Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,800
- 4,859
Wananchi wanasemaje aisee . Hii serikali inaumiza kichwa aiseeSHULE YA KURASINI ILIUZWA KWA BEPARI MMOJA HIVI MWENYE KIBRI NA MAJIVUNO,ANAMILIKI TIMU
KWA SASA NASIKIA KAKODI PIA ENEO LA JESHI PALE MBAGALA ZAKHEM
Kurasini sekondari nayo kapewa mwekezaji.Tangu Jan wanafunzi na wlm wamehamia Vituka sekondari,wamepisha shughuli za uwekezaji.Sasa tupo mahala si salama kama shule inaweza kufutwa kwa ajili ya mwekezaji.
Inaanza kuwa new normal . Years back mwekezaji binafsi alijipa jukumu la kufanya tathmini ya nyumba za watu binafsi vingunguti jijini ,Lukuvi akiwa ardhi chini ya magufuli zoezi lilifutwa na baada ya awamu hiyo zoezi lilirudi kwa kasi na tathmini ya kuondoa watu kwa ajili ya mwekezaji mmoja ikaendelea . Sijawahi kujua serikali inaondoaje watu kwa matumizi yasiyo na manufaa ya umma .
Sasa leo nimekutana na habari kuwa shule ya public inaweza kuezuliwa ili mwekezaji mmoja aweze kunufaika na eneo kwa maumivu ya public . Video inaonyeasha wananchi wakilalamika kuhusu watoto wao wadogo waliositishwa masomo hasa residents wa eneo husika.
Watanzania kama kuna asset tuliyokuwa nayo ya kujivunia ni ardhi. Kila mmoja alikuwa na uwezo wa kumiliki ardhi in one way or the other . Ni dhahri kwa kipindi hiki tunatawaliwa na watu wabinafsi wasiojali public interests . Ardhi imeanza kuingia sokoni kama bidhaa nyingine zozote ndo maana unaona inaanza kuuzwa kwa billions kwa watu wachache. Nyerere alituheshimisha kwa hilo no wonder ungeweza kumkuta mtu ana kibanda cha nyasi kariakoo . Hii ilikuwa na maana sana kwenye land ownership . Watawala wenye mlengo wa ubepari ukichanganywa na ubinafsi ni hatari sana na tutashuhudia mengi .
kwa hili la kuuza public property kwa individual watanzania tuamke kwanza tupewe majibu na ila pia beneficially ni nani , ni kwa manufaa ya nani na nani yuko nyuma yake ila pia ardhi kama asset pekee iliyobaki baada ya kila tulichokuwabnacho kugawiwa tuipiganie kwa hali na mali kabla hatujawa kama wakenya.
Ruksa kutoa povu.
mbona kama niliona mivinjeni primary school aisee .Kurasini sekondari nayo kapewa mwekezaji.Tangu Jan wanafunzi na wlm wamehamia Vituka sekondari,wamepisha shughuli za uwekezaji.
Kurasini ipi ya msingi ama sekondari?SHULE YA KURASINI ILIUZWA KWA BEPARI MMOJA HIVI MWENYE KIBRI NA MAJIVUNO,ANAMILIKI TIMU
KWA SASA NASIKIA KAKODI PIA ENEO LA JESHI PALE MBAGALA ZAKHEM
Duh, ***** walaiKurasini sekondari nayo kapewa mwekezaji.Tangu Jan wanafunzi na wlm wamehamia Vituka sekondari,wamepisha shughuli za uwekezaji.
Hawa ni wa sekondari,tangu Jan wamehamishiwa Vituka,Yombo Vituka ,nasikia wameambiwa wasomee hapo kwa muda,kisha watajengewa/wanajengewa shule yao Mbagala.mbona kama niliona mivinjeni primary school aisee .
Then ni zote na primary . Labda ni mambo ya DP inaanza kuumaHawa ni wa sekondari,tangu Jan wamehamishiwa Vituka,Yombo Vituka ,nasikia wameambiwa wasomee hapo kwa muda,kisha watajengewa/wanajengewa shule yao Mbagala.
Subirini uchaguzi upite akili zitawasogea tu.hata hao akina choice variable,tlatlah NK nao wataguswa tu.Sasa tupo mahala si salama kama shule inaweza kufutwa kwa ajili ya mwekezaji.