Wananchi wamfukuza Mbunge Angelina Mabula mkutanoni, hali yake mbaya jimboni kwa kutoleta maendeleo kwa wananchi

Wananchi wamfukuza Mbunge Angelina Mabula mkutanoni, hali yake mbaya jimboni kwa kutoleta maendeleo kwa wananchi

Tangu lini kazi ya mbunge ikawa kuleta maendeleo kwa wananchi? Ujinga ni tatizo kubwa sana kwa Watanzania!
Ni kufikisha ujumbe wa wananchi kwenye idara husika ili wapate maendeleo. Kama serikali haijafikisha maendeleo inaonekana Mbunge hakufikisha kero zao sehemu husika ndiyo maana ya Mbunge kutoleta maendeleo, okay?
 
Simba na Yanga zikifa ndio utakuwa mwanzo wa ukombozi wa hili taifa
Ni kweli. Hakuna kitu kinachonikeraga wanapiga cm Kwa Rais eti aongee na wananchi. Sehemu hiyo inakuwa sehemu ya siasa. Watu wa leo siyo wa mwaka 47. Wenye akili wanayaacha hapohapo. Tumeshahama kwenye siasa za hivyo. Hata wanaoenda wengi wanafuata burudani. Diamond, nk
 
Usininasibishe na vyama.Mimi chama changu ni Legio Maria na Precious blood of Jesus.
Majimbo ambayo angalau Chadema ilikaa kwa muda ndiko ambako kuna maendeleo angalau ya maji na barabara. Moshi, Mbeya, Arusha, Dar majimbo 6. CCM wanahangaika nayo sana eti wasijechukua tena Chadema. Hiyo ndiyo faida ya kuwa na kuipenda siasa ya vyama vingi. Mimi napenda sana kupigia kura vyama vya upinzani. CCM no! Ndiyo maana CCM wanang'ang'ania sana wabaki madarakani hata kwa rushwa ya Khanga na t-shirt na Pikipiki kwa baadhi ya viongozi wa kata, ili waendelee kutuambia miradi Iko kwenye mchakato mpaka miaka 5 uchaguzi ukikaribia wanapitisha greda. Wenye uelewa wa hili hatuipi kura CCM. Halafu kodi zetu tuwapigie magoti kuwaomba kutuletea maji. Na ahsante juu!
 
Maisha bhana! Kutoka kuwa Waziri hadi kutimuliwa kama kibaka!
Huyu mama ni arrogant sana, nadhani walipomvua uwaziri, amekosa muelekeo, hawezi ku-command RPC wala OCD, zamani angeshatoa amri
 
Back
Top Bottom