Wananchi wa Kigoma msijishuku kubaguliwa mnapohojiwa uraia wenu

Na swala la usalama wa taifa kufail mbona tinaliruka!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuhoji ni swala jema ila nadhani lina taratibu. Ukihoji kwa njia hii ..hiyo inakuwa smear campaign. Ukihoji halafu akathibitisha na umesha mjengea image mbaya kwa wananchi inakuwa imesaidia nn!?

Huna uhakika na uraia wa mtu si unakwenda uhamiaji au mahakamani!? Sasa kwann mtu asiende huko halafu upate majibu ..kuliko kuanzia huku halafu uharibu image ya mtu kwa umma kisha urudi kule kule kupata majibu!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kama mnahisi yeye ni raia wa nchi jirani amefika hivi hapo kwenye hiyo nafasi, je hamkumfahamu kabla, hayo ndo yaleee yaliyomtokea askofu Niwengizi wa Ngara, naona hii nchi inaleta vugu vugu la ukabira sana wakati nyerere aliweza kulitokomeza,
 
Hiyo ndiyo hoja yako! Bila shaka wewe ni bendera kufuata upepo, vinginevyo ni mpumbavu!
Tatizo huna hata hoja unapayuka kuhusu uraia wa mtu lakini utambui tuna uhamiaji na Nida vyombo vilivyounda kisheria kwa ajili ya kazi hizo. Ukituliza akili utagundua wewe ndio mfuata upepo na basically ni mjinga. Kingine usichokijua watu wa mipakani hawawezi kuchagua mbunge ambae ni mkimbizi kwasababu kule wanajuana.
 
Mjinga wee hujawahi kusikia kuna watu wamepewa uongozi kumbe ni wahamiaji haramu?
 
Katiba ya nchi inatutaka kumfahamu vizuri zaidi. Kwa nafasi aliyonayo anaweza akawa Rais wa nchi wakati wo wote. Katiba ya nchi inataka Rais wa nchi awe raia wa kuzaliwa full stop.
Kama unataka kufuata sheria basi fuata utaratibu na ukatoe ripoti uhamiaji kwamba Mpango ni mkimbizi.
 
Mjinga wee hujawahi kusikia kuna watu wamepewa uongozi kumbe ni wahamiaji haramu?
Kwahiyo walitambulika kupitia Mitandaoni? Au kupitia uchunguzi wa vyombo husika? Hebu ni jibu bwana mwelevu.
 
Ndiyo hao hao kule kagera huwa wanaitwa WASH
Huu ni umaskini wa akili na lack of exposure unakusumbua. Utakuta wakati Babu yangu anapiginia uhuru Wazee wako walikuwa wanafanyia kazi wahindi.
 
Usalama wa Taifa wana sehemu yao na huenda wanalifanyia kazi na sisi raia tuna sehemu yetu. Mwisho wa siku muafaka utafikiwa.
Yaani unahoji Uraia wa mtu kumbe hauna enough information to question anything.. kisha kupata uthibitisho juu ya uraia wake.. unarudi tena kwa Serikali ikusaidie na majibu ya uthibitisho.!?

Kwann kama unaongozwa na busara usimuulize moja kwa moja kamishna wa Uhamiaji? Ili usi-misslead watu na once you clear your doubt usihitaji kwenda public(kama ulivyokuwa na hizi shutuma) kusema #kumradhi nilikosea!?#

Kama tunashindwa kusema moja kwa moja tunakotakiwa kuhoji.. huo ni unafiki kama unafiki mwingine.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hahaa, kigoma mwidiweeee

Kigoma kuchele

Waha wote nawasalimia,, Mwakeye????
 
Huu ni umaskini wa akili na lack of exposure unakusumbua. Utakuta wakati Babu yangu anapiginia uhuru Wazee wako walikuwa wanafanyia kazi wahindi.
Ukiwa ni MUSHUTI kubali tu maana kukasilika ni kujinyanyapaa
 
Pole mkuu umeandika kwa uchungu mkubwa, Nami natilia nyama kama wanaona Kigoma ni kero waiache, kwanini wanailazimisha kuwa Tanzania kama hawaitaki
 
Kama huwezi kujua kwa nini anahojiwa sasa basi ni ujinga wako ambao kwa sasa hatuwezi kukusaidia! Rudi shule utaelimika!
Kwanza futa kauli yako, Dr Mpango ahojiwi ni kelele za mitandaoni, kama hizo kelele Zina tija serikali watafanyia kazi, ukiona kimya fahamu, kuwa serikali ina vitu vingi vya msingi vya kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…