Wananchi wa Kigoma msijishuku kubaguliwa mnapohojiwa uraia wenu

This is a poor reasoning of a year! Swali kwamba kwa nini ninyi walemavu wote mnanuka halipo bali kwa nini wewe unanuka? The same applies kwamba anayeulizwa uraia wake ni Mpango na si wananchi wote wa Kigoma.

Mara kadhaa tumeshuhudia wahamiaji haramu kutoka Burundi wanakamatwa tena na wananchi wa Kigoma wenyewe, kwa nini hao wanaopinga kuhojiwa kwa Mpango hawajawahi kujitokeza kuwa hao watu waliokamatwa ni wa Kigoma?
 
Si ndiyo hapo,watu wakisema tuanze kuulizana humu hakuna akatayebaki

Ova
 
Kwani aliyekuwa akicheza ngoma alikuwa ni yeye DKT mpango na miti tu!?

Is it a first time ngoma hiyo imecheza huko Kigoma!?

Aangekutwa chumbani amejifungia anacheza ngoma supposedly ya kirundi tungesema your analogy applies..

Ikiwa was a public function then this is all a mess and should be dropped.

Marekani kuna jumuiya za kila aina na wanapractice kila aina ya tamaduni ambazo sio native to america.. na wao pia wanakuwa viongozi.. so how does that sit with you!?

Ileje unamjua mtanzania!? Anapatikana upande upi wa Tanzania? Au wewe unachokijua ni tamaduni zinajitambulisha kama watanzania!? Hizi tamaduni hasa mipakani haidhuru zikifanana na majirani watu hawa ni wajamii moja.

Tusifanye kuwa utanzania ni kitu kinashuka toka mbinguni. Utanzania ni comittment ya mtu kulinda maslahi ya this land mass called Tanzania. Wako watanzania wanauraia wa uingereza na kuna.waingereza wana uraia wa Tanzania.
Huyo muingereza Mabala ni mtanzania kuliko richard ambaye kutwa ni kutukana the little we have.

Kwa kifupi kwa kumsema mpango, mnasema kila mtu aliyewahi kucheza ngoma hiyo, au kuimba na kupiga ngoma hizo.. na inapanuka itawasema wanyambo, wahaya, wajaluo, Wachagga, Wamasai, wanyasa, wangoni, wamatumbi, nk.. maana wote wanshare culture and makabila nje ya Mipaka.

Vipi kuhusu watanzania Mo.. na wengine wenye asili ya uhindi wanaopractice asian cultures nao tuwaulize juu ya uraia wao!?

Au turudi kwako, nikihoji uraia wako based on traditional practice za ukoo au kijijini kwenu ..sio sawa na kuhoji uraia wenu wote collectively!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mnajifanya mnafanya reasoning mavi tu mioyoni mwenu mmejaa ubaguzi kwa waha.Hovyo.
 
Siyo kwamba wameshindwa bali serikali ya CCM imekuwa ikitumia mbinu hii kuwanyamazisha wapinzani wake, hivyo watu wengine wanaitumia kuwakumbusha CCM kutenda haki kwa watu wote kwa usawa.
Aseh.. una akili mbovu na upeo mdogo sana. Jitafakari.
 
Mmepata shauku ya kumjua zaidi saivi kwa nini? Miaka yote amehudumu katika serikali hamkuwahi kuona umuhimu wa kumfahamu zaidi??
 
Tatizo lake Zitto hajawahi kutumia busara kwenye mambo yanayo hitaji busara.
We unadhani una busara kuliko Zitto? Busara ya Zitto unaipima kwa kigezo gani. Kama ni kwa kigezo cha busara yako, umepotea aisee.......
 
Msitake kujenga hoja ambayo haipo, hiyo ni inferiority complex ambayo ni yako binafsi! Kumbuka ndani ya ukoo mmoja mnaweza mkawa na utaifa tofauti. Mimi ndani ya ukoo wangu kuna Wamalawi, Wazambia na mimi ni Mtanzania! Kwa hiyo watu wanaweza kuhoji uraia wangu, na kwa kufanya hivyo hawatakuwa wanahoji utaifa wa kabila zima. Nitahojiwa mimi na nitajibu mimi ndugu zangu watakuja kutoa ushahidi.

Sasa nakushangaa wewe Kamukhm na wenzako kuchukulia Waha wote wanahojiwa. Jinasueni katika ukabila na ukanda, maisha ni rahisi sana.
 
