Wananchi wa Mbeya wana utofauti mkubwa sana na Watanzania wengine

Umenena vema mkuu, ni kupitiwa tu, ila Gen Mboma anapenda low profile.
 
Hawa jamaa washamba sana, Mdude kachukuliwa na polisi wao wanaenda kusumbua vichaka.
 
Aisee wewe jamaa ni pacha wangu kiitikadi kuwahusu wasukuma...hakuna kabila lenye tabia za kindumilakuwili kama hilo...hao jamaa huwa wanaleta ushamba na ujuaji hata kwenye mambo ya msingi​
 
Ni kweli mkuu,
mshikamano wa watu wa Mbeya katika masuala ya msingi na kujua haki zao na kuzisimamia, ni mfano wa kuigwa na watu wa maeneo mengine.
Kujitambua kwao na kushiriki katika mwamko kudai haki na maendeleo ndiko kulikoiua na kuizika ile propaganda ya watawala kwamba Chadema ni chama cha wachagga,cha watu wa kaskazini.
Hongera kwao.
 
Mbeya ni nchi nyingine. Jamaa wako very determined
 
Huko wanakomtafuta ndiko mdude yupo au? Kwamba alikuwa mwehu akapotelea msituni na mapangoni ama?
 
Wananchi wa Mbeya ni wa kipekee, hawapendi mtu kuonewa.
Na huwa wanasypathise sana mtu akifa au akipotea.
Na iwapo kuna ukweli, wataupigania kwa harufu ya damu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…