Wananchi wabubujikwa machozi ya furaha kwa ushindi wa Samia; Kila kona ni shangwe na vifijo

Wananchi wabubujikwa machozi ya furaha kwa ushindi wa Samia; Kila kona ni shangwe na vifijo

Nani kama Samia? Mtachonga sana.

Tunazidi kusonga mbele katika kazi na utu. Maelfu ya watanganyika wanafurahia ushindi wa maajabu wa Samia. Ushindi wa kihistoria.

Nimepigiwa simu na ndugu yangu wa Kishimundu anatokwa machozi ananiambia ana siku ya tatu hajala anajigaragaza kwenye michanga kwa furaha ya ushindi wa Kipenzi chetu, mama samia.

Huu ni upendo ulioje? Upendo wa dhati unaoashiria kuwa mama ametekeleza. Tumetenda na tunazidi kutekeleza. Tutatekeleza.

Hakika kona zote za nchi zimezizima kwa shangwe. Wenye chuki mtajiju, tunazidi kuchanja mbuga.

Ushindi ni wetu. Maboksi ya kura yanajieleza.

Aione kwenye Jalada: Kapteni Tesha

Ninaambatanisha picha yangu na mawasiliano ya baruapepe: [email protected]

CV yangu iko humo.
Hivi nyie mpaka mda huu sijaona picha za wapiga kura wakiwa kwenye mstari au ilikua nikupiga na kutoka nduki speed ngiri mkia juu
 
Back
Top Bottom