Mmepata shauku ya kumjua zaidi saivi kwa nini? Miaka yote amehudumu katika serikali hamkuwahi kuona umuhimu wa kumfahamu zaidi??
Katiba ya nchi inatutaka kumfahamu vizuri zaidi. Kwa nafasi aliyonayo anaweza akawa Rais wa nchi wakati wo wote. Katiba ya nchi inataka Rais wa nchi awe raia wa kuzaliwa full stop.
 
We unadhani una busara kuliko Zitto? Busara ya Zitto unaipima kwa kigezo gani. Kama ni kwa kigezo cha busara yako, umepotea aisee.......
Mrundi kamwe hawezi kuwa mtanzania
 
Wachana na hao warundi
 
Bwana Ileje hoja hiyo ni valid sana. Kabla hujatoka hadharani na kumtuhumu mtu hakikisha unataarifa ya kutosha.

Pili kumbe na wewe unajua ziko koo zinazospread mpaka nchi za jirani.. sasa upya wa hili unatoka wapi!? Je uwezekano wa mpango kuwa na ukoo unaenda mpaka burundi shida inakuwa wapi kama na yeye ameamua (kama ilivyo kwako) kuwa mtanzania!?

Au kwa watu wa koo zinazovuka mipaka wote lazima tushuku uraia wao!? Tukienda hivyo na wewe inakuondolea legitimacy ya kuhoji uraia wa dkt Mpango.

Nchi hizi imejengwa kwa kuwa tuliavoid sana maswali kama haya.. na tukawafanya waliosahaulika kunisikia Nyumbani. Ulishawahi kujiuliza kwanini mikoa ya pembezoni wafeel proud to be Tanzanians.. coz tunajaliana na kupendana.

Just a side note: Nchi ina miongozo, kuwa kiongozi serikalini kunakuweka chini ya keen eye of the national security community.. wanafuatilia kila hatua yako..maana kazi yao ni kuilinda Tanzania.

Sasa ili hoja hii iwe na mashiko lazima tukubali ikiwa mgeni atakwenda kubwa kiongozi nchi hii basi tutakuwa na very dangerous security breach na kuweka vitu wazi ikitokea hivyo basi tushaliwa na kuoza kutokea ndani.

Huyo anayetengeneza hizi alegetions ameamua kuwa mtu wa hovyo maana clearly anajua how things work, ila ameamua kuignore na kujitia uhayawani.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mbona hiyo issue ni ndogo sana lkn nyinyi mnaikuuza utadhani ni sifa
 
Siyo suala la yeye kuamua awe raia wa nchi gani, ni suala la katiba ya nchi. Kwamba watu wote waliokuwa wanaishi Tanganyika wakati wa uhuru ni Watanzania pamoja na vizazi vyao. Wale waliohamia baada ya uhuru wanapaswa kuomba uraia. Sasa kuhusu kuongoza nchi kwa ngazi ya Urais katiba inataka awe raia wa kuzaliwa na si vinginevyo.

Mpango amefikia hiyo ngazi ndiyo sababu watu wanahoji na wana hoja ya msingi kikatiba!
 
1. Katiba inataka Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania awe raia halisi wakuzaliwa sio wakuhamia, mkimbizi au wakuja.

2. Kila siku tunajaza madodoso yanayohoji uraia wetu kila mmoja kama mtu binafsi, sio kabila, mkoa au kikundi cha watu.

3. Uraia ni swala la mtu binafsi sio mkoa, kabila AMA kikundi cha watu

4. Kila mmoja awajibika kujitetea, kujieleza nakuthibisha uraia wake wa ainagani

Hivyo basi kujimwambafy kutoa majibu ya mtu mwingine au utetezi pasipo kuitwa mahakamani na mhusika kama witness nikutojitambua.

Utetezi wa uraia wa mtu ni jukumu lake binafsi sio kabila, mkoa au kikundi cha watu.

Askofu kakobe
Kabendera
Askofu Niwemugizi
General Ulimwengu.... tena huyu alienda mpaka vitani Uganda na alishika nyazifa selekarini bado alihojiwa.

Tutambuwe baadhi ya nyadhifa serikalini hususani Urais una masharti Maalum mojawapo ni uraia.
 
Siasa pekee rahisi ya kumchafua mtu wa Kigoma ni kumwita Mrundi, naona wasaka madaraka wanaicheza Karata yao vizuri, hio Ina maana wamemtafuta Dr Mpango wamekosa udhaifu wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…