Wananchi wa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini tunakupongeza Rais Samia, ziara ya Rais kama hii haijawahi tokea toka uhuru

Hivi una akili sawasawa we chawa?
Mshamba sana we jamaa.
Badala ya kumshukuru mama Samia unaleta historia za kijinha ati ulikuwa msafara wa Kikwete.
Kwenu mafuriko mnahama nyumba kila msimu.
Shukuruni mama atawajengea madaraja mto Songwe.
Msivyo na akili hamjui hata jinsi ya kuomba serikali ili ku control mafuriko, ilhali bado mama yupo.
 
Mbona unahamisha magoli? Ulisema mwanzo hakuna rais aliyefanya ziara ya wilaya nyingi Mbeya zaidi ya Samia nami nikakuumbua kuwa si Samia peke yake marais karibu wote akiwamo Kikwete ambaye mimi niliishuhudia Ziara yake aliizunguka Mbeya tena mpaka milimani Ileje huko na haikua wakati wa kampeni kama ulivyodai...

Hayo ya shukrani kwa samia ukimshukuru wewe chawa wake inatosha.
 
Usiwe na kiburi.
Msifu mama Samia kwa aliyokufanyia kwenu.
Inaelekea mmekuzwa kuwa na kujisifu huku kichwani na mifukoni patupu.
 
Haya pata hiyo mburula!
 
Usiwe na kiburi.
Msifu mama Samia kwa aliyokufanyia kwenu.
Inaelekea mmekuzwa kuwa na kujisifu huku kichwani na mifukoni patupu.
Nimeshakwambia msifuni nyie machawa mnaosubiri fadhila mithili ya fisi angojeaye mzoga... mtupu mfukoni ni wewe chawa mzee.
 
Huna kitu moyoni(huna fadhila), huna kitu kichwani, huna kitu mfukoni.
 
Rais alale mkoani kwenu wkt ndege ipo ya kumrudisha Bongodaresalame??...ili iweje?? Acheni tabia za umaskini huo....Rais hayuko hapo kufurahisha watu wajinga km weye.....mwishowe mtataka alale kila nyumba ndo mnaanzaga ivi ivi.... RAIS WILAYANI NI AGUSE TU KIDOGO THEN ARUDI FASTA KWA WATU WA UKWELI BONGODSM.mleta mada ukimtaka rais uwe mwanabongo.kindakindaki hapooo!! Aaaa! Hata akienda chooni utamuona tunapeana high!! Na itaona pikipiki za escort zinazo waka mabomu lkn haziteketei......akipita hivi muziki wa diamond ni bure unamuona live. Bongo raha sana.....lkn wana bongo waaala!! hawana time wanapita tu na magari yao! Fyaaaa!! Daaa!! Ni Utashangaa mpaka unyeeee!! Nina hakika ukikaa mwaka tyu..unakuwa km wao sasa ...asa weye kasafari kamoja tu wilayani kwenu humoo unapiga keleleeeee! Mfyxcccc!
 
Mi kenge, chawa lakini mama anafanya kweli kimaendeleo Nyanda za juu Kusini.
Wewe subiri msafara wa Kikwete.
Maweee yuleee! ndo born town kabissaaa!!! Alale! kwenye kunguni huko porini.... maweee hata kura zenu hazitaki!! Labda apite kuelekea Mayote! Ukisikia amelala hapo kimagumashi. anaamkia Moron!......na zawadi zenu hatakagi sijui kwa nini?...mkilazimisha kumpa lazima azigawe kwa mayatima.
 
Rais alale mkoani kwenu wkt ndege ipo ya kumrudisha Bongodaresalame??...ili iweje?? Acheni tabia za umaskini huo....Rais hayuko hapo kufurahisha watu wajinga km weye.....mwishowe mtataka alale kila nyumba ndo mnaanzaga ivi ivi.... RAIS WILAYANI NI AGUSE TU KIDOGO THEN ARUDI FASTA KWA WATU WA UKWELI BONGODSM.mleta mada ukimtaka rais uwe mwanabongo.kindakindaki hapooo!! Aaaa! Hata akienda chooni utamuona tunapeana high!! Na itaona pikipiki za escort zinazo waka mabomu lkn haziteketei......akipita hivi muziki wa diamond ni bure unamuona live. Bongo raha sana.....lkn wana bongo waaala!! hawana time wanapita tu na magari yao! Fyaaaa!! Daaa!! Ni Utashangaa mpaka unyeeee!! Nina hakika ukikaa mwaka tyu..unakuwa km wao sasa ...asa weye kasafari kamoja tu wilayani kwenu humoo unapiga keleleeeee! Mfyxcccc!
Unawashwa!
Tulia dawa ikuingie.
 
Unawashwa!
Tulia dawa ikuingie.
yaani weye na mi avatar wako mnafanana domo kabisaaa umejichagua dogo.....kuroopoka tuuuu...ivi mijitu uya barana nini?? Eti Rais kalala wilayani...mara utasikia nyarusare yuleeee wa DSM Jf kapita na ndinga lake motoooo!!..nakwambia ??? Mara nikija huko mikoani mnizunguke weeee!!...heee!! nyie watu??. Hivi mnajuagaje kuwa leo niko Mbeya mjini???!
 
Naona bado unawashwa!
 
Wakati mwingine napata kigugumizi na kwikwi saana juu ya sifa hizi za"haijapata tokea" wakati ule wimbo bora kabisa ulikuwa ndiyo huui huu, mpaka bunge likaweka azimio la kumpongeza kwa "ushindi mnono wa uenyekiti wa SADC". Sasa kama aliambiwa haijapata kutokea, leo Tena mwingine anaambiwa haijapata tokea. Mm naomba ufafanuzi. HII HAIJAPATA TOKEA " ni kwa vipi Tena wakati ni miaka Sita tu iliyopita? Au tunasahau ya Jana na kukumbuka ya Leo tu??
Hawa ni wasaka fursa tupu
 
We shida yako nini? Ulitaka niseme nini? Nimesema wapi mimi kuwa kwenye msafara ilikua fahari kwangu? Kuwa na adabu maana ungeweza jadili bila matusi.
Mama Samia akifanya maendeleo sehemu za kwetu huku mnakasirikia maendeleo.
 
Maweee yuleee! ndo born town kabissaaa!!! Alale! kwenye kunguni huko porini.... maweee hata kura zenu hazitaki!! Labda apite kuelekea Mayote! Ukisikia amelala hapo kimagumashi. anaamkia Moron!......na zawadi zenu hatakagi sijui kwa nini?...mkilazimisha kumpa lazima azigawe kwa mayatima.
Nyie wenye akili za kijinga kijinga ndio mjue kuwa Mama asingekuwa pale bila kura etu.
 
Back
Top Bottom