Wananchi wa Kigoma msijishuku kubaguliwa mnapohojiwa uraia wenu

Nyie ndio wa kiwango cha Cha bwawa la Rufiji mnawapa Watanzania wenzenu uraia wa nchi nyingine. Huo ndo ushamba.
Sikulaumu wewe. Umewaaibisha sana masikini wazazi wako.
 
Whether alicheza kabla au la, whether wanaohoji waliona zile clips kabla au la is insignificant. What matters most is , Dr. Mpango ndie Vice President wa JMT. People can go to hell, come back and go to hell once more as far as we are concerned.
Mbona unajibu hoja zisizokuhusu! Wewe ni?
 
Tatizo lake Zitto hajawahi kutumia busara kwenye mambo yanayo hitaji busara.
Zitto hajawshi kuwa na busara ndicho kilichomfanya aamue kutoka CHADEMA kwa vile aliwekewa kizingiti alipoutaka uwenyekiti
 
Mbona unajibu hoja zisizokuhusu! Wewe ni?
Najaribu kukuelewesha wewe na wenzio wote mnaopropagate uzushi usio na hoja. Haya mambo wala hayahitaji hata elimu ya form one kuyaelewa.
 
Najaribu kukuelewesha wewe na wenzio wote mnaopropagate uzushi usio na hoja. Haya mambo wala hayahitaji hata elimu ya form one kuyaelewa.
Ukisingiziwa wizi ni jukumu lako wewe binafsi kujitetea wanaokufahamu watatoa ushahidi baadaye. Mwacheni Mpango ajitetee ninyi mnaomfahamu mtatoa ushahidi wenu baadaye. Na siyo ninyi kujitia kimbelembele!
 
Mwacheni Mpango ajitetee ninyi mnaomfahamu mtatoa ushahidi wenu baadaye. Na siyo ninyi kujitia kimbelembele!
Vice President hawezi kupoteza muda wake kwenda Twitter, JF au Facebook kujibu kila tetesi au kihoja kinachokuwa propagated na haters tena baada ya mamluki wao kuikosa nafasi.

Hivi mnadhani Nchi hii ni kikundi cha vikoba ambapo mtu anaweza kupaa tu na kuwa VP bila kuwa vetted thoroughly!?

Kafanyeni kazi msije kufa njaa ninyi!
 
Pale Manyovu ni Mpakani inawezekana Dr. Mpango akawa ni Mhutu aliyejivika ngozi ya Uha.

Hakuna haja ya Ndugu zetu Waha kukasirika
 
Watu huwa hawaelewi shida inayowapata waha wanapohitaji hati za kusafiri.Kuna wengine hulazimika kutumia mbinu mbadala ili wazipate.Hiii kasumba ya kuwaona waha kama wasio raia ni kubwa mno na inakera.Kama mnvyoona,sisi waha tunacomment kwa hasira kwa sababu jambo hili ni la muda mrefu ila makabila mengine hayaelewi.
 
Kama huwezi kujua kwa nini anahojiwa sasa basi ni ujinga wako ambao kwa sasa hatuwezi kukusaidia! Rudi shule utaelimika!
Hayo mamlaka ya kumhoji makamo wa raisi kuhusu uraia wake mmeyapata wapi? Hivi unashaka na taasisi ya uraisi kwa kumteua kuwa makamo wa uraisi? Ikiwa elimu hamna basi hata adabu na haya hamna?
 
Hayo mamlaka ya kumhoji makamo wa raisi kuhusu uraia wake mmeyapata wapi? Hivi unashaka na taasisi ya uraisi kwa kumteua kuwa makamo wa uraisi? Ikiwa elimu hamna basi hata adabu na haya hamna?
Watu wanahoji uwepo wa Mungu itakuwa Mpango ambaye anafoji takwimu za uchumi!
 
Waha ni Watanzania haina shida. Lakini kuna waliojipenyeza na kijifanya Watanzania kumbe ni wahamiaji haramu. Kinachotakiwa ni wenyeji wa Kigoma kuwabaini na kuwafikisha katika vyombo vya dola.
Yaani system imeshindwa ki-track uraia wa Mpango? Kwa hiyo yeyote wa Kigoma ni Mrundi, mbona hatudai kuwa Warundi ni Watanzania? Kimsingi Burundi ilinyofolewa kutoka Tanzania, kwa nini tisiwarudishe?

