masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
- Thread starter
- #81
Mshamba sana we jamaa.Hivi una akili sawasawa we chawa?
Badala ya kumshukuru mama Samia unaleta historia za kijinha ati ulikuwa msafara wa Kikwete.
Kwenu mafuriko mnahama nyumba kila msimu.
Shukuruni mama atawajengea madaraja mto Songwe.
Msivyo na akili hamjui hata jinsi ya kuomba serikali ili ku control mafuriko, ilhali bado mama yupo.