GE2025 Wananchi wa Bumbuli wachinja ng'ombe kusherehea January Makamba kukatwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
miaka 15 mtu amekua mbunge, WAZIRI tena amekua karibu sana na Maraisi lakini wananchi wa jimbo la Bumbuli hawajui Lami ni kitu gani, Jimbo liko nyuma kimaendeleo utafikiri wako mwaka 1987.

Pumzika kaka January Ma-rope
Sasa akipumzika atafanya kazi gani?
 
Balance taarifa kwa kuongea na mtu aliyepo bumbuli boss
Leo tumekula mboga (nyama). Kwetu mboga ni nyama tu zingine zunaitwa kwa majina halisi mfano maharagwe, mchicha, samaki n. k.
Ukisikia neno mboga ni synonym ya nyama
Eti nyama ni mboga! Nyie Washamba(a) ushamba utawatoka lini?
 
Kuna Chama na kuna Mtu....CCM mapema sana.!
 
Mi huwa nashangaa sana! Unakulaje mshahara Bure bila kufanya kazi comrade!!?
 
Jamaa Aliwapelekea bumbuli madrafti Wananchi wawe wanacheza instead kuwapelekea Umeme barabara na zahanati + Maendeleo mengine Wananchi baadhi wakawa Wana lalamika 😁😁😁

Hata hivyo hizo zitakuwa ni figisu za kumrahisishia njia Jamaa mwenye kidoti kuweza kuchukua nchi bila upinzani mwaka 2030 so wameamua kukata mizizi mikubwa mapema ili Ardhi isipate usumbufu
 
Ila uchinjani wa wanyama ni jambo la kikatili na lisilo la kiungwana hata kidogo
Ndio nature how it's work

Hapo kuwa nakubaliana na wewe kuwa kweli ni ukatili but we must admit something will never change
 
Hivi walitofautiana wapi na bi mkubwa?
 
Pole sana january
 
Mmeshachelewa sana,kilichomfanya mpaka akatafuta ubunge ilikuwa ni pesa,pesa tayari ameshazipata tena kupitia kura zenu wenyewe,leo ndio usingizi umewatoka mnachinja N'gombe,too late...
 
Hivi sasa Ndo ufitina uliotamalaki nchini wa kusherehekea anguko la mafanikio ya mtu. Na hili litatutafuna miaka nenda rudi huku wenzetu majirani wakisonga mbele!!
 
Mnashangilia vita msio ijua
Pitia mada hii


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…