Wananchi wamfukuza Mbunge Angelina Mabula mkutanoni, hali yake mbaya jimboni kwa kutoleta maendeleo kwa wananchi

Wanaweza kuwa ni WA mtaa au kata Fulani tuu sio Jimbo Zima.

Mwisho Huwa mnanishangaza sana ,tuchukulie mnaleta Wabunge wa Upinzani Sasa watafanya nini na hela zinatoka Serikali ya CCM?

Hayo mambo Yana maana kama mtashika Dola kinyume na hapo mtasalia hivyo hivyo bora mrudishe ccm hao hao.
1-...Wanaweza"..(?)
2-Wabunge wa ukinzani wanatokea Senegambia?
NB;Acha kubuni na kuhisihisi tu.
 
Kumbe na wewe ni mjinga tu, kwa hiyo wananchi wanapaswa tu kushukuru hata pale wanapo dhulumiwa na watawala sababu tu eti wao hawawezi kutawala? Hujui impact ya upande fulani kuwa na idadi kubwa ya uwakilishi?
 
Hakuna kitu hata watokeee Mbinguni, Serikali Kuu kama ni ya CCM ndio watazidi kuisoma namba hakuna mtu atakuletea pesa hukumchagua.

Nimetoa tahadhari na Mbeya kwamba miradi wanayoiona ni sababu ya Tulia kama unachagua Mbunge Kwa kutekeleza ilani basi Tulia kafanya ila kama ni mihemko ya Kisiasa ya kijinga basi wachague kina Mwambukusi na yule msanii wataona moto miaka 5 ijayo.

Miradi iliyoanza inaweza isikamilishwe Hadi 2030 na mkaambiwa kabisa sababu ni hao,Ifakara Rais akiwaambia shida hizo ni vile mlichagua Chadema.

Kila mtu atakula alikopeleka mboga
 
Tangu lini kazi ya mbunge ikawa kuleta maendeleo kwa wananchi? Ujinga ni tatizo kubwa sana kwa Watanzania!
Mbunge ndio daraja la wananchi na serikali kama kero za wananchi hazifanyiwi kazi anafanya nini Bungeni ? Mwanza mji umekua mchafu sana, barabara ni tatizo, usambazaji wa maji miji mipya changamoto, mishahara kiduchu sekta binafsi, halafu wao wanazidi kujitafutia mali na kutudanganya Mama anaupigwa mwingi ! Tukutane kwenye box la kura, kura yangu halali haiwezi kwenda CCM wao washinde na kura zao za wizi kama kawaida yao.
 
Kumbe na wewe ni mjinga tu, kwa hiyo wananchi wanapaswa tu kushukuru hata pale wanapo dhulumiwa na watawala sababu tu eti wao hawawezi kutawala? Hujui impact ya upande fulani kuwa na idadi kubwa ya uwakilishi?
Wapi walipodhulumiwa? Wewe ndio mjinga na huna maarifa Kushindwa kuelewa siasa za Tzn.

Kila mtu atakula alikopeleka mboga
 
Hakuna kitu hata watokeee Mbinguni, Serikali Kuu kama ni ya CCM ndio watazidi kuisoma namba hakuna mtu atakuletea pesa hukumchagua.

Nimetoa tahadhari na Mbeya kwamba miradi wanayoiona ni sababu ya Tulia kama unachagua Mbunge Kwa kutekeleza ilani basi Tulia kafanya ila kama ni mihemko ya Kisiasa ya kijinga basi wachague kina Mwambukusi na yule msanii wataona moto miaka 5 ijayo.

Miradi iliyoanza inaweza isikamilishwe Hadi 2030 na mkaambiwa kabisa sababu ni hao,Ifakara Rais akiwaambia shida hizo ni vile mlichagua Chadema.

Kila mtu atakula alikopeleka mboga
Hii ni kufuru.Kwamba CCM is each and everything?Wakinzani hufanyiwa hiyana ili waonekane hawafai kwa makusudi.
 
Back
Top Bottom