Hakuna kitu hata watokeee Mbinguni, Serikali Kuu kama ni ya CCM ndio watazidi kuisoma namba hakuna mtu atakuletea pesa hukumchagua.
Nimetoa tahadhari na Mbeya kwamba miradi wanayoiona ni sababu ya Tulia kama unachagua Mbunge Kwa kutekeleza ilani basi Tulia kafanya ila kama ni mihemko ya Kisiasa ya kijinga basi wachague kina Mwambukusi na yule msanii wataona moto miaka 5 ijayo.
Miradi iliyoanza inaweza isikamilishwe Hadi 2030 na mkaambiwa kabisa sababu ni hao,Ifakara Rais akiwaambia shida hizo ni vile mlichagua Chadema.
Kila mtu atakula alikopeleka mboga