Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Maisha bhana! Kutoka kuwa Waziri hadi kutimuliwa kama kibaka!Wana Ilemela wameamua ! Wamemfukuza mbunge wao Angelina Mabula katika mkutano wa hadhara, wananchi wamelalamika kwamba kwa miaka karibu kumi hakuna alichofanya.
Mbombo ngafu! Ni dhahiri sasa Jimbo la Ilemela liko wazi.
View attachment 3064272
Ni kufikisha ujumbe wa wananchi kwenye idara husika ili wapate maendeleo. Kama serikali haijafikisha maendeleo inaonekana Mbunge hakufikisha kero zao sehemu husika ndiyo maana ya Mbunge kutoleta maendeleo, okay?Tangu lini kazi ya mbunge ikawa kuleta maendeleo kwa wananchi? Ujinga ni tatizo kubwa sana kwa Watanzania!
Ni kweli. Hakuna kitu kinachonikeraga wanapiga cm Kwa Rais eti aongee na wananchi. Sehemu hiyo inakuwa sehemu ya siasa. Watu wa leo siyo wa mwaka 47. Wenye akili wanayaacha hapohapo. Tumeshahama kwenye siasa za hivyo. Hata wanaoenda wengi wanafuata burudani. Diamond, nkSimba na Yanga zikifa ndio utakuwa mwanzo wa ukombozi wa hili taifa
Majinga na misukule ya jiwe!Wabunge hawajui hata huko Bungeni wamefata nini wacha watimuliwe tu kazi kwenda kupiga makofi tu..
Majimbo ambayo angalau Chadema ilikaa kwa muda ndiko ambako kuna maendeleo angalau ya maji na barabara. Moshi, Mbeya, Arusha, Dar majimbo 6. CCM wanahangaika nayo sana eti wasijechukua tena Chadema. Hiyo ndiyo faida ya kuwa na kuipenda siasa ya vyama vingi. Mimi napenda sana kupigia kura vyama vya upinzani. CCM no! Ndiyo maana CCM wanang'ang'ania sana wabaki madarakani hata kwa rushwa ya Khanga na t-shirt na Pikipiki kwa baadhi ya viongozi wa kata, ili waendelee kutuambia miradi Iko kwenye mchakato mpaka miaka 5 uchaguzi ukikaribia wanapitisha greda. Wenye uelewa wa hili hatuipi kura CCM. Halafu kodi zetu tuwapigie magoti kuwaomba kutuletea maji. Na ahsante juu!Usininasibishe na vyama.Mimi chama changu ni Legio Maria na Precious blood of Jesus.
Nyie ndo mnaotetea hata kauli za makosa za viongozi. Hata wakisema mtu ale kwa urefu wa kamba yake tukimkosoa nyie mnasema anaonewaUngeweka na ushahidi wakati anakimbia kwa kufukuzwa au ndo mmeanza uchawa kwa kuchafua wenzenu?
Namsubiri Samia ajipendekeze naye tumfurusheHata Samia tu hatumtaki ndo sembuse wabunge