Wananchi tupatiwe majibu shule inayoezuliwa Kwa ajili ya mwekezaji mmoja.

Shida Iko wapi? Si mtajengewa nyingine?

Wewe ukigundua Madini kwenye nyumba Yako utaivunja au utaiacha 😁😁
 
Vingunguti wote wakuja.
 
Hili swala nalisikia juujuu ila nahisi itakuwa shule ya pili Dar es salaam kufanyika hv..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…