Wanandoa kununiana mwisho inatakiwa kuwa siku ngapi?

Wanandoa kununiana mwisho inatakiwa kuwa siku ngapi?

Wakuu,juzi kati wife aliniletea kidomo nikamlamba makofi.
So tangu siku hiyo mpaka leo ni kama week ya pili kaninunia.
Je kununiana inafaa kuwa mwisho siku ngapi?
Patella huko dunian atakutafuta. Ishi nao kwa akili jombaa
 
Yanasameheka mkuu! Kupigana makofi siyo fresh kabisa! Kumbuka ulipoapa madhabuhuni ulisema huyu ni nyama katika nyama zangu na mifupa katika mifupa yangu. Sasa unapomdhaba makofi maanake unajipiga mwenyewe!
Bado hujafikwa na hawa viumbe ten wakijua huwezi kuwagusa wao huchukulia kama weakness
 
Wakuu,juzi kati wife aliniletea kidomo nikamlamba makofi.
So tangu siku hiyo mpaka leo ni kama week ya pili kaninunia.
Je kununiana inafaa kuwa mwisho siku ngapi?
Nikwambie dawa yake?

Hiyo mbinu ninayokupatia, ukiifanya mtaani unafungwa miaka 30 jela, lakini ukiifanyia nyumbani kwako kwa mkeo hakuna kesi.

Hiyo mbinu ukiitumia na ukafanikiwa kuifanya, ni muarobaini kabisa, muda huo huo utachekewa na kutabasamiwa, nguo zako zitakusanywa kwenda kufuliwa na 'salamu' ya asubuhi utapewa.

Kabla ya kukupa ushauri huo ngoja nikuulize swali kwanza: kwake hakuna mbinu zingine za kumrekebisha mpaka azabuliwe makofi kwanza?
 
usirudie kumpiga makofi mkeo kijana. Next time ukihisi hasira zinazidi kwa mdomo wake, we ondoka nenda mahali then after sometime ukishusha hasira rudi nyumbani kamuongeleshe asikukosee adabu, muelekeza hata kwa kumfokea atakuelewa, but dont take your hand on her please[emoji120]
Huo ni udhaifu na ndio maana Wanaume tuko wachache...Mwanaume aliekamilika hawezi kuikimbia nyumba yake kwa sababu ya maudhi ya mke...Mwanamke akikukosea ikiwa anaelekezeka muelekeze, na ikiwa haelekezeki muonye Kwa kumkalipia,,ikiwa hakalipiki mstue kidogo kumkumbusha kuwa nyumba ina mamlaka...
 
Watu wanafki sana humu wanajidai ooh mwanamke hapigwi ooooh kesi hiyooo,
Kumbe wengi wao mpaka wake zao vibogoyo kwa vipigo na minundu

Kipigo hiko mimi kwa kweli pia nakipinga sana sana lakini kumlamba kofi moja na makonzi mawili hiyo lazima bi must ,

Wanawake wana mdomo sana ukijitia baby baby sanaaa anakutia kidole cha macho kwahiyo kadiria dozi mpe sio umvimbishe jicho mtoto wa watu hapana, au umrukie mateke kama unacheza mieleka hapana,
Kwenye kikao cha mwisho tulikubalina ni kofi moja na makonzi mawili

Na mkwara mzito sanaa, tuache unafki huko vijijini tulipokulia chumbani kwa mzee unakuta bakora kabisaa mnajua ni ya watoto hii kumbe ya watoto na mama yao.
Ewaaaaa!! Wewe sasa ndio wa kiume
 
Siku ukimkera sana na hana nguvu ya kukupiga atafanyaje kama anayekasirika ni kuchapana makofi? Kwanza kwa 80% hata akikusamehe ni mazoea yatabaki mapenzi hakuna, utapigwa matukio fulani ambayo hutajua kesho wala miaka ya karibuni.
N:B Kuna rafiki yangu aliwahi kumchapa mkewe makofi 2 tu na walikuwa wanapendana mno hadi tunawaonea wivu sisi. Na alimpiga kwa kitu kidogo tu, kumbe mwanamke anatafsiri kupigwa ni unyama, ni roho mbaya, humpendi n.k ALIONDOKA NA NDOA ILIVUNJIKA KABISA MWAKA 2023 mwanzoni. Sahivi rafiki yangu ana depression, mlevi anadai mwanamke kamtenda na kumuacha n.k. sasa sijaelewa alomtenda mwenzie nani wakati yeye kajifanya Tyson.
 
Wakuu,juzi kati wife aliniletea kidomo nikamlamba makofi.
So tangu siku hiyo mpaka leo ni kama week ya pili kaninunia.
Je kununiana inafaa kuwa mwisho siku ngapi?
Kama mjanja, masaa, piga shoo ya kufa mtu tu!
🙏💪✊
 
Huyo mwanamke hakuwahi kumpenda huyo rafiki yako. Hayo makofi yalimsaidia kumjua mkewe! Mwambie rafiki yako aache ujinga wa kujiumiza kusiko sbabu
 
Wakuu,juzi kati wife aliniletea kidomo nikamlamba makofi.
So tangu siku hiyo mpaka leo ni kama week ya pili kaninunia.
Je kununiana inafaa kuwa mwisho siku ngapi?
Ukila mzigo tu mchuno unaisha
 
Wakuu,juzi kati wife aliniletea kidomo nikamlamba makofi.
So tangu siku hiyo mpaka leo ni kama week ya pili kaninunia.
Je kununiana inafaa kuwa mwisho siku ngapi?
Ni sheria, mwanandoa hatakiwi kumnunia mwenza wake. Jeuri hii anaitoa wapi?

Na wewe unafeli wapi? Baada ya kumpapasa kwa makofi ulitakiwa ule ugali aliopika na kisha unampapasa tena kwa rungu japo round mbili.

Anune au alie, mpelekee moto maridhawa. Ndivyo wanandoa tunavyomalizia ugomvi.
 
Bado hujafikwa na hawa viumbe ten wakijua huwezi kuwagusa wao huchukulia kama weakness
Nyie wenyewe ndio mnawafanya hawa viumbe wawe sugu! Mnachapanaje makofi watu mliooana? Mkijifanya wote mafahari hamfiki mbali! Kuna vitu vingi mwanaume ukipotezea wala hatakaa akusumbue tena!
 
pole ukiolewa kutombwa ni jambo la heri
hivyo uhitaj n matokeo ya muoaji nje na hapo tafadhari mjadiliane
 
Back
Top Bottom