Wananchi wabubujikwa machozi ya furaha kwa ushindi wa Samia; Kila kona ni shangwe na vifijo

BICHWA KOMWE -

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2022
Posts
9,528
Reaction score
24,071
Nani kama Samia? Mtachonga sana.

Tunazidi kusonga mbele katika kazi na utu. Maelfu ya watanganyika wanafurahia ushindi wa maajabu wa Samia. Ushindi wa kihistoria.

Nimepigiwa simu na ndugu yangu wa Kishimundu anatokwa machozi ananiambia ana siku ya tatu hajala anajigaragaza kwenye michanga kwa furaha ya ushindi wa Kipenzi chetu, mama samia.

Huu ni upendo ulioje? Upendo wa dhati unaoashiria kuwa mama ametekeleza. Tumetenda na tunazidi kutekeleza. Tutatekeleza.

Hakika kona zote za nchi zimezizima kwa shangwe. Wenye chuki mtajiju, tunazidi kuchanja mbuga.

Ushindi ni wetu. Maboksi ya kura yanajieleza.

Aione kwenye Jalada: Kapteni Tesha

Ninaambatanisha picha yangu na mawasiliano ya baruapepe: [email protected]

CV yangu iko humo.
 
Attachments

  • FB_IMG_1759900254912 (1).jpg
    FB_IMG_1759900254912 (1).jpg
    43.5 KB · Views: 29
Nani kama Samia? Mtachonga sana.

Tunazidi kusonga mbele katika kazi na utu. Maelfu ya watanganyika wanafurahia ushindi wa maajabu wa Samia. Ushindi wa kihistoria.

Nimepigiwa simu na ndugu yangu wa Kishimundu anatokwa machozi ananiambia ana siku ya tatu hajala anajigaragaza kwenye michanga kwa furaha ya ushindi wa Kipenzi chetu, mama samia.

Huu ni upendo ulioje? Upendo wa dhati unaoashiria kuwa mama ametekeleza. Tumetenda na tunazidi kutekeleza. Tutatekeleza.

Hakika kona zote za nchi zimezizima kwa shangwe. Wenye chuki mtajiju, tunazidi kuchanja mbuga.

Ushindi ni wetu. Maboksi ya kura yanajieleza.

Aione kwenye Jalada: Kapteni Tesha

Ninaambatanisha picha yangu na mawasiliano ya baruapepe: [email protected]

CV yangu iko humo.
Basi pia usisahau kuwapongeza wauaji wale kutoka nje waliokuja kuwaua watanzania waliokuwa wakidai hali bora ndani ya taifa lao.
 
Nani kama Samia? Mtachonga sana.

Tunazidi kusonga mbele katika kazi na utu. Maelfu ya watanganyika wanafurahia ushindi wa maajabu wa Samia. Ushindi wa kihistoria.

Nimepigiwa simu na ndugu yangu wa Kishimundu anatokwa machozi ananiambia ana siku ya tatu hajala anajigaragaza kwenye michanga kwa furaha ya ushindi wa Kipenzi chetu, mama samia.

Huu ni upendo ulioje? Upendo wa dhati unaoashiria kuwa mama ametekeleza. Tumetenda na tunazidi kutekeleza. Tutatekeleza.

Hakika kona zote za nchi zimezizima kwa shangwe. Wenye chuki mtajiju, tunazidi kuchanja mbuga.

Ushindi ni wetu. Maboksi ya kura yanajieleza.

Aione kwenye Jalada: Kapteni Tesha

Ninaambatanisha picha yangu na mawasiliano ya baruapepe: [email protected]

CV yangu iko humo.
Ndio uweke picha ya Lucas Mwashambwa ? 😁
 
Powered by ABDULI
 
Huu mwaka mpaka uishe tutasikia mengi sana
 
4aabd27e-b5b3-41a7-a799-792b9d9e2ff4_0_watermark.jpeg
 
  • 6ca194063178c0ee498d20b8e26dedee.mp4
    366.4 KB
Yaani mje kutuelekezea mitutu kama majambazi ndani ya nchi yetu alafu kesho mnataka eti mtuongoze ...never on earth!
 
Hii ni ramli chonganishi kwa hadhira
mtoa mada amewakilisha
kazi kwako!

9dec tukutane.
 
Fungueni comment sasa mpokee pongezi za wananchi
 
Back
Top Bottom