LGE2024 Wananchi washindwa kupiga kura baada ya kutoona majina yao kwenye ubao ya wenye majina ya waliojiandikisha

LGE2024 Wananchi washindwa kupiga kura baada ya kutoona majina yao kwenye ubao ya wenye majina ya waliojiandikisha

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

jjackline

Senior Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
111
Reaction score
274


Siku ya jana jumatano ya tarehe 27/11/2024 ambapo kulikuwa na zoezi la uchaguzi mdogo Tanzania nzima wapiga kura wamelalamika kwamba waliteseka kutafuta majina yao ili wakapige kura pia wamesema kuna baadhi ya majina hayakuwepo hivyo imepelekea watu wengine kushindwa kupiga kura

Serikali naombeni sana muangalie hili jambo tunapoenda kuwachagua viongozi basi kuwe na utaratibu ambao utawezesha shughuli ya upigaji kura uende kwa haraka
 
Kuna weaknes moja nimeiona jana,. Mtu anaweza kwenda kuiba jina la mtu aliyejiandikisha akachukua namba yake akaenda kupiga kura na akaenda zake
Wapo mawakala ambao ni wakazi wa sehemu husika, wanawajua watu Kwa majina kabisa
Huwezi kudanganya jina ilihali mtu
Wako yupo
 
Back
Top Bottom