Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Nimeuliza wana uhakika gani hakupeleka kero yao bungeni au mahala panapohusika?Mbunge ndio daraja la wananchi na serikali kama kero za wananchi hazifanyiwi kazi anafanya nini Bungeni ? Mwanza mji umekua mchafu sana, barabara ni tatizo, usambazaji wa maji miji mipya changamoto, mishahara kiduchu sekta binafsi, halafu wao wanazidi kujitafutia mali na kutudanganya Mama anaupigwa mwingi ! Tukutane kwenye box la kura, kura yangu halali haiwezi kwenda CCM wao washinde na kura zao za wizi kama kawaida yao.
Kwani Tanzania kuna sehemu isiyo na kero ya wananchi? Masaki tu kule wanapokaa mabalozi na washua kuna kero hadi za takataka kutokusanywa kwa wakati!
Nchi hii wananchi kutokana na ujinga wenu mnapigana na msichokijua. Mbunge hakusanyi kodi, mbunge sio afisa masuhuli. Kwa katiba yetu hii mbunge ni boshen tu.
Siku mkipata akili vizuri mtajua shida ni Katiba yetu ndo mtafanya maamuzi sahihi. Ila kwa kuwa kwa sasa bado mna ujinga mwingi, endeleeni tu na ujinga wenu. Na mkiweza mtafukuza wabunge wote kila siku.