Wananchi wamfukuza Mbunge Angelina Mabula mkutanoni, hali yake mbaya jimboni kwa kutoleta maendeleo kwa wananchi

Wananchi wamfukuza Mbunge Angelina Mabula mkutanoni, hali yake mbaya jimboni kwa kutoleta maendeleo kwa wananchi

Nimeuliza wana uhakika gani hakupeleka kero yao bungeni au mahala panapohusika?

Kwani Tanzania kuna sehemu isiyo na kero ya wananchi? Masaki tu kule wanapokaa mabalozi na washua kuna kero hadi za takataka kutokusanywa kwa wakati!

Nchi hii wananchi kutokana na ujinga wenu mnapigana na msichokijua. Mbunge hakusanyi kodi, mbunge sio afisa masuhuli. Kwa katiba yetu hii mbunge ni boshen tu.

Siku mkipata akili vizuri mtajua shida ni Katiba yetu ndo mtafanya maamuzi sahihi. Ila kwa kuwa kwa sasa bado mna ujinga mwingi, endeleeni tu na ujinga wenu. Na mkiweza mtafukuza wabunge wote kila siku.
Kichwa chako kina ubongo au Funza ndio wanakusaidia kufikiri, uhakika upo kwasababu maendeleo hamna, ngoja nikuelezee kama mtoto wa chekechea, kama mbunge ameshindwa kuisimamia serikali ya jimbo lake kuhakikisha maendeleo yanaletwa jimboni kwake anahaja gani yakuitwa mwakilishi wa wananchi ?
 
Wanaweza kuwa ni WA mtaa au kata Fulani tuu sio Jimbo Zima.

Mwisho Huwa mnanishangaza sana ,tuchukulie mnaleta Wabunge wa Upinzani Sasa watafanya nini na hela zinatoka Serikali ya CCM?

Hayo mambo Yana maana kama mtashika Dola kinyume na hapo mtasalia hivyo hivyo bora mrudishe ccm hao hao.
Kodi wanalipa tu CCM?
 
Back
Top Bottom