliki ardhi in one way or the other . Ni dhahri kwa kipindi hiki tunatawaliwa na watu wabinafsi wasiojali public interests . Ardhi imeanza kuingia sokoni kama bidhaa nyingine zozote ndo maana unaona inaanza kuuzwa kwa billions kwa watu wachache. Nyerere alituheshimisha kwa hilo no wonder ungeweza kumkuta mtu ana kibanda cha nyasi kariakoo . Hii ilikuwa na maana sana kwenye land ownership . Watawala wenye mlengo wa ubepari ukichanganywa na ubinafsi ni hatari sana na tutashuhudia mengi .

kwa hili la kuuza public property kwa individual watanzania tuamke kwanza tupewe majibu na ila pia beneficially ni nani , ni kwa manufaa ya nani na nani yuko nyuma yake ila pia ardhi kama asset pekee iliyobaki baada ya kila tulichokuwabnacho kugawiwa tuipiganie kwa hali na mali kabla hatujawa kama wakenya.

Ruksa kutoa povu.
Kurasini sekondari nayo kapewa mwekezaji.Tangu Jan wanafunzi na wlm wamehamia Vituka sekondari,wamepisha shughuli za uwekezaji.
 
mbona kama niliona mivinjeni primary school aisee .
 
SHULE YA KURASINI ILIUZWA KWA BEPARI MMOJA HIVI MWENYE KIBRI NA MAJIVUNO,ANAMILIKI TIMU

KWA SASA NASIKIA KAKODI PIA ENEO LA JESHI PALE MBAGALA ZAKHEM
Kurasini ipi ya msingi ama sekondari?
 
tunatawaliwa na watu wabinafsi wasiojali public interests
Hawajali kabisa kuhusu maumivu ya raia. Ni wanatizama ya kwao tu.
 
Hawa ni wa sekondari,tangu Jan wamehamishiwa Vituka,Yombo Vituka ,nasikia wameambiwa wasomee hapo kwa muda,kisha watajengewa/wanajengewa shule yao Mbagala.
Then ni zote na primary . Labda ni mambo ya DP inaanza kuuma
 
Mimi kuna muda naona kuhangaika na Watanzania hawa ni kujichosha tu. Kuwaacha Ardhi igaiwe yote iishe. Ili siku wanaamka wakitaka kukanyaga kila sehemu, wanaambiwa hairuhusiwi ni eneo la mwekezaji.

Itafikia huko ndiyo huenda wakaamka kwenye usingizi wa pono. Sasa shule watoto na walimu wanahamishwa watu wako kimya. Wameanza hivyo na uroho wao, shule zote za mjini hayo maeneo watapewa wawekezaji. Ili watoto wenu wapate Elimu, mtatakiwa kuwapeleka vijijini wakasome, mjini mlipo wamepewa wawekezaji!
 
Sasa tupo mahala si salama kama shule inaweza kufutwa kwa ajili ya mwekezaji.

Inaanza kuwa new normal . Years back mwekezaji binafsi alijipa jukumu la kufanya tathmini ya nyumba za watu binafsi vingunguti jijini ,Lukuvi akiwa ardhi chini ya magufuli zoezi lilifutwa na baada ya awamu hiyo zoezi lilirudi kwa kasi na tathmini ya kuondoa watu kwa ajili ya mwekezaji mmoja ikaendelea . Sijawahi kujua serikali inaondoaje watu kwa matumizi yasiyo na manufaa ya umma .

Sasa leo nimekutana na habari kuwa shule ya public inaweza kuezuliwa ili mwekezaji mmoja aweze kunufaika na eneo kwa maumivu ya public . Video inaonyeasha wananchi wakilalamika kuhusu watoto wao wadogo waliositishwa masomo hasa residents wa eneo husika.

Watanzania kama kuna asset tuliyokuwa nayo ya kujivunia ni ardhi. Kila mmoja alikuwa na uwezo wa kumiliki ardhi in one way or the other . Ni dhahri kwa kipindi hiki tunatawaliwa na watu wabinafsi wasiojali public interests . Ardhi imeanza kuingia sokoni kama bidhaa nyingine zozote ndo maana unaona inaanza kuuzwa kwa billions kwa watu wachache. Nyerere alituheshimisha kwa hilo no wonder ungeweza kumkuta mtu ana kibanda cha nyasi kariakoo . Hii ilikuwa na maana sana kwenye land ownership . Watawala wenye mlengo wa ubepari ukichanganywa na ubinafsi ni hatari sana na tutashuhudia mengi .

kwa hili la kuuza public property kwa individual watanzania tuamke kwanza tupewe majibu na ila pia beneficially ni nani , ni kwa manufaa ya nani na nani yuko nyuma yake ila pia ardhi kama asset pekee iliyobaki baada ya kila tulichokuwabnacho kugawiwa tuipiganie kwa hali na mali kabla hatujawa kama wakenya.

Ruksa kutoa povu.
Subirini uchaguzi upite akili zitawasogea tu.hata hao akina choice variable,tlatlah NK nao wataguswa tu.
 
Hilo eneo hakuna wazee yani inatakiwa wanavunja leo wakirudi kesho wanakuta kuta zimesimaa au hao wavunjaji wapigwe fimbo nyingi sana pasipo kumuona anayewachapa au wapelekee kundi la nyuki wakichafue hapo hao wavunjaji wasambae na yoyote atakaye sogea hapo ni kungatwa na nyuki tu uone

Unajua sayansi tunayo yakukabiliana na hao matajiri sema tunaidharau
 
Back
Top Bottom