Siku ya jana jumatano ya tarehe 27/11/2024 ambapo kulikuwa na zoezi la uchaguzi mdogo Tanzania nzima wapiga kura wamelalamika kwamba waliteseka kutafuta majina yao ili wakapige kura pia wamesema kuna baadhi ya majina hayakuwepo hivyo imepelekea watu wengine kushindwa kupiga kura
Serikali naombeni sana muangalie hili jambo tunapoenda kuwachagua viongozi basi kuwe na utaratibu ambao utawezesha shughuli ya upigaji kura uende kwa haraka