Wanandoa kununiana mwisho inatakiwa kuwa siku ngapi?

Ushauri wa humu wengi ni kama gari ishawaka 🤣 mkuu wee umempiga mtu mzima ya kazi gani? Mwambie tuu alikuudhi at some point na uombe msamaha na yeye achunge mdomo wake next time.
 
Kama usiku ukimshika kiuno na kumpapasa anaondoa mkono wako hataki umshike, bado hasira zipo. Kama hamuwezi kusuluhisha kwa kupeana utam, ni vizuri mkae chini muyajenge. Mnuno mwisho ni siku moja.
Hata mm nilisikia wakubwa wanasema wanandoa wasilale wakiwa wamenunia usiku huo huo mambo yaanze
 
Wakuu,juzi kati wife aliniletea kidomo nikamlamba makofi.
So tangu siku hiyo mpaka leo ni kama week ya pili kaninunia.
Je kununiana inafaa kuwa mwisho siku ngapi?
usirudie kumpiga makofi mkeo kijana. Next time ukihisi hasira zinazidi kwa mdomo wake, we ondoka nenda mahali then after sometime ukishusha hasira rudi nyumbani kamuongeleshe asikukosee adabu, muelekeza hata kwa kumfokea atakuelewa, but dont take your hand on her please[emoji120]
 
Una hekima sana
 
Aisee, imekaa vizuri ila shida ni kwamba umeshafungua code hadi wao wenyewe wanakuja kuisoma 😂😂😂😂.
 
Wakuu,juzi kati wife aliniletea kidomo nikamlamba makofi.
So tangu siku hiyo mpaka leo ni kama week ya pili kaninunia.
Je kununiana inafaa kuwa mwisho siku ngapi?
chu.pi anakuvulia usiku au?
 
Hata mm nilisikia wakubwa wanasema wanandoa wasilale wakiwa wamenunia usiku huo huo mambo yaanze
Ndio ilivyo, tena mlale uchi ili mpatane usiku huo huo. Hakuna tendo linalofanyika bila nafsi kuridhia, ukisharidhia mkimaliza tu mtayajenga na mnuno utaisha.
 
Wakuu,juzi kati wife aliniletea kidomo nikamlamba makofi.
So tangu siku hiyo mpaka leo ni kama week ya pili kaninunia.
Je kununiana inafaa kuwa mwisho siku ngapi?
Hajanuna huyo, kanunue jogoo mkubwa pita kwa jiko mkaangie mpelekee awe ànanukia vizuri.
Halafu akiipata harufu mshike tako ulipige busu! Atakufyoñya halafu utaona anajifanya hajaelewa, hakikisha unamla kabla ya kuku. Utaona jinsi mtàkavyo enjoy huyo kuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…