Vv
 
Upande mmoja Waha wanaolalamika wana hoja! Kama Dr.Mpango amekuwa mtumishi wa Serikali kwa miaka mingi tena kwa nyadhifa za Ubunge na Uwaziri,na moja ya Masharti ya utumishi lazima awe ni Mtanzania.

Now how does it come kuhoji Uraia wake sasa baada ya kuwa VP?

Tanzania tuna vyombo vya Ulinzi na Usalama, Uhamiaji! Ina maana kwa muda wote huo walikuwa hawajajirishisha kuwa Dr. Mpango ni raia wa Tanzania?
 
Mijitu mengine ni mipumbufu kwelikweli, au kuzaliwa kigoma ndio tatizo,
 
Awamu hii watu wa kigoma mtatukoma.Tutawabambikizia kesi mpka mkome.Sisi ni warundi??

MAANA HAMNA NAMNA NYINGNE SASA.
 
Tatizo sio kuhoji uraia.. Tatizo ni kwanini unahoji uraia wa mtu? Yaani unamhoji mtu sababu ametokea kigoma je huo sio ubaguzi??

Halafu watu wanataka eti Mh atoke hadharani kujieleza. Yaani ajieleze kwanini anatokea Kigoma? Huu ubaguzi tutafika mbali sana.

Kungekua na basis za maana za kuhoji uraia wa mtu ingekua sawa.. lakini kumhoji mtu kisa anacheza ngoma ya asili ya kwako?? Huu ni ubaguzi.. hata mimi ningekua mpango nisingetoka kujieleza kwa mtu yyte.
 
Yaani system imeshindwa ki-track uraia wa Mpango? Kwa hiyo yeyote wa Kigoma ni Mrundi, mbona hatudai kuwa Warundi ni Watanzania? Kimsingi Burundi ilinyofolewa kutoka Tanzania, kwa nini tisiwarudishe?

Vv
Siyo kwamba wameshindwa bali serikali ya CCM imekuwa ikitumia mbinu hii kuwanyamazisha wapinzani wake, hivyo watu wengine wanaitumia kuwakumbusha CCM kutenda haki kwa watu wote kwa usawa.
 
Halina ukawaida wowote. Mbona manamba na waha walioletwa kulima mikonge tanga na karafuu Zanzibar na pwani hatuwaiti warundi!? Wamejaa wamanyema mjini DSM lakini hamuwaiti warundi!?

Dhambi ya ubaguzi ni mbaya mnoo. And this(kusukumana kisa watu wako mipakani) however small it may seem.. ni mbaya sana.. mno

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Anahojiwa Dr Mpango wewe povu la nini?
Your Reasoning is very questionable. Lazima ukae ujiulize kabla hujazungumza. Imagine wewe ni mlemavu.. ufike sehemu usikie mlemavu mwingine anaulizwa (mr.x kwanini nyie walemavu huwa mnanuka?)

Despite the fact wewe kama mlemavu hygiene yako iko on point.. au hata ya anayeulizwa.. yawezekana muulizaji anauliza kutokana na experience yake huko atokako.. wewe hautahisi unaguswa kwenye hili!?

Ndugu yangu... Maneno ni hatari sana.. lazima yatoke kwa umakini na adabu sana.. yakishatoka hayarudi tena.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Uliza Tanzania hii 5 generations Back uone nani anabakia hapa. Wengine watoto wamezaliwa na waendesha maroli wa zambia na kongo nao utawakuta humu nyenyenyee. Hii nchi inafurahisha sana..

Mark this.. hii nchi imejengwa na wakuja. Hawa wako kwenye makundi mawili, kunawalikuja kwa kukimbia huko walikotoka..maana walikuwa na roho hizi hizi za kibaguzi.

Na waliokuja kwa kutafuta pumziko. Tunapapenda Tanzania na kupaombea mema. Hilo kundi jingine likiharibu na hapa litakimbilia kwingine.. maana ndio maisha yao.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…